essaugervas
JF-Expert Member
- Jun 25, 2016
- 580
- 280
mzee wa kujisifu,,mzee wa mabebez,,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesahau ikifika usiku inageuka school bus maana inabeba malaya wote wa kinondoni anawapelekea maboss zake [emoji23] [emoji23] [emoji23]Halaf gari yenyew bora ingekua ya kutembelea kawaida ila anaifanya ya ofisi maana kila ukiona imepaki unajua "bwege mtozeni" yuko hapa maana ina machata mara sijui lemutuz blog sijui kufanyaje yaan kero tu. Huyu jamaa Magu si amchagur hata kumwagilia maua ikulu, ashakua babu halafu anatembea na watoto wakina diamond na wanyoa viduku wengne.
Hahaaaaaaha kuanzia leo naanza kuachia potelea mbali hata kuwe na amazonia forest pooooooa tu....wahenga walisema akili ni nywele, bahati mbaya hawakusema nywele za wapi, yawezekana unakomaa na kunyoa za kwapa au kwenye naniliuu , kumbe ndo akili zilipo
huyi mzee atakuwa na matatizo, umri was kustaafu na kula pensheni yeye bado anajiona teenager
Ohooo!!! kumbe anavyo piga nao picha anakuwa anawaweka sokoni?Umesahau ikifika usiku inageuka school bus maana inabeba malaya wote wa kinondoni anawapelekea maboss zake [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Ukome
Yaah Let mutuz ana cheo pale UVCCM, hivi kweli kijana yule?[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Uvccm eti
Wewe na Le mutuz nani alikuwa dukani?Huyu Jamaa kakosea aisee. nahisi alikuwa anataka asifiwe, atakuwa kainunua hiyo VERTU.
Kula kulala mmoja hivi hapa mjini.Let mutuz ndio nani...?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Lembebez Le akili kubwaaz.. Mbona hukunichukua [emoji41]- Hahaha unajua nilikuwa masafarini sana between Kigali, Zanzibar na Joeburg so muda haukuwepo kusoma huku but I am back now, ok wewe mleta mada are you ok kweli? So what is your point kwamba hakuna Benz inayouzwa pesa ndogo na zinazouzwa pesa kubwa? Hivi unataka kusema mahali zinapouzwa Maybach unaweza ukakuta benz ya kawaida?
- Please tumia akili kidogo, nimeingia Nelson Mandela Square nikakuta Duka la Saa zinauzwa kuanzia USD 100,000 kwenda mbele sasa unashangaaa nini hasa cha ajabu? yaani 7 pages maelfu ya viewers kwa sababu ya hii nonsense ishu? Duh kweli ukiwa Star ni Star tu hahahahahahaa thank U much U know I lov it!!
le Mutuz