Le Mutuz kwanini umetudanganya?

Le Mutuz kwanini umetudanganya?

Halaf gari yenyew bora ingekua ya kutembelea kawaida ila anaifanya ya ofisi maana kila ukiona imepaki unajua "bwege mtozeni" yuko hapa maana ina machata mara sijui lemutuz blog sijui kufanyaje yaan kero tu. Huyu jamaa Magu si amchagur hata kumwagilia maua ikulu, ashakua babu halafu anatembea na watoto wakina diamond na wanyoa viduku wengne.
Umesahau ikifika usiku inageuka school bus maana inabeba malaya wote wa kinondoni anawapelekea maboss zake [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
wahenga walisema akili ni nywele, bahati mbaya hawakusema nywele za wapi, yawezekana unakomaa na kunyoa za kwapa au kwenye naniliuu , kumbe ndo akili zilipo
Hahaaaaaaha kuanzia leo naanza kuachia potelea mbali hata kuwe na amazonia forest pooooooa tu....
 
kwa umri wake wa miaka 60 ingekua kijijini kwetu uwanji,,ni umri ambao mtu ana wajukuu..

ambao mnamfahamu huyu mzee hivi ana mtoto kweli..na kama anaye ana umri wa miaka mingap labda[emoji16][emoji16][emoji16]
 
mambo yenu haya pelekeni Instagram huko hapa mnatupotezea muda tu.
 
Tuulize sie watu wa swahili halusi maana ya usemi huo !usidhani kila upuuzi utaupeleka kwa wazee kwa kuwa tu qako hai ,kiuhalisia alitakiwa sasa aongoze si familia yake tu bali ukoo wake!
Na hata wewe ukifikia age ile na mungu akikujaalia wazee wako wako hai mashaka yako huyapeleki unabaki kutoa taarifa kuwa" nimeoa ,"nimeacha" "nimeongeza mke mwingine "na siku ukifumaniwa unasema tu "ah mzee we yaache tu hayo mambo shetani kanipitianitamalizana na mke wangu mwenyewe" hakuna kuanzisha mijadala na watu wako!ndio maana ya kuwa mtu mzima na kujitegemea !
 
Huu ndio uhalisia kuhusu Simu hiyo.

- Hahaha unajua nilikuwa masafarini sana between Kigali, Zanzibar na Joeburg so muda haukuwepo kusoma huku but I am back now, ok wewe mleta mada are you ok kweli? So what is your point kwamba hakuna Benz inayouzwa pesa ndogo na zinazouzwa pesa kubwa? Hivi unataka kusema mahali zinapouzwa Maybach unaweza ukakuta benz ya kawaida?

- Please tumia akili kidogo, nimeingia Nelson Mandela Square nikakuta Duka la Saa zinauzwa kuanzia USD 100,000 kwenda mbele sasa unashangaaa nini hasa cha ajabu? yaani 7 pages maelfu ya viewers kwa sababu ya hii nonsense ishu? Duh kweli ukiwa Star ni Star tu hahahahahahaa thank U much U know I lov it!!

le Mutuz
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Lembebez Le akili kubwaaz.. Mbona hukunichukua [emoji41]
 
Back
Top Bottom