Le Mutuz naye ampopoa Paul Makonda, amwambia dharau zimemponza

Ma Rais wote walipindisha kidogo katiba lakini Jiwe aliikunja mfano wa sterling.

Jiwe hakustahili kuwa hata baba wa familia. That dude was unstable in every sense of the word. That's a mf you keep on leash, a very tight leash.
 
Alimpigia au alimuandikia sms .soma vizuri uone maajabu ya mwaka.kwamba hata chuma alikuwa anamuogopa makonda yaani

Obviously alikuwa anamuogopa ndio maana jamaa alikuwa na kiburi alichokuwa nacho. Sijui Bashite alimshika wapi mtu mzima.
 
Wabongo tunanafahamika kwq unafki
Ukiwa kwenye nafasi, watu watakujalia...kukuzunguka
Hata kama utakuwa unafanya makosa
Hakuna wa kukuzuia, kukushauri
Ukitembea utajaliwa na wapambe kibao,utaalikwa kwenye kila tukio
Sasa toka madarakani, au poteza washing,filisika
Hapo ndipo utawajua wabongo walivyo!

Ova
 
✌️
 
Bado WCB nao walikuwa wanamvumilia baba mlezi.
Huwezi kujua nani anakusupport au nani anakupenda kweli ukiwa mwenye cheo au pesa.
 
Hata mimi ndio nimeelewa hivyo.
Wananchi ni fuata upepo tu hawana impact sana wenyewe huwa akianzisha mmoja wanafuatisha tu.


Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Hata mimi ndio nimeelewa hivyo.
Wananchi ni fuata upepo tu hawana impact sana wenyewe huwa akianzisha mmoja wanafuatisha tu.

Lakini wananchi ndo mahakimu. Bora uhukumiwe mahakama za kisheria na sio mahakama ya jamii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…