Le Mutuz naye ampopoa Paul Makonda, amwambia dharau zimemponza

Watu wanaoandika kwa herufi kubwa wanatuonaje,kwamba sie vipofu au ndio tunafokewa kimya kimya haha.
 
Lemutuz ana degree tatu ila leo namtunuku degree ya nne ambayo ni ya unafiki.
 
Mataga mnazidi kuteseka tu
 
Nina mashaka kama kweli ni Le Mutuz ndiyo kaandika utumbo huu. Huwezi kuwa best na mtu ukashindwa kumuita pembeni au kukutana naye live na kumuambia jambo ulionalo KUWA litamsaidia yeye maishani, urafiki wa ukweli hauko hivyo na ndiyo maana nina mashaka na aliyeandika huu ujumbe/waraka KUWA pengine si Le Mutuz na kama ni yeye basi atakuwa ni mnafiki tu kama walivyo viongozi wole wa CCM.
 
Kikwete na chawa wake wanafanya kila namna mpoteza Paul, lakn ajue kuwa siku shiling ikgeuka familia yake itapata tabu sana, Makonda bado mdogo namuona mbali
 
Exactly! Huu ndio uungwana.
 
Makonda na Le Mutuz wote wanapenda kuandika in all caps.

Hili ni tatizo la elimu au nini?
Thibitisha kama ni tatizo la Elimu πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ₯Ί
 
Thibitisha kama ni tatizo la Elimu [emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3064]
Nimeuliza swali, aulizaye swali hana mzigo wa uthibitisho.

Jifunze kusoma kwa ufahamu.
 
Wasomaji tupo nyie endeleeni kuandika waraka
Nalog off Z
 
Mjinga tu huyu Le mutuz pamoja na huyo mwenzake Makonda. Uzi mrefu lakini sio wa kumtaka Makonda aombe radhi kwa wananchi, bali anataka aombe radhi viongozi. Kwa mtazamo wake Makonda aliwakosea na kuwadharau viongozi tu.
Labda sisi wananchi hatuna uwezo wa kummaliza ila hao viongozi ndio wenye uwezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…