Le mutuz: the good news. Le mutuz tv online (lto)

Kuna siku nilimuuliza online tv station iko wapi?? Akaanza kunitumia mapicha ya macamera makubwa makubwa sijui aliyachukua wapi hayo macamera... Huyu anatakiwa kupumuzika acheze na wajukuu zake, chakushangaa yeye ndo yuko busy kupiga picha na wasichana nakupost mitandaoni
 
Yaani huwa anachekesha kweli anajiona anajua kumbe anangua jua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utaangalia ww na mabaasha zako wanao kuweka mjini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 


- Tunaendelea kukamilisha ufungaji wa vifaa leo ni taa, then meza maalum za kazi and then tunaanza kuruka karibu sana mkuu au kama vipi bado tunazo ajira!, ofisi zangu zipo Sokoine Drive & Pamba Road, Tancot House 3fl namba ya simu hapa Studio ni 0717618997 karibu sana muda wa maneno mengi huwa hatuna ni kaaazi juu ya kazzzi!!, na I hope nimesaidia kujibu wengine wote wenye maswali kama yako!!

le Mutuz Nation

le Mutuz
 
Ajira niliyonayo ni nzuri sana na wala sitaki kufanya kazi kwa shida, asante kwa kuonyesha kutaka kuni ajiri, ingawa najua huwezi... ni maneno tu... kama unaweza nilipa 3,500,000M Net poa
 
Angalau yeye ana copy , ameshaanza, wewe ya kwako IKO WAPI ? WaTZ tunatatizo la ujuaji usiona maana mwenzako anapopiga kahatua na kukushiriksha TUNAPASWA KUMPONGEA NA KUMPA MOYO sio kumbeza
 
Angalau yeye ana copy , ameshaanza, wewe ya kwako IKO WAPI ? WaTZ tunatatizo la ujuaji usiona maana mwenzako anapopiga kahatua na kukushiriksha TUNAPASWA KUMPONGEA NA KUMPA MOYO sio kumbeza
Kwa umri wake sio kbs,mtu anakimbiza miaka 60yrs tulitarajia awe kwenye level za kina Mbowe,kwa umri huo alitakiwa afanye mambo kimyakimya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…