kwa ujinga ulionao ndio mana umeshindwa kuelewa ninachomaanisha.- hahahahaha sawa sawa bora ujinga unaolipa kuliko huu wako wa kunufaisha wengine kwa kutumia majina yako ya bandia nadhani ni ujinga suio maelezo hahahahahah mimi ujinga wangu unalipa ndio maana una wadhamini hahahahha
le Mutuz
kama una jihusisha na Le Mutuz sikuheshimu tena kuanzia leo cocochanel@lemutuz_nation - THE GOOD NEWS.......LE MUTUZ TV ONLINE (LTO) ....nilianzia Jamiiforums ...nikaingia Facebook ...nikafungua Blog yangu Mwaka 2012....Mwaka 2014 nikajiongeza kwenye all the Social Media tools pamoja na Instagram ...kote humo tulichofanya ni KUJITOFAUTISHA NA WENGINE ndicho kilichotufanya tufikie hapa tulipo na Social Media ...now its about time NIAMEAMUA KUSOGEA MBELE TENA to the Next step ....yaani LE MUTUZ TV ONLINE & STREAMING LIVE ....ni an expensive PROJECT na ndio hasa iliyokuwa sababu ya Safari zangu za hivi Karibuni to CHINA, MACAU, HONG KONG na JOHANNESBURG/SOUTH AFRICA ...ilikuwa ni matayarisho ya kuingia into TV ONLINE ...so now I am ready to go ...kwanza ni makamilisho ya ujenzi wa Studio ambao tayari umeshaanza at the TANCOT HOUSE gorofa ya Tatu pale Posta Mpya ....ujenzi utachukua like Mwezi mzima wa June na by the middle of July tutaanza kuwa rasmi hewani ...na kama kawaida yangu kama nilivyofanya kwenye Social Media I am looking FORWARD TO CHANGE THE GAME sio kisindikiza wengine tu ....NEVER ...so guys huko kwenye Online TV Industry get ready I AM IN.. So help me God!... KAMA UNA USHAURI AU MAONI YA KUSAIDIA PLEASE NITUMIE NAYAPOKEA BILA UBISHI! - le Mutuz Nation -
Ameirusha saa moja iliyopita
View attachment 515599
==========
Hongera sana Mr. W. J. Malecela kwa wengi tunasubiria. Na mimi ni mmoja wa tulioanza kukusoma humu tangu... hadi instagram. Mola azidi kukuongoza na kukusimamia.
==========
Update kwa picha
================
Update
23rd August 2017
View attachment 573037
Update
31st August 2017
View attachment 579132
View attachment 579133
Le mutuz umri wako hauendani na projects zako kaka, umechelewa sana sijui ulikua wapi mkuu- Labda ungejiuliza umesomea wapi mpaka kuelewa the market ya Social Media hahahahahah maana for sure ni mtupu kabisa kichwani kuhusu Social MEdia hahahaha
le Mutuz
Ww una habari uchwara mkuu,accept it or not,you need to change nobody is goin to waste his time on ua blog- Labda ungejiuliza umesomea wapi mpaka kuelewa the market ya Social Media hahahahahah maana for sure ni mtupu kabisa kichwani kuhusu Social MEdia hahahaha
le Mutuz
Hahahakwa ujinga ulionao ndio mana umeshindwa kuelewa ninachomaanisha.
Id fake wala hainipi shida naweza nkakupa jina langu na uthibitisho wa vyeti original (ambavo mjinga mwenzako hana) uhakikishe.
Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
kwa ujinga ulionao ndio mana umeshindwa kuelewa ninachomaanisha.
Id fake wala hainipi shida naweza nkakupa jina langu na uthibitisho wa vyeti original (ambavo mjinga mwenzako hana) uhakikishe.
Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
Ww una habari uchwara mkuu,accept it or not,you need to change nobody is goin to waste his time on ua blog
Sent using Jamii Forums mobile app
kama una jihusisha na Le Mutuz sikuheshimu tena kuanzia leo cocochanel
Mkuu,tuongee facts acha ubishi wa kijinga,wew ni msomi,mimi sio mwandishi habari hadi uniambie kua nina habari,- sawa sawa ila zinanilipa as opposed na wewe mwenye habari nzuri lakini hazikulipi hahahahaha
le Mutuz
kama una jihusisha na Le Mutuz sikuheshimu tena kuanzia leo cocochanel
Ngoja nitulie nisije nikajishusha kuwa level zako. Nikawa janga la taifa as you are period- imagine mtu aliyeenda shule anapotumia majina ya bandia kutukana wengine asiowajua kwenye mitandao unasema ni mzima? hahahahahahhaa
le Mutuz
Mkuu,tuongee facts acha ubishi wa kijinga,wew ni msomi,mimi sio mwandishi habari hadi uniambie kua nina habari,
Sent using Jamii Forums mobile app
Unalipwa wapi na ki noa chako,grow up dude,nyumba yako iko wapi ?- sasa ona tofauti wewe unaandika bure mimi nalipwa sasa unalilia nini hasa? Wanaonilipa hajawalia wewe unalilia nini hasa?
le Mutuz
Ubunifu zero kabisa kilakitu anamwiiga millardayo.com ukiangalia hata blog yake magazeti yote asubuhi anakopi kutoka millardayo.com tena yakiwa na logo ya millardayo
Shame on you....!
Ngoja nitulie nisije nikajishusha kuwa level zako. Nikawa janga la taifa as you are period
Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
Unalipwa wapi na ki noa chako,grow up dude,nyumba yako iko wapi ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Binafsi nimefurahi LIKE ULIZOPEWA na wenye chuki wenzako hongera sana Mkuu.
le mutuz hongera sanaa,, hapa ni kazi tuu
angalau muajiri hata mwana jf mmoja kazi hata ya usafii awakilishe.- U know kazi kazi hapa ni Bampa to Bampa!
le Mutuz