Le mutuz: the good news. Le mutuz tv online (lto)

12742634_526685927513810_8682442850654923670_n.jpg

- hahahahahahahhaa ona hapa na hizo rank zako za kutengeneza mwenyewe unadhani wewe unaweza kuwadanganya Vodacom wakaupa kazi kama hii na wewe sio maarufu? hahahahahahaha leo umeingia choo cha kiume mtoto wa kike wewe hahahahahaha pole sana

le Mutuz
Naona umeanza matusi! Mimi na wewe mtoto wa kike nani?! Hivi mtu anayeshinda mitandaoni kutetea wanaume anaweza kujiweka kwenye kundi la wanaume?! Mtu anayeshinda kupiga picha na watoto wa kike ili awafanyie ukuwadi ndo atakuwa mwanaume??!!!

Utaishia kujipendekeza hivyo hivyo kwa wanaume !!!

That's one but two, wewe mzee ni ju'ha na zuzu kweli kweli!! Hivi kuwa kwenye poster au hata kwenye billboard ndo tayari ushakuwa VodaCom Ambassor?!!

Hebu tuwaangalie hawa hapa chini:
Lemutuz 03.png

Le Mutuz 02.png

Je, na hao ni VodaCom Ambassadors?!

Rudi Instagram ukawadanganye wale misukule wako lakini sio hapa!!!!
 
19059381_768330446682689_5973240062591047269_n.jpg

- hahahahahha mkuu millard ni balozi wa Vodacom na mimi ni balozi wa ASAS tena wa kudumu, hahahahahahaha hao uliowaweka wametumia picha zao tu kule tupo 3 mimi, diamond na Millard,

- Vodacom wanawatumia watu wengi kupiga picha lakini sio mkataba wa malipo kama wangu, so pole sana unahangaika bure tu

- Ninachokifanya kwenye Social Media ni kazi yangu, wewe sijui kama ni kazi yako hahahahahaha kwani wewe ni mwanaume au mwanamke maana jina lako ni la bandia? so usikasirike maana kwa jina la bandia unaweza kuwa demu pia hahahahahaha

le Mutuz
 
Tatizo lemutumbo anapenda unafiki

- Sijawahi kuwa mnafiki siku zote nipo straight on the line, hahahahahahaha ninafanya kazi ya Social Media ninalipwa sasa nashangaa mkuu mapovu yanamtoka na namba kibao unahangaikia nini mimi sibabaishwi na ujinga hapa ni kazi kazi hahahahaha

le Mutuz
 
12742634_526685927513810_8682442850654923670_n.jpg

-
19059729_768331326682601_5987675073387600717_n.jpg

- hahahahhaha kaka hapa mjini ni kazi na malipo, ninapiga kazi ninalipwa ninachojua Vodacom kule Isntagram tupo 3 tu mimi, Diamond na Millard mpaka leo, na hata sasa ninapoingia kwenye online TV nipo nao na ndio Kampuni kubwa kwenye simu kuliko zote na ndio watu makini sana katika kuchagua nani wamtumie kwenye matangazo,

- Sasa nakushangaa unavypoteza muda kuandika ujinga wakati mimi ninalipwa wewe hulipwi, hahahahahahaha ungenyamza tu maana unapoteza muda wako bure, narudi tena kazi yangu ya Social Media inanilipa wewe hulipwi, so utalia na maneno mengi unapoteza muda bure hahahahahahaha cha msingi ni malipo na ndio kwanza tumeingia mkataba mpya so pole sana ila TV yangu online utaiangalia na utaisoma tu kama unavyoisoma blog sasa hivi na Instagram,

- Mimi nilianzisha Blog kwa sababu ya malipo na ninayapata, nilianzisha Isntagram kwa sababu ya malipo ninayapata, na sasa nimeamua kuingia Online TV kulipwa na nitalipwa sasa wewe unalili nini hasa? hahahahahahahaha

le Mutuz
We Mburura nishakuambia usijilinganishe na Diamond na Ayo kwa sababu wakati wenzako ni ambassadors wewe ni just a publisher!! Na wapo publishers kibao tu and not necessarily wawe for VodaCom!!!

Utaendelea kupiga picha na watu hivyo hivyo huku ukilazimisha urafiki but none of them wana muda wa ku-post picha walizopiga na wewe!!!!
 
19029621_768339610015106_438451782272773733_n.jpg

- hahahahhaa huyu ndiye boss wa unachokililia mkuu, Millard na diamond ni wakubwa kwa level yao na mimi ninayo level yangu na ndio maana nipo nao huko, pole sana kwamba hutaki kukubali ila ni fact na huna uwezo wa kubadili anything, amini unachotaka ila mimi i get paid that is all what counts

le Mutuz
 
19059381_768330446682689_5973240062591047269_n.jpg

- hahahahahha mkuu millard ni balozi wa Vodacom na mimi ni balozi wa ASAS tena wa kudumu, hahahahahahaha hao uliowaweka wametumia picha zao tu kule tupo 3 mimi, diamond na Millard,

- Vodacom wanawatumia watu wengi kupiga picha lakini sio mkataba wa malipo kama wangu, so pole sana unahangaika bure tu

- Ninachokifanya kwenye Social Media ni kazi yangu, wewe sijui kama ni kazi yako hahahahahaha kwani wewe ni mwanaume au mwanamke maana jina lako ni la bandia? so usikasirike maana kwa jina la bandia unaweza kuwa demu pia hahahahahaha

le Mutuz
Simama wima kisha inama kwa mbele kiasi cha kuweza kushika stool iliyopo mbele yako na hapo ndipo utajua kama mimi ni mwanamke au mwanaume!!!!

Umepiga porojo kwenye VodaCom na sasa umehamia kwenye maziwa!!! Utaweka hadi matangazo ya kubebea wanaume viatu

LemutuzA.jpg

na yale matangazo yako mengine unayotangaza biashara yako ya ukuwadi!!!

Ukitoka hapa nenda kafanye kazi ya kumtetea Bashite... hicho ndicho unachokiweza!!!!
 
19029621_768339610015106_438451782272773733_n.jpg

- hahahahhaa huyu ndiye boss wa unachokililia mkuu, Millard na diamond ni wakubwa kwa level yao na mimi ninayo level yangu na ndio maana nipo nao huko, pole sana kwamba hutaki kukubali ila ni fact na huna uwezo wa kubadili anything, amini unachotaka ila mimi i get paid that is all what counts

le Mutuz
Nothing unachoonnesha zaidi ya picha... wewe utakuwa na matatizo ya akili... sio bure!!!!

Wewe huna cha ukubwa wowote among VodaCom partners....!! Nenda kadanganye mazuzu wenzako wa Instagram!!!
 
Simama wima kisha inama kwa mbele kiasi cha kuweza kushika stool iliyopo mbele yako na hapo ndipo utajua kama mimi ni mwanamke au mwanaume!!!!

Umepiga porojo kwenye VodaCom na sasa umehamia kwenye maziwa!!! Utaweka hadi matangazo ya kubebea wanaume viatu

na yale matangazo yako mengine unayotangaza biashara yako ya ukuwadi!!!

Ukitoka hapa nenda kafanye kazi ya kumtetea Bashite... hicho ndicho unachokiweza!!!!

- hahahahahahhaa mimi huniwezi mkuu na ukitaka naweza kukuajiri, mimi ni Balozi wa ASAS na ninafanya kazi ya matangazo ya Vodacom na makampuni mengi na ndio nia na madhumuni ya kazi yangu ya Social MEdia, mengine baki nayo wala hayanisumbui kazi ya kujenga Studio inaendelea pole sana hahahahahahaha

Unakimbilia 60 years na hakuna chochote ulichonacho zaidi ya blog halafu unashindana na mtu mwenye long life ahead huku bado akiwa na mishe asizohitaji kujipendekeza kwa yeyote!! We kweli zuzu....
 
- hapana sina hiyo miaka ila nina maisha ambayo huna, umelia mara nyingi kuhusu maisha yangu numekuwekea picha za maisha yangu lakini hujawahi kuweka yako zaidi na kelele tu Mahabharata
19030347_768348790014188_4634742892134024515_n.jpg

- haya ndio maisha yangu hapa ni Ijumaa Serena Hotel na people I grew with, Dinner Party ya Joe kuzaliwa haya ndio maisha yangu, weka yako mkuu hapa Ijumaa ulikuwa wapi tuone kama una maisha hahahahahahaha

le Mutuz
 
Tena bora angekuwa kijana basi... anaenda 60 lakini anajivunia kumiliki blog ambayo ranking yake Tanzania ni [HASHTAG]#326[/HASHTAG].
18950950_766851073497293_8862506246042641628_n.jpg

- hahahahahhaa eti niambie wenye blog wote Tanzania wanasafiri hivi kama mimi? hahahahahhahahahaa

le Mutuz
 
- Sijawahi kuwa mnafiki siku zote nipo straight on the line, hahahahahahaha ninafanya kazi ya Social Media ninalipwa sasa nashangaa mkuu mapovu yanamtoka na namba kibao unahangaikia nini mimi sibabaishwi na ujinga hapa ni kazi kazi hahahahaha

le Mutuz
Tatizo wewe ni unashirikiana na fisiem ndio hilo sikupendi kama shetani wa ccm
 
- hapana sina hiyo miaka ila nina maisha ambayo huna, umelia mara nyingi kuhusu maisha yangu numekuwekea picha za maisha yangu lakini hujawahi kuweka yako zaidi na kelele tu Mahabharata
19030347_768348790014188_4634742892134024515_n.jpg

- haya ndio maisha yangu hapa ni Ijumaa Serena Hotel na people I grew with, Dinner Party ya Joe kuzaliwa haya ndio maisha yangu, weka yako mkuu hapa Ijumaa ulikuwa wapi tuone kama una maisha hahahahahahaha

le Mutuz
Huna hiyo miaka kwahiyo hata umri nao unataka kudanganya?!

Ni mara ngapi umekuwa ukipiga kelele kila mmoja ajue kwamba umeishi majuu miaka 30.... USHAMBA MTUPU! Watu wanazaliwa huko, wanakulia huko, wanasoma huko hadi wanazeekea huko lakini katu haijawahi kuwa repetitive topic kwao!!!

Na ulienda huko bado ukiwa mshamba mshamba uliyemaliza sekondari!! Now let's assume ulimaliza sekondari na miaka 20.... jumlisha na hiyo 30 ni miaka mingapi hiyo kama sio 50?!

Jumlisha miaka uliyoishi Tz tangia urudi... at least 5 years + 50 = at least 55 years!!!

Sasa unachokataa kwamba unakimbilia 60 years nini?!

But I can understand!! Lazima upoteze kumbukumbu ya umri wako cuz' the way you act doesn't reflect your real age... completely like high school kid ndo unasahau kwamba ni mzee unayekaribia 60 years...
 
Akili ndogo sio kubwa.
17523052_737600456422355_3896094134982847284_n.jpg

- hiyo ilikuwa last month safari ya China on business class Quatar Air, ndio maisha yangu mkuu kwa kazi ya Social Media hahahahahhaa wewe jiue tu hapa mwiba huwezi kitu ni kazi kazi tu hahahahahahhaa

- In three weeks naenda South Korea hahahahaha kupiga kazi hahahahahahahhaha

le Mutuz
 
Back
Top Bottom