Le mutuz: the good news. Le mutuz tv online (lto)

Le mutuz: the good news. Le mutuz tv online (lto)

Safi sana bwana lemutuz ila ukitaka mafanikio vunja urafiki na kile kiumbe ambacho kilitabiriwa na gwajima kikiongea kinatoa masizi mdomoni
 
- hiyo ni picha na mama yangu marehemu mama yangu mzazi, aliyeipost ni mimi so sio kwamba iliibiwa hapana ilikuwa ni mara yangu ya kwanza kukutana naye baada ya miaka mingi niliyokuwa majuu, hahahaha jina lako la bandia picha sio yako hahaha kuna binadam mlizaliwa bwana hahahahaha

le Mutuz
Hahaha Le kubwa jingazi Le kuwadiz wa Bashite
 
Hahaha Le kubwa jingazi Le kuwadiz wa Bashite
upload_2017-8-10_11-23-3.jpeg


- Hii ndio my new Studio so kaa mkao wa kula coming soon Le Mutuz TV Online hahahahahaha

le Mutuz
 
Siku zote nyoka mwenye sumu huwezi kuta anachezewa ovyo,ss huyu jamaa yetu mademu wameshamjua hana sumu basi mambo ya kiss kiss mbona poa tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
upload_2017-8-12_11-25-13.jpeg


- vifaa vya Studio tayari vimefika, hayo mengine ungekuja kujijaribisha wewe mwenyewe kusudi uwe na uhakika na unachokisema kuliko kubahatisha njoo ujaribu kwanza hahahahaha uone cha mtema kuni hahahaha

le Mutuz
 
Nilikuskia ukijichetua kuwa lemutuz tv is coming soon na studio ushakamilisha ni uzinduzi tu umebaki haya tuambie umeishia wapi?
Hivi lemutuz unajua gharama ya kumiliki kituo cha tv ww?
Ile nyumba chakavu ulopewa na wakwe zako mwaka wa 2012 hata hujawahi kuimalizia seuze kuwa na tv?
Mtu kama milard kuwa na tv ni sawa coz anaelewa kazi yake ww tu blog yako sijui tovuti imekushinda unacopy na kupaste kutoka kwa milard ayo
Kila siku kiguu na njia kuwaomba selfie kwa nguvu wadada unawadanganya watu kuwa wewe ni lebebez ingekua hatukujui hapo sawa
Halafu naomba kuuliza nani aliyekupa hicho cheo cha "king of all bongo social network" ni nani? Maana hata hujulikani hata chembe fb hawakujui, twitter hujilikani, jf ni wachache tu wanakujua haya hapo instagram penyewe hujulikani sasa sijui ww ni king wa social network zipi hahahaha
Wanakudanganya wapambe tu wakati wako ulishaisha
 
Back
Top Bottom