Le Mutuz (W. Malecela) Vs Alberto Msando: Hii ni vita ya kupigania haki za wasanii au kopo la Coca?

Status
Not open for further replies.
Beckam ni common name, David Beckham ni bland,

Ona ulivyo lijinga hadi hata kusoma na kuelewa hujui! Kwanza ushaambiwa Manchester United class of '92 walipata chupa zao. Unajua hata Manchester United class of '92 ni nini?

Halafu eti "David Beckham ni bland" LMAO......unajua maana ya bland wewe?

Rudi kwenye hilo bandiko ubofye hicho kiunganishi nilichokiambatanisha, usome na kuelewa.

kama wameandika Beckam tu wanaweza wasimlipe lakini ingekuwa David Beckham lazima wangemlipa,

Usilazimishe mambo. Kwani yeye hawezi kuwapa wao rukhsa ya kulitumia jina lake lote bila fidia yoyote?

hilo ni moja, pili nioneshe iyo picha ambayo David Beckham kapiga na hao maafisa wa Coca cola akikabiziwa hilo kopo then ndo urudi hapa useme sio sawa kulipwa.

Jifunze kwanza kusoma na kuelewa ndo urudi hapa na hili ombi lako.
 

Sijawahi fikiria kama ipo siku naweza kukuvunjia heshima mkuu, nashukuru anyways.
 
Sijawahi fikiria kama ipo siku naweza kukuvunjia heshima mkuu, nashukuru anyways.

Yaan mie hili jamaa nimelishangaa sana kwa hili eti kwa kuwa marekani maceleb hawakulipwa basi na akna kajala ndo wasidai chao duh nimechoka sana kwa madai hayo. Pia eti kwa kuwa coke ina miaka 128 haihitaji kujitangaza ni akili hyo au ndo utumwa kwa wazungu umefikia hapo. Mkuu jaribu kuwa wa kwanza kujikomboa usiige sio kwa kuwa mzungu amekubali kuchapiwa mke wake basi na wewe umgawe wa kwako
 
Msando yupo sawa. Ila Le Mutuz anaona sifa kufahamika wakati mfukoni hana hela. Bichwa kubwa akili ndogo kama ya kuku.

Huyi anafahamika fb 2 kwao dodoma hata hawamjui,istoshe hela hana anaishi kwa upambe tu toka lini kiblog kikakupa hela wa2 kibao wana blog na hawana kitu zaidi y umaarufu mbuzii
 
Kwakweli me mwenye hadi sasa siamini kama Coca-cola hawawalipi lakini lakini Msando anaonesha hawalipwi zaidi ya umaarufu tuu! Hakika katika hili ndio tutapima uwezo wa wasanii wetu!

Umaarufu mbuzi tu toka lini blog ikakupa hela huyo jamaa kila siku anasign mikataba lakini maisha hayaendi mbele,labda upande kwa davis ndio unamsaidia kidogo kuishii
 
Hivi unajua hiyo kampeni ya Share a Coke ilipoanzia?

Mara yako ya kwanza kuisikia ilikuwa lini?

Pengine inaweza kuwa mara yangu ya kwanza kuisikia na hii haindoi ukweli kuwa huu utaratibu unao tumiwa na Coca-cola kwa kusema ni zawadi ili wasiwalipe wahusika ni unyonyaji na ni wizi kama wiziwingine! Kuna sehemu umenichekesha unasema Coca-cola haihiitaji nguvu ya watu fulani ili kuongeza mauzo maana imekuwepo toka siku nyingi !

Naomba nikuulize kama unasema inajitosheleza kwanini kila leo wanafanya matangazo na kila leo tunayaona kwenye media?

Ukweli ni kwamba hata kama hii campaign ilianzia ulaya na marekani na watu wamekuwa hawalipwi lazima watu watambue Coca-cola wanacho fanya ni kuwadanganya watu huku wao wanaongeza sales...kimsingi kuna watu wataanza kununua soda hizo kwaajili ya majina fulani na hii itawapatia faida Coca-cola!

Hata kama jambo hili halikuanzia hapa si lazima wasanii wetu wakubali jambo hili huku kampuni ya coca ikiingiza faida na wao hawapati kitu!

Coca-cola wametumia pesa kuweka hayo majina kwenye makopo na huku wana promote hiyo campaign kwenye media ..unategemea wasiingize pesa kwenye hili? Kuna wapenzi wa Diamond watanunua soda hizo kwa wingi na Coca-cola wataongeza mauzo maradufu!
 
 


Asante sana kwa mchango wako mkuu! Tunaongea lugha moja kabisa maana kimsingi kwa Wasanii wenye majina wanaifadisha Coca-cola na mauzo yao yataongezeka kabisa maana hata hao Coca-cola wamelipia pesa hiyo promotio kwenye media na wametengeneza matangazo kwaajili ya hiyo campaign hivyo lazima warudishe pesa na faida juu!

Na huu utaratibu wasanii wetu wasiiukubali hata kama ulisha fanyika huko ulaya!
 
Naomba nikuulize swali!
Kupitia hii campaign Coca-cola wanaingiza pesa au hawaingizi?
Yani turudie makosa ya wazungu kwa kuwa nao waliyafanya?

Wazungu hawako parfect kwa kila kitu katika hili Coca-cola wamewazidi akili na wamewatumia kuingiza pesa maana campaign hiyo inaongeza mauzo kwa Coca-cola!

Kama ilifanyika huko marekani bure huku kwetu tunawashauri wasanii wetu hasa wanye ushawishi kwenye jamii wasikubali kutumika bure kama hao wamarekani!

Hebu fikiri kopo lenye jina la Ali kiba au Diamond sales zake zitakuwaje?

Haya makosa yaliyo fanywa na wamarekani yasifanywe na wasanii wetu hapa nchini na nitaendele kuwashangaa.

"Bonge la staaa,bonge la njaa"-Fid q
 
Last edited by a moderator:
Le madebezzz hana jipya mana zaidi ya umaarufu uchwara tu na sifa z kijinga,yeye kila ki2 kwake anaingiza hela ila mfukoni hana ki2
 

Sina hata haja ya kusoma comment za wadau wengine nakuunga mkono.

Huyu mlugaluga kavamia mji kwa pupa sana anadhani hapa ni kule mikoani ambako lift za ghorofa zinafanyiwa uzinduzi.

Pamoja na uboya wote wa Le Mutuz huyu Msando ni mshamba fulani tu hana lolote, hivi hapa mjini huyu Msando ataongea nini mbele ya Baharia kitambo?

Wameshazoea pesa za ufisadi wa mifuko ya jamii anaona watu wote mazuzu jinga kabisa huyu.

Ni mpumbavu peke yake asiyejuwa mchango wa ufadhili wa Coca cola Tanzania, huyu kwa sababu ni pimbi fulani tu hajui faida tulizopata kwenye Copa Coa cola.
 

Nimewahi kusikia humu jamvini wewe ni Mwanasheria mimi sikujui, je unaweza kunijibu kiufasaha ni kwa nini kesi yenye attention za media mawakili ufikia hata kujitolea kumtetea bure mtuhumiwa?

Mfano kesi ya Lulu.

Nijibu ili swali nikwambie kitu kwa nini wasanii hawa hawa mnaodhani wananyonywa wanatoa rushwa kwa Madj nyimbo zao zipigwe na wale wa bongo movie wanatoa uroda kama hawana akili nzuri ili mradi tu apangwe kwenye script ya kuuza sura?
 

Wengine hujitolea ili wajulikane ili baadae wapate case nyingine na wapate hela! Hapo kwenye case ya Lulu sijui kama Marando amejitolea bure!

Turudi kwenye mada wewe unaona hili ni sahihi? Una unga mkono Alikiba kukubali jina lake litumike kuwanufaisha Coca-cola!

Katika hili la Coca-cola linawafaa wasanii wachanga!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…