Lebanon: Baada ya jana kwa Pagers za Hezbollah kulipuliwa, leo Radio Calls zao zalipuka; Watu 14 waripotiwa kufariki

Ukisema wewe inatosha, You have more reliable information than BBC 🀣 🀣 🀣

πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ Kwani nan asiyejua chombo cha uongo sio kila mtu anafuatilia hiyo BBC .
 
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ Kwani nan asiyejua chombo cha uongo sio kila mtu anafuatilia hiyo BBC .
Kwa hiyo wamekufa wanajeshi 700 wa Israel? Aisee, watu wana siri! 🀣 🀣 🀣
 
Nabii feki aliwagombanisha Waarabu kwa Waisraeli bila sababu ya msingi.
Nao wanaingia kingi bila kutafakari.
Unamchukiaje mtu au jamii fulani bila sababu...! πŸ€”
Waarabu waliostuka wanakula maisha Dubai bila bughudha.
Hawana shida na Waisraeli.

Hao wengine wanafuata mafundisho ya huyo mtu kuwa wapigane na Israeli Hadi Kiyama.
Hadi mawe yawaambie walikojificha Waisraeli.
Nicompoop teachings.
 
Music to my ears, mi arabs inapopigwa, mi kwangu furaha Sana,
Arabs/Muslim culture, ina Mambo ya hovyo Sana, fikiria Zenj, serikali ilizuia sherehe, starehe,kwa siku moja ili kusherehekea "kuzaliwa kwa mtu me" Maulid,it doesn't get more stupidier than this, yaani unizuie kucheza mziki,kula bia, kisa,mnasherehekea kuzaliwa kwa mtu aliyeishi karne ya 10! Seriously
 
Bwege wewe hakuna watu waongo kama Israel afu unasema ethics za Israel hazuruhusu uwongo. Sadam Hussein alivyo warushia missiles walificha hakuna aliye kufa au walio umia badaye wakadai wawili ndio walio umia kwa vigaye tu πŸ˜„ Bada ya miaka wakaja kukiri walikufa waisrael zaidi ya 36 fala mmoja wewe na walio umia zaidi 1000+ lakini wengine wakasema wamekufa wawili na 1046 walio umia. .
 
Vikosi vya Israel vimesogea karibu na Lebanon teyari kwa Vita dhidi ya Hezbola.
 
Umelala zako usiku ghafla kivuli chako kinalipukia unakufa unakufa kifo cha kuchekesha
Mkuu, kuna hadi smartphones zimelipuka hivyo hivyo hiyo jana.

Na ukizingatia cellphone iko na wewe muda mwingi kuliko hata kivuli chako.πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…