Lebanon: Baada ya jana kwa Pagers za Hezbollah kulipuliwa, leo Radio Calls zao zalipuka; Watu 14 waripotiwa kufariki

Lebanon: Baada ya jana kwa Pagers za Hezbollah kulipuliwa, leo Radio Calls zao zalipuka; Watu 14 waripotiwa kufariki

Nabii feki aliwagombanisha Waarabu kwa Waisraeli bila sababu ya msingi.
Nao wanaingia kingi bila kutafakari.
Unamchukiaje mtu au jamii fulani bila sababu...! 🤔
Waarabu waliostuka wanakula maisha Dubai bila bughudha.
Hawana shida na Waisraeli.

Hao wengine wanafuata mafundisho ya huyo mtu kuwa wapigane na Israeli Hadi Kiyama.
Hadi mawe yawaambie walikojificha Waisraeli.
Nicompoop teachings.
 
Music to my ears, mi arabs inapopigwa, mi kwangu furaha Sana,
Arabs/Muslim culture, ina Mambo ya hovyo Sana, fikiria Zenj, serikali ilizuia sherehe, starehe,kwa siku moja ili kusherehekea "kuzaliwa kwa mtu me" Maulid,it doesn't get more stupidier than this, yaani unizuie kucheza mziki,kula bia, kisa,mnasherehekea kuzaliwa kwa mtu aliyeishi karne ya 10! Seriously
 
Uwongo mtupu.

Israel pia kukitokea kifo chochote huwa hawafichi. Mpaka vifo ambavyo wenyewe kwa wenyewe wameuana, wanaripoti.

EThics za Israel haziruhusu kusema uwongo eti kwa sababu za kiusalama, kama ilivyo huku kwetu. Kuficha vifo, halafu ije kujulikana baadaye, aliyeficha lazima aadhibiwe vikali.

Kwenye vita hivi, Israel, Hezbollah na Hamas, wote hawafichi vifo. Lakini Israel kuna baadhi ya madhambulio dhidi ya maadui zake, huwa inanyamaza kimya, haikiri wala haikatai.
Bwege wewe hakuna watu waongo kama Israel afu unasema ethics za Israel hazuruhusu uwongo. Sadam Hussein alivyo warushia missiles walificha hakuna aliye kufa au walio umia badaye wakadai wawili ndio walio umia kwa vigaye tu 😄 Bada ya miaka wakaja kukiri walikufa waisrael zaidi ya 36 fala mmoja wewe na walio umia zaidi 1000+ lakini wengine wakasema wamekufa wawili na 1046 walio umia. .
 
Sasa naamini Israel ilimuua yule RAIS aliyekufa kwa helkopita
Yule pia alikuwa na Pager iangalie hapo Mezani.

20240918_210213.jpg
 
Hivi vita sasa vimeingia kwenye tekinolojia nyingine kabisa. Yaani radio call unit yako inalipuka inakuua au kukujeruhi. Simu yako inalipuka na kukujeruhi au kukuua.

Tuombee wayahudi, wasijekwenda kuyafanya hata mavazi ya hezibollah yalipuke na kuua. La sivyo tuyawaona Hezbollah wikitembea uchi wa mnyama kuepuka kuuawa na mavazi yao wenyewe.

Mpaka hapa, wayahudi watakuwa wamewachanganya vibaya magaidi wa Hezibollah na mfadhili wao Iran. Watapigana vipi bila ya kuwa na mawasiliano? Na huko Iran, simu zao zikiingiliwa zikawa zinalipuka hovyo, watafanyaje?

Mfadhili wa Ugaidi Iran, alaaniwe vibaya. Bila ya yeye, wapalestina wangekuwa ama wanaishi kwa amani kama Taifa moja la Israel au wangekuwa na nchi yao kwa kadiri ya mwongozo wa UN. Iran na Misri wakawashawishi Wapalestina kuwa eti wasikubali, wao watawasaidia kuwafuta wayahudi Duniani. Mambo yalipokuja kuwa magumu, Misri akajisalimisha, ikawa nchi ya kwanza ya kiarabu kuwa na mahusiano ya kidiplomadia na Israel, akawaacha wapalestina wakiendelea kudanganywa na Iran. Baadaye Iran ikaishia kuwatengenezea makundi ya kigaidi yanayowaletea maafa wapalestina, Walebanoni, Wayemeni na Wasiria, kila wakati.
Vikosi vya Israel vimesogea karibu na Lebanon teyari kwa Vita dhidi ya Hezbola.
 
Umelala zako usiku ghafla kivuli chako kinalipukia unakufa unakufa kifo cha kuchekesha
Mkuu, kuna hadi smartphones zimelipuka hivyo hivyo hiyo jana.

Na ukizingatia cellphone iko na wewe muda mwingi kuliko hata kivuli chako.😀
 
Back
Top Bottom