Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
DOGO UNAPANIKI SANA. JUST CALM DOWN. HAYA MAMBO HAYATAKI HASIRA. SISI WAKUBWA TUMEONA MENGI.Mimi baba Yako usiniite dogo kuwa na adabu basi hata kama upo nyuma ya keyboard hunioni kijana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DOGO UNAPANIKI SANA. JUST CALM DOWN. HAYA MAMBO HAYATAKI HASIRA. SISI WAKUBWA TUMEONA MENGI.Mimi baba Yako usiniite dogo kuwa na adabu basi hata kama upo nyuma ya keyboard hunioni kijana
Umelala zako usiku ghafla kivuli chako kinalipukia unakufa unakufa kifo cha kuchekeshaHii ni noma kabisa. Watu watakuwa wanaogopa hadi vivuli vyao.
Sasa wale waliolipuka nyeti itakuaje mkuu?Jambo la msingi sana hili 😂
Sawa MkubwaDOGO UNAPANIKI SANA. JUST CALM DOWN. HAYA MAMBO HAYATAKI HASIRA. SISI WAKUBWA TUMEONA MENGI.
Ukisema wewe inatosha, You have more reliable information than BBC 🤣 🤣 🤣BBC mbona hawasemi ?
Ukisema wewe inatosha, You have more reliable information than BBC 🤣 🤣 🤣
Kwa hiyo wamekufa wanajeshi 700 wa Israel? Aisee, watu wana siri! 🤣 🤣 🤣😀 😀 😀 😀 Kwani nan asiyejua chombo cha uongo sio kila mtu anafuatilia hiyo BBC .
Bwege wewe hakuna watu waongo kama Israel afu unasema ethics za Israel hazuruhusu uwongo. Sadam Hussein alivyo warushia missiles walificha hakuna aliye kufa au walio umia badaye wakadai wawili ndio walio umia kwa vigaye tu 😄 Bada ya miaka wakaja kukiri walikufa waisrael zaidi ya 36 fala mmoja wewe na walio umia zaidi 1000+ lakini wengine wakasema wamekufa wawili na 1046 walio umia. .Uwongo mtupu.
Israel pia kukitokea kifo chochote huwa hawafichi. Mpaka vifo ambavyo wenyewe kwa wenyewe wameuana, wanaripoti.
EThics za Israel haziruhusu kusema uwongo eti kwa sababu za kiusalama, kama ilivyo huku kwetu. Kuficha vifo, halafu ije kujulikana baadaye, aliyeficha lazima aadhibiwe vikali.
Kwenye vita hivi, Israel, Hezbollah na Hamas, wote hawafichi vifo. Lakini Israel kuna baadhi ya madhambulio dhidi ya maadui zake, huwa inanyamaza kimya, haikiri wala haikatai.
Yule pia alikuwa na Pager iangalie hapo Mezani.Sasa naamini Israel ilimuua yule RAIS aliyekufa kwa helkopita
Vikosi vya Israel vimesogea karibu na Lebanon teyari kwa Vita dhidi ya Hezbola.Hivi vita sasa vimeingia kwenye tekinolojia nyingine kabisa. Yaani radio call unit yako inalipuka inakuua au kukujeruhi. Simu yako inalipuka na kukujeruhi au kukuua.
Tuombee wayahudi, wasijekwenda kuyafanya hata mavazi ya hezibollah yalipuke na kuua. La sivyo tuyawaona Hezbollah wikitembea uchi wa mnyama kuepuka kuuawa na mavazi yao wenyewe.
Mpaka hapa, wayahudi watakuwa wamewachanganya vibaya magaidi wa Hezibollah na mfadhili wao Iran. Watapigana vipi bila ya kuwa na mawasiliano? Na huko Iran, simu zao zikiingiliwa zikawa zinalipuka hovyo, watafanyaje?
Mfadhili wa Ugaidi Iran, alaaniwe vibaya. Bila ya yeye, wapalestina wangekuwa ama wanaishi kwa amani kama Taifa moja la Israel au wangekuwa na nchi yao kwa kadiri ya mwongozo wa UN. Iran na Misri wakawashawishi Wapalestina kuwa eti wasikubali, wao watawasaidia kuwafuta wayahudi Duniani. Mambo yalipokuja kuwa magumu, Misri akajisalimisha, ikawa nchi ya kwanza ya kiarabu kuwa na mahusiano ya kidiplomadia na Israel, akawaacha wapalestina wakiendelea kudanganywa na Iran. Baadaye Iran ikaishia kuwatengenezea makundi ya kigaidi yanayowaletea maafa wapalestina, Walebanoni, Wayemeni na Wasiria, kila wakati.
Watapewa nyeti mpya, Allah hana noma kabisaSasa wale waliolipuka nyeti itakuaje mkuu?
Mkuu, kuna hadi smartphones zimelipuka hivyo hivyo hiyo jana.Umelala zako usiku ghafla kivuli chako kinalipukia unakufa unakufa kifo cha kuchekesha