Kwa mtu ambaye sio dereva atajuaje namna ya kupata leseni? Wameambiwa watoe hela ya leseni chuoni na wakatoa bila kujua kuwa wanakosea kivipi uwalaumu?Nyie haki yenu kuibiwa mana mlitaka leseni bila ya kusoma na mlivokua vichwa upande mkampa shirima hela
Nyie haki yenu kuibiwa mana mlitaka leseni bila ya kusoma na mlivokua vichwa upande mkampa shirima hela
Hajui huyo , huyo Manala hawamjui ni Mtu muhuni sanaKwa mtu ambaye sio dereva atajuaje namna ya kupata leseni? Wameambiwa watoe hela ya leseni chuoni na wakatoa bila kujua kuwa wanakosea kivipi uwalaumu?
Chuo chake cha Kahama kinaitwaje?....ana chuo chake pale Kahama
Tunapeliwa kila siku na maviongozi yetu ma profesaa madaktari sembuse digirii?Msomi chuo kikuu unatapeliwa kizembe? Sasa hawa wanaojifanya wafanyakazi wa mix , vodacom sio watakumalizeni kabisa?
Kiufupi nahisi kama hamjatapeluwa, ila TRA wameanzisha mifumo ambayo huku chini inawapa shida au haijazoeleka kama zamani.
Mfano, kibali cha madunzo "learner" kinakatwa kwwnye mfumo na kinatakiwa kitimie siku 30 ndo uombe leseni uliyojifunzia.
Wakati zamani ukiwa kwenye mafunzo application ya leseni iko mbioni na ukimaliza mafunzo una cheti cha mafunzo na leseni yako!
Simtetei ila kuna mfumo ambao unazua taharuki
Kahama Vocational Training centerChuo chake cha Kahama kinaitwaje?
Acheni utapeli kwahiyo huo mfumo ndo umesababisha yeye kuchukua pesa za leseni ?Kiufupi nahisi kama hamjatapeluwa, ila TRA wameanzisha mifumo ambayo huku chini inawapa shida au haijazoeleka kama zamani.
Mfano, kibali cha madunzo "learner" kinakatwa kwwnye mfumo na kinatakiwa kitimie siku 30 ndo uombe leseni uliyojifunzia.
Wakati zamani ukiwa kwenye mafunzo application ya leseni iko mbioni na ukimaliza mafunzo una cheti cha mafunzo na leseni yako!
Simtetei ila kuna mfumo ambao unazua taharuki
Karibu NITNilitaka kumpekeka Mke wangu Chuo hiki
Huyo jamaa safari hii kajichanganya sanaUko na intel za kutosha kumhusu
Hee kumbe ni kubwa hivi?Kahama Vocational Training center
Na chenyewe sio chuo anakitumia kutapeli watu .
Kasome pale pale na leseni unapata. Hamna kona kona, unless uwe na haraka utake kupindisha mambo ndio unaombwa hela.Nilikuwa na mpango wa kurudi pale.
Hapo Arusha kuna sehemu gani naweza kujifunza driving na leseni hamna mlongolongo?. Mimi pale nishawahi pita nikachukua degree yangu ya biomed
Hee kumbe ni kubwa hivi?
Kwa taarifa tu ni kua NIT hawapokei beginners ukienda pale utapaswa tayari uwe ni Dereva na leseni daraja Fulani ndio utakua enrolled kwenye program zao.NIT si inakozi za driving? Tatizo mnapenda kitonga , veti na leseni bila kusoma.
Shukurani Sana, kiongozi.Kasome pale pale na leseni unapata. Hamna kona kona, unless uwe na haraka utake kupindisha mambo ndio unaombwa hela.
Ohooo....Jamaa sijui ana laana au nini yaani ni tapeli , mwizi , muhuni .
Mimi alimtapeli ndugu yangu kiwanja mpaka Leo Kuna kesi mahakamani.
Pia ana mke wake anaitwa Georgina Shirima huyu na yeye ni mwizi mkubwa sana .