KERO Lecturer wa NIT ametutapeli Pesa za leseni wanafunzi zaidi ya 100 wa mwaka huu 2026

KERO Lecturer wa NIT ametutapeli Pesa za leseni wanafunzi zaidi ya 100 wa mwaka huu 2026

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Kwa taarifa tu ni kua NIT hawapokei beginners ukienda pale utapaswa tayari uwe ni Dereva na leseni daraja Fulani ndio utakua enrolled kwenye program zao.
Kama sio Dereva na huna leseni watakuelekeza ukapate mafunzo kwenye vituo vya udereva kwanza ndo hizo driving schools unaziona zime jazana mitaani uko.
Na hapo mjanja Manala ndo alipata mwanya wa kuwapiga Wanafunzi wake
 
Na wanataka nchi kupitia Chadema
Msije kusema hamkujua !!!

wakati mnasapoti wahuni
wa Chadema
vilio kwa Watoto vishaanza
uyo manala T tuachieni
1week nyingi !!!
 

Attachments

  • 6383535-d2a99db8c1716a1080d26b345b5eadf6.jpg
    6383535-d2a99db8c1716a1080d26b345b5eadf6.jpg
    20.3 KB · Views: 3
  • IMG-20260827-WA0012.jpg
    IMG-20260827-WA0012.jpg
    22.3 KB · Views: 3
Wafungue kesi chap wawapunguzie mzigo polisi

Wanamdaka chap kisha mangine yataendelea!!!!!!!
 
Kulalamika jamii forum na kesi hakuna kituoni

Ni kutotimiza wajibu wako kama vijana!!!!!
 
Jamaa anaitwa Manala T Mbumba, Mke wake anaitwa Georgina Shirima na Rafael Sungura...KAZI IPO!
 
Majina ya kichaga sio wote Wezi wengine ni waungwana sana wameshiba Dini sana !!!

Tuwaombe malalamiko yao yaambatane na ukweli japo tujue kuna kesi popote

Lkn maneno tupu vijana wapo 110 ni ujinga Utoto

Kama umetapeliwa fungua kesi kituo chochote cha polisi!!!!!
 
Msiaribu majina ya watu Biashara za watu
Pasi na maelezo ya kutosha
Jamii forum itakuwa inatumika vibaya :BanHammer:
 
Kwa mtu ambaye sio dereva atajuaje namna ya kupata leseni? Wameambiwa watoe hela ya leseni chuoni na wakatoa bila kujua kuwa wanakosea kivipi uwalaumu?
hawa ni wasomi wa chuo kikuu, na tunategemea waje kuleta impact, wanatumiaje "internet" kuona utaratibu upoje? kikawaida mihango holela mashuleni mingi hua na kasoro
 
Njoo jamii forum ukiwa na kesi mkononi kuonyesha hakuna hatua zimechukuliwa pamoja na kufungua kesi✍️
 
Kiufupi nahisi kama hamjatapeluwa, ila TRA wameanzisha mifumo ambayo huku chini inawapa shida au haijazoeleka kama zamani.

Mfano, kibali cha madunzo "learner" kinakatwa kwwnye mfumo na kinatakiwa kitimie siku 30 ndo uombe leseni uliyojifunzia.
Wakati zamani ukiwa kwenye mafunzo application ya leseni iko mbioni na ukimaliza mafunzo una cheti cha mafunzo na leseni yako!

Simtetei ila kuna mfumo ambao unazua taharuki
mfumo upo sawa na tena kwasasahivi ndo upo sawa kupindukia.

wnachotaka mwanafunzi wa udereva kabla hajaingia barabarani kujifunza gari awe amekata hiyo "lena" - provisional license , hapa ndo anapata uhalali wa kua barabarani akifundishwa gari na muda wa siku 30 mamlaka zina assume siku 30 hizi ndo zile umeenda chuo kusoma, wiki 4 au 5.

wasomi hawa wameingizwa mjini kizembe sana
 
Ukitaka kusoma ili kupata Leseni

Hatua muhimu sana

Kwanza chunguza JE chuo chao kina mashine ya
kutoa risiti ya TRA !!

Kama ndio sasa Lipa pesa yao na wakupe risiti wakati huo huo !!!

kisha endelea kusoma na kuendelea kufuata vigezo vya kupata Leseni yako TRA

Fahamu kupewa cheti cha chuo sio kigezo cha kupata Leseni ❗

Cheti cha chuo lazima kiambatane na Risiti ya kulipia hicho chuo chako ndipo utapepa Leseni yoyote baada kukizi vigezo ✍️
 
Usikubali kutoa pesa kwanza cha chuo na kuambiwa risiti utapewa baadae kwasasa mashine inatatizo kidogo !!

Wengi wanaingizwa mjini kupitia maelezo hayo
Mashine Mkuu ndio kaenda kushughulikia utapata risiti kwakuwa mafunzo yanaendelea utapewa tu kwasasa endelea na masomo.

Risiti yako mkononi kwanza ndio kusoma kuendelee ✍️
 
Usikubali kutoa pesa kwanza cha chuo na kuambiwa risiti utapewa baadae kwasasa mashine inatatizo kidogo !!

Wengi wanaingizwa mjini kupitia maelezo hayo
Mashine Mkuu ndio kaenda kushughulikia utapata risiti kwakuwa mafunzo yanaendelea utapewa tu kwasasa endelea na masomo.

Risiti yako mkononi kwanza ndio kusoma kuendelee ✍️


Huyo jamaa nakumbuka kipindi anauza viwanja alimtapeli ndugu yangu mpaka Leo Kuna kesi mahakamani.


Jamaa mpigaji na ukiweza muona hauwezi kumzania na matukio anayofanya.

Alivyo mjanja kajificha na nguo za Ccm
 
Vyombo vya Usalama vipo
Vipeni majukumu kisha mje Muone kama bado kuna Mwananchi atalalamika kuhusu Manala T
 
Back
Top Bottom