Mama Ametufikia
JF-Expert Member
- Jul 17, 2024
- 535
- 1,395
Na hapo mjanja Manala ndo alipata mwanya wa kuwapiga Wanafunzi wakeKwa taarifa tu ni kua NIT hawapokei beginners ukienda pale utapaswa tayari uwe ni Dereva na leseni daraja Fulani ndio utakua enrolled kwenye program zao.
Kama sio Dereva na huna leseni watakuelekeza ukapate mafunzo kwenye vituo vya udereva kwanza ndo hizo driving schools unaziona zime jazana mitaani uko.
Insikitisha sana kuona Mtu anawaibia watu na bado serikali haifanyi chochote
Mbona anafanana na Mkojani Bin Darwesh aka Kipupwe ama ni mapacha?🤔Baada ya kuiba hela za viwanja na kuwaibia Wanafunzi kaamua kukimbilia ktk siasa
Mmefungua kesi wapi kituo kipi ???Jamaa anaitwa Manala T Mbumba, Mke wake anaitwa Georgina Shirima na Rafael Sungura...KAZI IPO!
hawa ni wasomi wa chuo kikuu, na tunategemea waje kuleta impact, wanatumiaje "internet" kuona utaratibu upoje? kikawaida mihango holela mashuleni mingi hua na kasoroKwa mtu ambaye sio dereva atajuaje namna ya kupata leseni? Wameambiwa watoe hela ya leseni chuoni na wakatoa bila kujua kuwa wanakosea kivipi uwalaumu?
mfumo upo sawa na tena kwasasahivi ndo upo sawa kupindukia.Kiufupi nahisi kama hamjatapeluwa, ila TRA wameanzisha mifumo ambayo huku chini inawapa shida au haijazoeleka kama zamani.
Mfano, kibali cha madunzo "learner" kinakatwa kwwnye mfumo na kinatakiwa kitimie siku 30 ndo uombe leseni uliyojifunzia.
Wakati zamani ukiwa kwenye mafunzo application ya leseni iko mbioni na ukimaliza mafunzo una cheti cha mafunzo na leseni yako!
Simtetei ila kuna mfumo ambao unazua taharuki
Usikubali kutoa pesa kwanza cha chuo na kuambiwa risiti utapewa baadae kwasasa mashine inatatizo kidogo !!
Wengi wanaingizwa mjini kupitia maelezo hayo
Mashine Mkuu ndio kaenda kushughulikia utapata risiti kwakuwa mafunzo yanaendelea utapewa tu kwasasa endelea na masomo.
Risiti yako mkononi kwanza ndio kusoma kuendelee ✍️
AtashughulikiwaVyombo vya Usalama vipo
Vipeni majukumu kisha mje Muone kama bado kuna Mwananchi atalalamika kuhusu Manala T