Lecturers wanatumalizia dada na wadogo zetu

Kawaida tu,watu wanakulana vyuoni,makazini,makanisani,kitaa,so hakuna Cha upekee watu wakilana vyuoni,asipoliwa chuoni,ataliwa kazini,au wakati wa kutafuta ajira,au ataliwa kitaa wakati anataka kupunguziwa mzigo wa majukumu,pesa ya Kodi,gesi,saloon,
 
Lecturer adden anaomba uthibitisho mkuu.
Sasa hapo sijui ulete picha au nini dah!!!
 
Dah yani hi kitu imeshamiri haswa na inatia hasira sana
 
Suluhu ni mitihani na coursework na usahihishaji itoke nje ya chuo husika. Either chuo kingine au bodi maalum ya taifa ya mitiani vyuoni. Vyuo viwe vinafundisha tu na kutoa majaribio. Hapo lactures watakuwa hawana kisu cha kumtishia mwanafunzi.
 
Mabinti wa siku hizi wanapenda sana ngono,na ndio wanaojirahisi na kuwatega waalim ili wapate maksi za bwerere,hizo kesi ni nyingi sana
 
Ungeliwa weye ingependeza sana na upate mimba.Unajibu kwa urahisi na kitoto tu.Unajua maumivu ya kulea mabinti weye!Kengelubete kabisa.Waachwe wasome halafu waolewe kihalali.
Sasa we umepata mimba. ? Kuna vitu naturally ni vigumu kuvizuia we Ashaboko...yani uzuie ma lacture wasile wanafunz wao ambao nao ni watu wazima...!?? Imbicile little toad wwe
 
Sidhani kama shida ni kubwa kiasi hicho. Wengi husemwa kwa hisia tu. Na pia inategemea course na course. Tatizo linaweza kuwepo zaidi kwa courses ambazo si pure science.
 
Nahisi mabinti wa chuo wengi ni watu wazima. Mfumo wa malezi wa hawa mabinti umekuwa mbali na wazazi na familia zao kutokana na mitindo ya maisha, mtoto kuanzia primaly boarding, anakopi life za kwenye tamthilia.. Hapo hakuna wa kumtupia lawama.. tuangalie tulipotoka na tuanze rekebisha kwenye misingi
 
Lecture gani uyo
 
Kwani wakitumika inaisha?
 
Wamekamatwa wengi... NIT, ATC, UDSM... Mtafute Madam mmoja pale Udsm anaitwa Shule ni alikuwa ana pambana na hili janga pale udsm nazani mpaka sasa, kama jamii Inge muunga mkono basi angalau kitu kikubwa kinge tokea
Madame Iron Lady Shule
Aliundiwa Zengwe Pale UDSM Hii Nchi Ngumu Sana
 
Hizi degree za chupi zinatusumbua sana huku maofisini kazi zenyewe hawawezi. Kutwa majungu na masafari tu ruhusa mwanzo mwisho matatizo ya kifamilia.
Na hata ninyi maofisini ni kuwavua wake na dada zetu chupi kutwa na wakati mwingine humo humo ofisini
 
Darasa La Nne Ndiyo Wanachukua Nafasi Kuolewa Baadaye Darasa La Saba
 
Hivi taaluma ya kuandika ama kuongea lugha fulani mtu anatakiwa kuipata chuo kikuu? Haya mawazo ni hatari sana. Kama ni hivyo hatuna haja ya kuwa na elimu ya chini watu waende moja kwa moja chuo kikuu na mitaala ibadilike sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…