Lecturers wanatumalizia dada na wadogo zetu

Nimekuelewa Sana tena sanaa.
 
We umoena hao lectures pekee yao..mbona huseni.. wanafunzi wanaowekana kinyumba..kama.mmke na mume...mzazi unalipa ada..home mnakula.maharage miaka mitatu kusomesha kijana ama.binti kumbe chuoni ni mke wa mtu..anapikwa na kupakuliwa na wwnzake...

It's so hurt aisee...wanafunzi wengi wa vyuo now days wanasoma ngono ..mawazo na akili zao zimejaza ujinga
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mods. napendekeza hii thread isomeke hivi "Sisi ma-lecturer wanaume tumekuwa wajinga sana kuwataka wanafunzi wa kike kimapenzi" halafu mjadala uanze upya....
[emoji28][emoji28]
 
Na ndio hutumia huo udhaifu kukukomesha na hivi hakuna wakuhoji in short hyo tabia ni mbovu na ni kichefu chefu mno kwa kweli
Mie kila siku nasema ipo siku hili janga litakuwa wazi, afu sijui lawama itatupwa kwa nani. Lol
 
Anakufelishaje? Hebu acha kupayuka kama mwehu!!!!

Chuo gani hicho Lecturer anafelisha mwanafunzi makusudi?

Unajua kwamba kila chuo kina idara ya QAB (Quality Assurance Bureau)? Unajua ina kazi gani?
Wee nijibu kwa staha bas, huu muhemko wako vipi? Kwani ukijibu kwa uratatibu tyuuh unapungukiwa nini? Km umeguswa poleeeh
 
Tatizo hao dada na wadogo zenu hawapendi kusoma,Muda wote Instagram na YouTube kufuatilia maisha ya mastar.

UE zinapokaribia wanajikuta Wana vitu vingi vya ku cover na hapo utakuta mtu ame skip vipindi vingi.

End of the day wanashauriana waende kwa lecturer wakapewe favorite.

Na Kama mnavojua ndugu zangu 'tunda' halina mbabe Wala mtaalamu wa kulikataa unless otherwise huyo lecturer awe na uwalakini.
 
Ni kweli kuna Dada yangu aliniambia kwasasa pale UDSM ukitaka kutoka na DEGREE SAFII INAAMBATANA NA UKIMWI WA KUJA NAO MTAANI
 

Tutafuteni tiba ya hili tatizo kwa kuwa likiachwa litazidi kuwa kubwa na mwisho jamii itachukulia ni kawaida tu,tufanyeni nini tuliondoe hili tatizo?jiangalie ww na jamii yako inayokuzunguka!kama sio ww basi atafanyiwa mwanao na kama sio mwanao atafanyiwa dada yako na kama sio dada yako bc atafanyiwa mkeo je tunafanyaje kuiondoa hii hali ili ibaki kuwa vyuoni ni sehemu salama kwa jamii hii ya kike?hebu tusaidiane ktk hili ili watoto wetu wawe salama.
 
Mlio na madada vilaza hii mada inawahusu.
Hata hivyo nimeona watu wanamwaga nyongo sana kana kwamba kuna la ziada na machungu ya ziada juu ya wadada vilaza na wavivu makazini.From my experience,wakaka ni mambumbu zaidi nilipopita!.
 
Anzisha mada ya hili dukuduku wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…