Sio sahihi! Nadhani umetumia maneno makali zaidi kuchangia mada hii.Yule msenge sana
I think alikuwa anatumwa na mabeberu
Mimi mpaka leo bado ninajiuliza Mwalimu Nyerere alionekana mtu mwenye akili sana,hasa ukisikia simulizi za walio kuwa kipindi cha utawala wake.Nyerere ana mapungufu mengi kuliko mazuri yake kwenye siasa za nchi hii, tupo hapa kama taifa kwa machaguo mabaya na maamuzi aliyoyafanya Nyerere
#UkweliUsemwe
Kuwajali watanzania kwa kuwafanya wavae kaniki,viatu vya matairi nk?,huku wakikosa huduma na bidhaa muhimu kama sukari,sabuni nkSio sahihi! Nadhani umetumia maneno makali zaidi kuchangia mada hii.
Unaposema alikuwa anatumiwa, niambie yeye alinufaika na nini katika kutumiwa kwake,? Maana hakuwa na Utajiri wa kujilimbikizia mali! zaidi wakati wake hakukuwa na exploitation kubwa ya natural resource! Na ni yeye alizuia exploitation mpaka tutakapo jitambua!
Please pamoja na andiko Bora kabisa la Malcom, walau tuwe na heshima kwa Mwalimu, ni wajibu wetu sisi kusahihisha mapungufu yake na sio kumdhihaki Kwa KAZI kubwa aliyofanya kufikisha Taifa hapa.
Kwanini usilaum kizazi cha wakati huo, tena akiwemo Malcom ambaye anaonekana kabisa kwa ufahamu wake, ni tunda la utawala wa Mwalimu??
Infact, pamoja na mapungufu tunayo yajadili, ni dhahiri alionesha kuwajali watanzania wote.
Yaani hata kwa akili ya std 7 huu muungano una walakini, sijui alikuwa anawaza nini kulizika taifa lake mwenyeweMimi mpaka leo bado ninajiuliza Mwalimu Nyerere alionekana mtu mwenye akili sana,hasa ukisikia simulizi wa walio kuwa kipindi cha utawala wake.
Hili la muungano huwa linafanya niwe na ukakasi juu ya historia hizi kwamba ni kweli au Zina chumvi kwa sababu iweje mtu mwenye akili ashindwe kung'amua kasoro za muungano ambazo zilioneshwa hata na G 55
Dhana ya kuwajali, nimeichukua kwenye namna Public funds ilivyokuwa inatawanywa, na namna yeye binafsi alivyotumia Ofisi kwa manufaa ya wote.Kuwajali watanzania kwa kuwafanya wavae kaniki,viatu vya matairi nk?,huku wakikosa huduma na bidhaa muhimu kama sukari,sabuni nk
Au kuwa jali ndo huku kuwafanya wawe masikini na kuona umasikini ni sifa na utajiri ni ushetani na ubeberu
Ndo nauliza hizo pesa za umma kwanini hazikufanya wananchi wawe na bidhaa muhimu pasipo kupanga mstari kuzipata?Dhana ya kuwajali, nimeichukua kwenye namna Public funds ilivyokuwa inatawanywa, na namna yeye binafsi alivyotumia Ofisi kwa manufaa ya wote.
Itoshe kusema, alikuwa binadamu kama ulivyo wewe, mapungufu ni kawaida!
Wazanzibar walikuwa wanalalamika sana kuhusu muungano Watanganyika tuliona ni kelele tu na nguvu ilitumika haswa leo hii Watanganyika ndo tunalia kuhusu muungano huku Wazanzibar wakiwa tayali kwenye nafasi nyetiYaani hata kwa akili ya std 7 huu muungano una walakini, sijui alikuwa anawaza nini kulizika taifa lake mwenyewe
Ni rahisi sana kwa sasa kuona wakati wake alikosea! This is a principle! No wonder hapo ulipo Kuna nyakati unaona Baba yako mzazi kuna mahali ali mess up katika kuipambania familia yenu. Hii inamaanisha kuwa hakuna binadamu aliye kamilika.Ndo nauliza hizo pesa za umma kwanini hazikufanya wananchi wawe na bidhaa muhimu pasipo kupanga mstari kuzipata?
Pesa za umma zilizopelekwa kwenye vita ya Kagera zilileta matokeo gani baada ya kupelekwa uko ?
Kupeleka jeshi kule Nigeria (Biafra war) kulileta manufaa gani kwa umma wa Watanzania ?
Kwani kipindi chake hakuna walio ona hayo matatizo na kusema ? Nini kilitokea kwao ? G 55 walikuwa hawana hoja kuhusu muungano?Ni rahisi sana kwa sasa kuona wakati wake alikosea! This is a principle! No wonder hapo ulipo Kuna nyakati unaona Baba yako mzazi kuna mahali ali mess up katika kuipambania familia yenu. Hii inamaanisha kuwa hakuna binadamu aliye kamilika.
Lakini! Independence for struggle wasn't easy at all! I think watu hatuna clue ya kujadili without even appreciate his effort to liberate Tanganyika as well as Africal
Naamini wengi wetu tunao jadili humu, tuko na uelewa finyu sana, sabab hatusomi vitabu Wala historia ya mapambano ya ukombozi wa Nchi zetu hususani Africa ulivyokuwa.
The issue is, toka watu wamejua kuwa kuna mapungufu mahali, ni hatua gani zilichukuliwa kurekebisha hayo mapungufu!
Je, tuendelee kumlaum mwalimu, au ni sisi kuchukua hatua? This is my concern!
Don't curse the candle for lightening others.
Ni wapi katika historia ya USA ulisoma kwamba Kuna rais alichukua pesa za umma na kugharamia uchaguzi wa chama chake kama alivyo fanya Rais Mkapa kwenye EPA ?Tuwe tunasoma, tujue mataifa mengine yalipitia wapi mpaka kufanikiwa.
Soma historia ya USA, pamoja kuwa na Marais wengi, lakini walioleta mapinduzi ni wachache sana.
Hivyo, mpaka sasa TZ Bado tuna struggle kupata mtu sahihi wa kituvusha hapa! Wala sio kwa maamdamano , ispokuwa matumizi sahihi ya akili, rasilimali, diplomasia na uwekezaji.
Haya tunayoyasema mengi Nyerere alikuja kuomba radhi alipotoka madarakani japo hakui influence kuyabadilisha.Ni rahisi sana kwa sasa kuona wakati wake alikosea! This is a principle! No wonder hapo ulipo Kuna nyakati unaona Baba yako mzazi kuna mahali ali mess up katika kuipambania familia yenu. Hii inamaanisha kuwa hakuna binadamu aliye kamilika.
Lakini! Independence for struggle wasn't easy at all! I think watu hatuna clue ya kujadili without even appreciate his effort to liberate Tanganyika as well as Africal
Naamini wengi wetu tunao jadili humu, tuko na uelewa finyu sana, sabab hatusomi vitabu Wala historia ya mapambano ya ukombozi wa Nchi zetu hususani Africa ulivyokuwa.
The issue is, toka watu wamejua kuwa kuna mapungufu mahali, ni hatua gani zilichukuliwa kurekebisha hayo mapungufu!
Je, tuendelee kumlaum mwalimu, au ni sisi kuchukua hatua? This is my concern!
Don't curse the candle for lightening others.
Ni ujinga mtupu!ENIWEI sijui kama tutaelewana......
Sasa maajabu ndiyo haya: kwa hiyo Nyerere katika utawala wake aliendeleza mfumo wa kikoloni?Katika uongozi wake Mwalimu alipaswa kubadili mfumo wa kikoloni tangia siku ya kuapishwa.
Angefanya hivyo angeipata Tanzania mpya yenye mwelekeo tofauti na pengine asingechukua muda mrefu.
Mtakubaliana na Tundu Lissu kuhusu chanzo kikuu cha tatizo kama alivyoainisha kwenye hotuba yake kwenye Bunge la Katiba ?
Nimeeleza hoja yangu kupitia mumo kwa mumo alimopita Malcom.Sasa maajabu ndiyo haya: kwa hiyo Nyerere katika utawala wake aliendeleza mfumo wa kikoloni?
Ukweli ni kwamba sijaelewa mantiki ya hoja yako hii na 'relevance' ya hiyo mifano uliyoitumia.
Mkuu, weye waamini kwamba mwaka 1992 kulipofanyika kura ya maoni wananchi walitaka chama kimoja?"'''chanzo kikuu cha tatizo..."; kwamba tatizo ni kutofanywa mabadiliko yoyote katika tatizo hilo wakati wowote hata itakapoonekana mabadiliko yanahitajika?
Hili lilielezwa wapi katika hilo tatizo.
Na mbaya zaidi ni hapo tatizo lenyewe limebadilishwa lengo lake la mwanzo; lakini mada inataka lionekane kama tatizo lililoasisiwa vilevile!
Kama haikuwezekana kuwepo upigaji wa kura wakati huo kwa sababu mbalimbali, ichukuliwe kuwa hapawezi kuwepo kura wakati mwingine wowote hata wakati lengo la mwanzo lilikwishapindishwa na kuwa kitu tofauti kabisa?
Naona hata baadae utaanza kudai kwa nini Nyerere hakuitisha kura kuuliza kama watu wanataka Tanganyika iwe huru toka ukoloni!
Basi nenda kaitishe kura ya kuwauliza waTanganyika kama wanataka kuendelea kuwa huru au tuwaombe wakoloni warudi kututawala.