Legacy kuu za Mwalimu Nyerere: Mwiba mkali kooni mwa Watanganyika

Nyerere alipewa hyapu kubwa kuliko uwezo wake
 
Ewaaah 👍
 
Mtu wa kwanza kupinga UTANGANYIKA alikuwa ni Nyerere!

Wanachofanya CCM ni kumuiga tu Baba Yao.
​
 
Kuna watu wanadai eti alisaidia Nchi za kusini mwa Afrika kupata Uhuru, wasichoelewa malengo ya Mwl ni kutaka kuwa Rais wa Afrika nzima, alijifunza hizi mambo huko Ulaya mashariki na walimpa support kubwa ni vile tu malengo hayakutimia
Wewe ni 'Bush Dokta' kwelikweli wala hakuna shaka juu ya hilo!
 


Kwanini CCM yenyewe isijisafishe? Wakawa serious kama wachina katika kutafuta na kuandaa viongozi?

Kwa sasa sioni mbadala wa CCM. Unless vyama vipanzani wanafaulu changamoto zilizopo na kujenga vyama vyenye mifumo imara ya uongozi.

Viongozi wengi wa vyama vya upinzani hawako kule kuleta siasa....bali kula na kushiba kupitia weakness za chama dola
 
Nyerere ndo chanzo cha haya matatizo yaliyopo
 
Yote hayo baada ya kwenda ziara uchina


Sijui alirudi karogwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…