Legacy zinavyopotea haraka, nahisi huruma

E

Eti Tanzania ni tajiri, tutembee kifua mbere. Kumbe kila mwaka anakopa trilioni 6 kujenga miradi yake ya kingese
Alikua tapeli katili yule jamaa..

Mungu katenda jambo lakini!
 
Tuachane we na nani?Jina la JPM litaishi mioyoni mwa mamilioni ya watanzania daima.Mlishindwa kumchafua alipokuwa hai,haitowezekana hivi sasa,endeleeni kuumia roho[emoji28]
Hayo mamilioni ya watanzania labda wa Chato, unasemelea mamilioni ya watz gani ww goigoi wa Lumumba?!

Hizi akili zenu za mkopo ipo siku mtazirudisha na riba kubwa sana.
 
Unaumia sana eeee[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]

Nguvu unazotumia kumuua JPM mioyoni mwa watanzania ni nyingi mnoo ila ujue ataishi vizazi kwa vizazi

Wanaomkumbuka na kuchipua ni hawa hapa na wengine wengi zaidi

Your browser is not able to display this video.


Your browser is not able to display this video.

Kama inakuuma sana jinyonge
 
Umewahi jiuliza Kwa nini Lissu ni mpingaji wa Legacy ya hayati JKN??

Kitendo cha kusema Legacy huwa haipingwi, ni lazima uanze kumwona Lissu hazimtoshi
Usihamishe magoli,JPM hana Legacy aliyoiacha na ndiyo maana unahangaika kuitafuta na kuitetea.Unaweza kututajia walau baadhi yake?
Issue ya Lissu na JKN hapa siyo mahala pake.Fungua thread ya huo mjadala.
 
ufanye sikukuu kimya kimya halafu ukamatwe!!!!!

tatizo lenu mna katabia ka uchangudoa,
vipi uhuru wa vyombo vya habari umefikia wapi,mara ya mwisho naskia mliwaka na magazeti yafunguliwe[emoji38][emoji38]
Aliyeyafungia sasa hivi yuko wapi. Amefaidika na nini?
 
UVCCM mna kazi ngumu sana ya kuibadili nyekundu kuwa njano

Poleni sana
 
Ukatili wa kutokupandisha mishahara wafanyakazi kwa miaka 6, kuua wapinzani na kuwaweka Kwenye viroba, kudhulumu wazee mafao yao, kupiga risasi wapinzani... the list is endless
 
Usihamishe magoli,JPM hana Legacy aliyoiacha na ndiyo maana unahangaika kuitafuta na kuitetea.Unaweza kututajia walau baadhi yake?
Issue ya Lissu na JKN hapa siyo mahala pake.Fungua thread ya huo mjadala.
Kama kigezo legacy haitakiwi kutetewa, bali inajipigania, Basi Anza kumdharau mbeligiji kuanzia leo kwa kuwa, yeye alidiriki kupinga legacy za hayati JKN, Wakati wewe na genge loote ufipa mnazikubali mambo alizoziacha Mwl

Inakuweje sasa Legacy mnazozikubali za JKN zipingwe na mwehu mmoja??
 
Ufipa ndiyo wapi tena?Hizo Legacy za JKN zinahusianaje na Jiwe?Mbelgiji/Mwehu ni nani?We we unatetea legacy ya nani?
 
Angekuwa wa hovyo angekujengea Madaraja,sgr, Mwendokasi,Hospitali, Shule,Bwawa la umeme la Nyerere,Ununuzi wa ndege, ujenzi wa viwanja vya ndege, Ununuzi wa meli,ujenzi wa bandari,nk???.
Kwani alikua anatoa hela mfukoni mwake hadi useme alimjengea, hivyo hata mwanangu angeweza kujenga bila wasi wasi wowote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…