Legacy zinavyopotea haraka, nahisi huruma

Legacy zinavyopotea haraka, nahisi huruma

Yaani unajaza gazeti kumbe,unaandika utumbo tupu.Kama huna cha kuandika ,fanya kazi nyingine.Kuliko kutujazia uchafu tupu humu JF.
Lupem, ungekaa kimya ungepoteza nini? Nyie ndio munaamini ukiongea kwa sauti kubwa unaeleka zaidi? (Kinyumecho wabainisha ujingao)
 
Eti unaona huruma!..

Kuna watz wajinga,
. Badala ya uwaonee huruma ukoo wako wanaliwa na umaskini wewe unamuonea huruma mtu anaekula milioni 10 per month?
Michango ya Jazba! M10 kwa mwezi nini? Unawaza kutumwa!! Kwa nini ulipwe..
 
Juhudi ya 16% ya watanzania haiwezi uwa legacy ya JPM

Magufuli ndio kwanza anachipua na kuchanua katika mashina ya watanzania zaidi ya 84%

JPM aliishi, anaishi na ataendelea kuishi...... mnaoumia na kupambana asahaulike mtakufa kwa kihoro
Hata angetangazwa kwa 107%, still bado alikuwa kiongozi wa kiwango cha chini sana katika zama za ustaarabu. mama D

Odhis *
 
kristu alikufa miaka 2000 iliyopita na kifo chake ni sherehe pia.

ishu hapa unasherehekea ukombozi!!au unasherehekea umasikini ulio nao.
Mbona unataka kupotosha? Hatushehekei kifo cha Kristo. Kifo cha Kristo ni siku ya Ijumaa Kuu - huoni ambavyo huwa tunafunga na kuhuzunika?
Tunasherehekea ufufuko wa Kristo. Ufufuko ndiyo ushindi wa Kristo na sisi tuliofufuka nayo katika imani. Kristo amejitofautisha na wanadamu katika ufufuko, siyo katika kifo.
 
Kwani legacy ni lazima iwe nzuri tu? Unamaanisha tutashindwa kumkumbuka hata kwa kuingiza mfumo mpya wa watu wanaomkosoa Rais kupotezwa, kuuawa au kushambuliwa kama alivyofanyiwa Lisu?
Wakina sisi D7 tunatumia legacy kwa maana ya eti madaraja, madege, maburigi/ chato, na mfano wake tu
 
Jiwe alikuwa ni katili na asiyekuwa na staha - hii ni sifa yake kubwa tutakayobakia nayo watanzania !!
 
Mbona unataka kupotosha? Hatushehekei kifo cha Kristo. Kifo cha Kristo ni siku ya Ijumaa Kuu - huoni ambavyo huwa tunafunga na kuhuzunika?
Tunasherehekea ufufuko wa Kristo. Ufufuko ndiyo ushindi wa Kristo na sisi tuliofufuka nayo katika imani. Kristo amejitofautisha na wanadamu katika ufufuko, siyo katika kifo.

ufufuo ndio unashrehekea!!!wewe ni mkristo wa wapi mkuu???

kifo cha Yesu ndio ushindi kwetu maana ndio ilikuwa dhamana ya dhambi zetu.
 
Wakina sisi D7 tunatumia legacy kwa maana ya eti madaraja, madege, maburigi/ chato, na mfano wake tu

hata mtaani mnaaminishwa urithi wa kweli kwa mtoto ni elimu,hizi za kusubiri ajira.

wachaga,wakinga na waha wanakaza makalio watoto wao warithi biashara na majumba,lakini elimu inasimama kama sifa tu.
 
Mama tunasubiri zipite siku 100 ili tujue moja
Nalog off

siku mama akionyesha jinsi alivyo na uhusiano na mipango ya aliyokuwa nayo mwendazake,ndio siku ambayo dumuzi,papasi,kunguni,viwavijeshi watapiga nduru na kusema hakika huyu naye si lolote.

kumbe hakutaka kujali matumbo yao tu.
 
Matumbo yao tu ndio wanayajali
Nalog off
 
Usi
Kwa hiyo, hoja yako ni nini hapo??.In short unataka kusemaje??.
Kujitoa fahamu hakutakusaidia.
Marehemu hakuwa na jipya ambalo wengine walioongoza serikali ya nchi hii na hata wakoloni hawakulifanya.
Ila tutamkumbuka milele kwa ukandamizaji wa haki, kutesa na kuua watz, kubambikiza kesi, uvunjaji wa katibaya JMTZ mchana kweupe na kuzurura na maburungutu ili kununua na kulazimisha misifambuzi .
Basi enenda ukawafahamishe wa aina yako huko.
 
Kwani Meko alikua ni nani hasa yeye? Mbona mnazuia watu wasiteme nyongo zao za miaka 5? Alikua ni Rais wa hovyo kuwahi kuitawala Tanzania...

Meko ashakufa hivyo tuachane na habari zake, nchi iko mikononi mwa Mama anaiendeleza na kufuta upuuzi wote uliowekwa na mtangulizi wake..
Mbona Mimi nimekuelewa Sana Mkuu,Kama Kuna mtu hajakuelewa kuna shida mahala.
 
Back
Top Bottom