goukun wadey
JF-Expert Member
- Apr 22, 2020
- 241
- 284
- Thread starter
- #101
Lupem, ungekaa kimya ungepoteza nini? Nyie ndio munaamini ukiongea kwa sauti kubwa unaeleka zaidi? (Kinyumecho wabainisha ujingao)Yaani unajaza gazeti kumbe,unaandika utumbo tupu.Kama huna cha kuandika ,fanya kazi nyingine.Kuliko kutujazia uchafu tupu humu JF.