Legal documents na uchambuzi wa masuala ya kisheria hapa

Legal documents na uchambuzi wa masuala ya kisheria hapa

Hapa tutakuwa tunatoa documents (nyaraka) mbalimbali za kisheria ambazo mtu atahitaji kama vile case laws, hasa ambazo ni unreported, legislations, law books n.k.

Binafsi nina e-library kubwa sana ya hivi vitu na sitokuwa mchoyo kwa lolote, isipokuwa kuna baadhi ya vitabu vina kopyright so sitoweka hapa kwenye public itabidi nikutumie kwa email adress au vinginevyo.

Pia mjadala wowote wa kisheria (kwa wanasheria tu) ni vizuri ukawekwa hapa ili tuwekane sawa.

Wanasheria karibuni sana
Mkuu naomba notes za negotiable instruments na public international law
 
Vingine hivi hapa

Hizi docs ukizisoma ni total disaster. Kitabu cha Insurance Law kiko based on legislation za bunge la India. Kitabu cha Cooperative Law and Business Organisations kimeandikwa kwenye introduction kwamba hiki ni kitabu cha paralegals.Tanzania hakuna ma paralegals!

Kitabu cha haki za mpangishaji kinaitwa California Landlord Rights. Landlord wa kibongo na Landlord wa California wapi na wapi?

Kitabu cha Principals of Land Law kinadadavua sheria ya UK ya Land Registration Act of 1925!

It's a mess. Wanafunzi wanakaririshwa ma foreign legislation ambayo hapa kwetu ni useless and brain-cluttering.
 
Hapa tutakuwa tunatoa documents (nyaraka) mbalimbali za kisheria ambazo mtu atahitaji kama vile case laws, hasa ambazo ni unreported, legislations, law books n.k.

Binafsi nina e-library kubwa sana ya hivi vitu na sitokuwa mchoyo kwa lolote, isipokuwa kuna baadhi ya vitabu vina kopyright so sitoweka hapa kwenye public itabidi nikutumie kwa email adress au vinginevyo.

Pia mjadala wowote wa kisheria (kwa wanasheria tu) ni vizuri ukawekwa hapa ili tuwekane sawa.

Wanasheria karibuni sana
habar Nilikuwa naomba material za child and gender law
 
Hizi docs ukizisoma ni total disaster. Kitabu cha Insurance Law kiko based on legislation za bunge la India. Kitabu cha Cooperative Law and Business Organisations kimeandikwa kwenye introduction kwamba hiki ni kitabu cha paralegals.Tanzania hakuna ma paralegals!

Kitabu cha haki za mpangishaji kinaitwa California Landlord Rights. Landlord wa kibongo na Landlord wa California wapi na wapi?

Kitabu cha Principals of Land Law kinadadavua sheria ya UK ya Land Registration Act of 1925!

It's a mess. Wanafunzi wanakaririshwa ma foreign legislation ambayo hapa kwetu ni useless and brain-cluttering.
Unachoshangaa kwamba kitabu cha sheria India kina umuhimu gani kwetu ni kitu gani? wakati sheria ya mikataba( The law of Contract Act) na sheria ya ushahidi(The law of evidence Act) ambazo tunatumia ni hizo hizo sheria za India ambapo katika masuala hayo hayo, tofauti yaweza kuwa ni mpangilio wa vifungu. Hili suala hujui?

Hivi hufahamu kwamba mfumo wa sheria za India na wetu ni mmoja yaani 'common law legal system'
ambao tumerithi kutoka UK?

Hoja kwamba Tanzania hatuna paralegals huu ni uongo kabisa, kasome LEGAL AID ACT sheria halali iliyotungwa na bunge letu inawatambua hawa watoa msaada wa kisheria kwa jina la 'paralegals' halafu utajua kwamba umepotosha ukweli kiasi gani.

Nadhani hufahamu kwamba moja kati ya eneo muhimu katika fani ya sheria ni International law, na hizi documents zaweza kuwa muhimu katika kufanya references za kitaaluma?

Yatosha kukwambia, kama hujui jambo ni vyema kuhoji, kuliko kuhoji na kuja na hitimisho lako ambalo ni upotoshaji tu. Sheria si geography kwamba watanzania tusome ya Tanzania, sheria ni nadharia ya dunia.
 
Ahsante sana Biseko kwa kusaidia kutoa jibu, Ni vyema aache uanasheria wa Madesa,Assignment and take home test. Licha ya kwamba mtu waweza sema muda wa kusoma kipindi upo chuo au law school hautoshi. Basi ni vyema kupitia vitabu hivyo hata kipindi cha likizo au ukiwa ofisini baada ya kuhitimu course. Taaluma ya sheria na kusoma ni kama pande mbili za sarafu.kwani lazima itafikia siku itakubidi kufanya research ndogondogo uwe litigator au usiwe litigator
 
Last edited:
Hivi Buyaka kipindi upo college huko mlikuwa hampewi References..mfano mzuri Law of Contract haina ujanja lazima utumie vitabu vya India au Uingereza,ikiambatana na kuchambua law of Contract Act...Upande wa Criminal Kenny Outlines of Criminal Law kimekuwa kitabu pendwa kwa wahadhiri wengi wa sheria kwa miaka kadhaa sasa..Nimeshangaa kweli hiyo kauli yako hapo juu
 
Naomba case laws za Electronic and Postal Communications Act ya Tanzania
 
Msaada: Wakuu Mkataba wangu unaonyesha namna Employer anavyoweza kuvunja mkataba kwa kumpa employee notice lakini hauonyeshi namna employee atavunja. Jenitumie njia ipi sahihi ku resign?
 
Mkuu uko vizuri sana pongezi kwako,naomba kama unakitabu cha Paul Richards,(2004).law of contract, 6th Edition,longman.London naomba nitumie au kitabu kingine chochote cha business law na law of contract,
 
Mkuu kitabu chako hiki hapa:
Pia pakua hivyo vya business law na law of contract
 
Attachments

Back
Top Bottom