Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu naomba notes za negotiable instruments na public international lawHapa tutakuwa tunatoa documents (nyaraka) mbalimbali za kisheria ambazo mtu atahitaji kama vile case laws, hasa ambazo ni unreported, legislations, law books n.k.
Binafsi nina e-library kubwa sana ya hivi vitu na sitokuwa mchoyo kwa lolote, isipokuwa kuna baadhi ya vitabu vina kopyright so sitoweka hapa kwenye public itabidi nikutumie kwa email adress au vinginevyo.
Pia mjadala wowote wa kisheria (kwa wanasheria tu) ni vizuri ukawekwa hapa ili tuwekane sawa.
Wanasheria karibuni sana
Vingine hivi hapa
habar Nilikuwa naomba material za child and gender lawHapa tutakuwa tunatoa documents (nyaraka) mbalimbali za kisheria ambazo mtu atahitaji kama vile case laws, hasa ambazo ni unreported, legislations, law books n.k.
Binafsi nina e-library kubwa sana ya hivi vitu na sitokuwa mchoyo kwa lolote, isipokuwa kuna baadhi ya vitabu vina kopyright so sitoweka hapa kwenye public itabidi nikutumie kwa email adress au vinginevyo.
Pia mjadala wowote wa kisheria (kwa wanasheria tu) ni vizuri ukawekwa hapa ili tuwekane sawa.
Wanasheria karibuni sana
Unachoshangaa kwamba kitabu cha sheria India kina umuhimu gani kwetu ni kitu gani? wakati sheria ya mikataba( The law of Contract Act) na sheria ya ushahidi(The law of evidence Act) ambazo tunatumia ni hizo hizo sheria za India ambapo katika masuala hayo hayo, tofauti yaweza kuwa ni mpangilio wa vifungu. Hili suala hujui?Hizi docs ukizisoma ni total disaster. Kitabu cha Insurance Law kiko based on legislation za bunge la India. Kitabu cha Cooperative Law and Business Organisations kimeandikwa kwenye introduction kwamba hiki ni kitabu cha paralegals.Tanzania hakuna ma paralegals!
Kitabu cha haki za mpangishaji kinaitwa California Landlord Rights. Landlord wa kibongo na Landlord wa California wapi na wapi?
Kitabu cha Principals of Land Law kinadadavua sheria ya UK ya Land Registration Act of 1925!
It's a mess. Wanafunzi wanakaririshwa ma foreign legislation ambayo hapa kwetu ni useless and brain-cluttering.
thadeyngonyani@yahoo.com naomba na mm nitumieNinazo nyingi mkuu, nipatie email yako nikutumie!
Mkuu mayenga na wengine mnaohitaji vitabu vya Civil Procedure hivi hapa
Msaada naombathadeyngonyani@yahoo.com naomba na mm nitumie
Kaka dragon naomba notes ama document zozote za legal method asa development of the law of negligenceSoma hiki cha bongo kitakusaidia
Sikuoni kakaKaka dragon naomba notes ama document zozote za legal method asa development of the law of negligence
Mkuu kitabu chako hiki hapa:Mkuu uko vizuri sana pongezi kwako,naomba kama unakitabu cha Paul Richards,(2004).law of contract, 6th Edition,longman.London naomba nitumie au kitabu kingine chochote cha business law na law of contract,