Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,263
- 18,201
Anammendea afanye yake.... Si unajua Salama J anakulaga kimya kimya.Hivi Zuchu anaimba nyimbo Gani? Siamini kama Salama nayeye ni chawa njaa njaa kama wale wanaume wa kigoma.......Stara Thomas,Ray C,Jaydee..........hawa unaweza wafananisha na huyu bado ananuka maziwa ya mama yake bado?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Zuchu hata Hispania hajulikan,. Ndo umfananishe na Vanessa anayejulikana worldwide? Khaaaah
Ni fire 🔥🔥Damn jide na rayc nyimbo zao were [emoji91]
Hizi nyimbo za sasa ngono tupu
Upo serious mkuuNitajie hit song 5 za ray c
Duh unamtaja mpaka Vanessa aliyekimbia muziki kwa kushindwa kutengeneza hitsong hata moja kwenye career yake 🥺
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dea, nimewaza hivyo pia.Anammendea afanye yake.... Si unajua Salama J anakulaga kimya kimya.
"No body but me" ni hatareeeeeeehkasikilize ladha za pwani kama raha na wana kwa amani zote bro..
Vitu kama closer, come over, nobody but me, uniroge, bambino, wet, moyo.. Sio vya watu wote "njomba"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo Zuchu afanye kazi kumfika Vanessa, hata yeye anajua hilo.View attachment 2265641
Unaijua Spain wewe?
Vanessa hata Tanga hapo watu hawamjui unazungumzia Spain wanaomuita Zuchu ni Beyonce wa Africa. Vanessa kakimbia muziki sababu alishindwa kutoboa akaishia kwenye depression.
Namuona anavyojikomentisha kwa Zuu,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dea, nimewaza hivyo pia.
Wet ni ngoma yangu pendwa, unikute siku nina vibe langu la weekend, sheesha ipo kichwani sio kwa kutwerk huko [emoji119]kasikilize ladha za pwani kama raha na wana kwa amani zote bro..
Vitu kama closer, come over, nobody but me, uniroge, bambino, wet, moyo.. Sio vya watu wote "njomba"
Hana akili huyo si unajua ili uwe chawa lazima nyuzi kadhaa kichwani zifyatuke,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo Zuchu afanye kazi kumfika Vanessa, hata yeye anajua hilo.
Kaweka mapenzi mbele huyo.Ila wee shost una tabu mnooo, Salama kasema Zuhura n muandishi bora wa kike, na sio mwanamuziki, uwage unaelewa kwan, sio kukurupuka na kuleta threads hapa, ulivyo jinga sasa ukaleta na Ref ambayo inakupinga na unachokusudia kutujulisha,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], poleeeeeeh sanaaaaa.
Salama amejaa udin na uzenji sana ukieelewa hilo unamaliza kazi huumizi kichwa, mfano kila anapomhoji mkristo mchunguze lazima ahoji din utasikia unadin sana au hauna, but akihojiwa muislam hukuti swali kama hilo wala la din chunguza, na kama mkristo akihojiwa akionekana anapenda dini utasikia unapenda din sana wewe huku kama akichukiachukia mchunguzeni nawapeni sili hiyo kwenye kipindi chake mtapata majibuHivi Zuchu anaimba nyimbo Gani? Siamini kama Salama nayeye ni chawa njaa njaa kama wale wanaume wa kigoma.......Stara Thomas,Ray C,Jaydee..........hawa unaweza wafananisha na huyu bado ananuka maziwa ya mama yake bado?
Afu huu upuuzi wenu skuizi wa hit song ndio unaharibu maana ya neno mziki mzuri.Nitajie hit song 5 za ray c
Kwani salama anajua nini kuhusu mziki??!!yaani mtu atoke zenji aje bara kwenye mziki eti anaujua na nyie ming'ombe mnatepeta??!!🙄🙄🙄ameshindwaje kwao kuupambania huko huko zenji??!!jiongeze wewe kiaziWewe unaujua muziki kumzidi Salama?
Roho mbaya chuki na umaskini vinafanya kila anaezungumza ukweli kwa watu unaotamani waanguke kuwaona machawa.
Na zuchu haandiki yeye bali anaandikiwa na baba yake na mama yake sasa sifa hizo za nini??!!Siku nyingine msiwe mnakurupuka, kwenye sanaa kuna uandishi na kuimba. Unaweza kuwa mzuri upande mmoja au ukawa mzuri kote.
Ray C anaweza kuwa mwimbaji mzuri lakini sio mwandishi mzuri, mfano halisi;
Christian Bella huwa anasema wazi kuwa yeye si mwandishi mzuri ila kwa kuimba hakuna mtu anamuweza bongo.
Salama amesema Zuchu ni mwandishi bora na sio mwimbaji bora au mwanamuziki bora. Mmenielewa watoto wadogo?
Zuchu anastahiliView attachment 2264455
Huu ni mtazamo wa nguli na gwiji wa entertainment industry hapa bongo Salama Jabir.
Na mimi namuunga mkono toka day one uwa nasema hii kitu nikaishia kupewa majina mabaya na wenye wivu, chuki, roho mbaya, husda na nyeg*.
Tukisema waliotangulia hawamfikii Zuchu kwenye idara zote hatumvunjii dada yoyote heshima.
Hiyo yeye salama na uzenji mwingi sasa kama zuchu ni bora mbona hajatokea zenji huko huko kaja bara??!!halafu salama amejaa udin na uzenji ukijua hili haikupi shida fatilia kipindi hicho utapata majibuSiamini ila ndio uhalisia. Wewe unapenda muziki wa Nandy ila mwanamuziki wa kike wa muda wote kwenye bongofleva ni Zuchu kwa mujibu wa nguli Salama Jabir.
Wewe sijui unatokea kijiji gani vanesa ni star mkubwa kuliko msanii yoyote bongo tafuta data zake uone sio unaongeaongea tu weweDuh unamtaja mpaka Vanessa aliyekimbia muziki kwa kushindwa kutengeneza hitsong hata moja kwenye career yake 🥺