Legend Salama Jabir afunguka, " Hajawai tokea msanii wa kike hodari kumzidi Zuchu kwenye bongofleva"

Unajiaibisha mkuu, mjini umekuja lini?
 
Hivi Zuchu anaimba nyimbo Gani? Siamini kama Salama nayeye ni chawa njaa njaa kama wale wanaume wa kigoma.......Stara Thomas,Ray C,Jaydee..........hawa unaweza wafananisha na huyu bado ananuka maziwa ya mama yake bado?
Zuchu is way ahead of them

Kwa umri wa zuchu, kwshawapita wote
 
Hana akili huyo si unajua ili uwe chawa lazima nyuzi kadhaa kichwani zifyatuke,

Mwingine anajiita Dulla Makabila katunga wimbo anamlilia Almasi, sijui hua anawafanya vitu gani hao vijana, bora Noel anakula Bata Dubai

Si ni kama wewe nyuzi zote kwenye malinda washamaliza wahuni wamekuachia ulemavu hauna linda ata moja.
 
Wet ni ngoma yangu pendwa, unikute siku nina vibe langu la weekend, sheesha ipo kichwani sio kwa kutwerk huko [emoji119]
Tena ngoja niisikilize
halafu kuna mtu anakuja kukuambia hiyo sio hitsong 😁😁😁
 
"No body but me" ni hatareeeeeeeh
Ila "Never Ever" ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]

Never ever sikuikubali sana ila nobody but me hata leo naiskia kama imetoka jana.. Timeless classic 🔥🔥🔥
 
Zuchu is way ahead of them

Kwa umri wa zuchu, kwshawapita wote

Zuchu kuvunja record za waliopita ni kitu cha kugusa tu maana anayo back up kubwa na pia anapita katika njia ambazo ameshatengenezewa na hao unaosema kawapita

Zuchu kufikia stage za jide, ray c au vanessa anatakiwa kuteka international market maana kutawala East Africa tushazoea.

Najua anaweza kwa team aliyonayo ila kwa sasa bado sana
 
Huwezi hata siku moja ukawa msanii mzuri au mkubwa af eti huna hit song hilo sahau! Mafanikio na tamaa ya msanii yeyote ni kutengeneza hit song mzee!!
 
Hapo nimekuelewa
 
Hana akili huyo si unajua ili uwe chawa lazima nyuzi kadhaa kichwani zifyatuke,

Mwingine anajiita Dulla Makabila katunga wimbo anamlilia Almasi, sijui hua anawafanya vitu gani hao vijana, bora Noel anakula Bata Dubai
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Noel kaachika kwa Sheikh. Huna habari dea?
 
Kaweka mapenzi mbele huyo.

Yani hata kuandika kwenyewe hawezi kufika kwa jide, labda Kama jide alikuwa anaandikiwa.

Nyimbo zenyewe sijui babu juma kasimama, nyimbo za hovyo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyimbo za Zuchu zinasikilizwa na wapemba na wa unguja, yaan mchiriku km taarabu.. Woiiiiiih.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…