Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 62,453
- 111,795
Kwa nini Lisu alimteuwa Lema kuwa Wakala wake kuhesabu kura? Unajuwa uchaguzi wewe au una mavi haujachamba yanakutowa akili?Lema ni mfuasi mtiifu wa Mbowe, huko kwa lisu amejichomeka tu baada ya kuona lisu anaungwa mkono na wengi
Wenye akili kubwa tumemuelewa Lema, Chadema acheni mafungamano na wanaharakati uchwara ambao maisha yao huko wanakojificha yanategemea kuwafarakanisha Watanzania.Yaani Lemma kaingia kwenye mtego wa chizi Sativa kibwege sana, angempotezea Sativa angepungukiwa nini kwani credibility ya Sativa inaeleweka.
Aisee watu mnayo mahaba mpaka Heche anaonekana malaika...aaahAaah mchaga anapambana kukiuza chama, sasa Mkurya hayupo tayari kukubaliana na ujinga ujinga.
Aisee watu mnayo mahaba mpaka Heche anaonekana malaika...aaah
Umalaika wa Heche ni upi?Aisee watu mnayo mahaba mpaka Heche anaonekana malaika...aaah
Mnachukulia kua yeye awezi kufanya makosaUmalaika wa Heche ni upi?
Mkuu umekosea kuweka jina la Yesu ...Wanachadema watajifunza labdaHoja ya mh Lema kwao aina nafasi yoyote
HECHE ni mtakatifu
CHADEMA KIKIFUTWA kupitia kesi yasasa
yumkin kikageuka KANISA la YESU Aleluyaaaaa
Muda ndio Mwalimu tafiti yangu kwasasa
CHADEMA hakina WanaChama lkn kina Waumini wa YESU ✅️
Kuna mwanachama amejitolea kwa moyo wake wote kama sativa, sativa amepitia majanga mengi kuitetea chadema wewe, huyo ana uchungu na chama kupita lemaWenye akili kubwa tumemuelewa Lema, Chadema acheni mafungamano na wanaharakati uchwara ambao maisha yao huko wanakojificha yanategemea kuwafarakanisha Watanzania.
Sasa takataka kama hii Sativa leo ndio wakutufanya tuwe na mjadala? Ana nia njema na Chadema? Akili za watu ni kesi ya Lisu yeye anakuja na usenge kama huu huyo ni mwenzenu?
Ni zaidi ya "kuingia kwenye mtego".Yaani Lemma kaingia kwenye mtego wa chizi Sativa kibwege sana, angempotezea Sativa angepungukiwa nini kwani credibility ya Sativa inaeleweka.
Sativa ni muhuni tu, labda kama na wewe mnabet wote.Kuna mwanachama amejitolea kwa moyo wake wote kama sativa, sativa amepitia majanga mengi kuitetea chadema wewe, huyo ana uchungu na chama kupita lema
Lema alipambana sana kuhakikisha michango ya tone tone inapatikana, ili kusaidia chama na kusaidia kwenye kesi ya lisu, halafu Heche akaikwapua hiyo michango, hapo ndio amekwazikaNi zaidi ya "kuingia kwenye mtego".
Lema kathibitisha wazi kuwa anayo mambo yanayomsumbua akilini kuhusu Heche.
Hakuulizwa na huyo aliyemtega atumie mfano wa mtu yeyote kuthibitisha hayo aliyotegwa.
karibu wanakata pumziAkijibu tuhuma kwenye mtandao wa Twiiter (X) kuwa wanachama wanamashaka ana uhusiano na serikali ya CCM uhusiano ambao una harufu ya kukihujumu chama, kada huyo wa CHADEMA, ndugu Godbless Lema amejibu tuhuma hizo akidai yeye hati ya kusafiria (passport) alishughulikiwa na mwanasheria wa chama ndo akafanikiwa kuirejesha huku akidai kwamba hata makamu mwenyekiti wa chama chao naye hati yake ilirejeshwa ila ni baada ya yeye kufanya kikao na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa.
Kwa kifupi Lema anasema "mimi nilipata matatizo nikapambaniwa na Lawyer wa Chama, Heche alipata shida akaongea na maboss pale serikalini wakayamaliza"
Inawezekana kuna mengi waliongea kati ya Mkurugenzi wa usalama wa Taifa na Makamu mwenyekiti wa CHADEMA ndugu Heche na hili lililonyetishwa na Lema ni mojawapo
Wasalaam
Angeamua kukaa kimya bila kumjibu huyu chamatusi Sativa pia ingekuwa sawa tu kwani siyo kila kitu kujibizana huku mitandaoni, aidha Lemma amekosa hekima au kweli ameamua kuleta tifu ndani ya Chadema.Kwa nini atolee mfano wa Heche na asimjibu SATIVA hii ni kutafuta uchafuzi kwa kiongozi wake ni kama anamvizia kila kukicha. Lema rudisha hadhi yako kwa kujibu hoja kwa aliyeitoa
Lema alipambana sana kuhakikisha michango ya tone tone inapatikana, ili kusaidia chama na kusaidia kwenye kesi ya lisu, halafu Heche akaikwapua hiyo michango, hapo ndio amekwazika
Inabidi tu nikujibu pamoja na kwamba haikusaidii chochote.Lema alipambana sana kuhakikisha michango ya tone tone inapatikana, ili kusaidia chama na kusaidia kwenye kesi ya lisu, halafu Heche akaikwapua hiyo michango, hapo ndio amekwazika
Ili iweje?CHADEMA fukuzeni Lema na wachaga wote ndani ya chama.