Lema alituharibia wadau kwenye mhadhara wa jana na Polepole


NRNE ni NRNE haijali inasemwa je.

Hamuwezi kuridhika na kuwa anasema NRNE ila tu kama ambavyo mngetaka atamke kwa lafudhi zenu?

Kwanini mngependa kuwa manabii badala ya kumsikiliza na kupinga hoja zake kama mnazo zilizo bora zaidi?

Huku kudhani anatumia majukwaa yenu ndiko yapo yale mambo yenu ya husuda na ubinafsi usiokuwa na nafasi kwa kila mtu.

Kushindwa kumwunga mkono Gwajima hadharani ni sehemu ya mapungufu yenu yale yale. Mko mno after u star na recognition. Nchi hii itakombolewa na wenye moyo bila kujali wako vyama gani.

Wenye moyo ni wenye mawazo kama sisi leo, si jana wala juzi.

Hivi ndugu nje ya mada kidogo, mwamba ulijiridhisha lini kuwa hakuwa mwenzetu? Nakumbuka tulisharushiana vijembe sana ukimkingia kifua kichawa chawa. Au nasema uongo?
 
..wapinzani wawatumie Polepole na Gwajima kama ambavyo Ccm imewatumia Covid-19 na kuwatelekeza.

Kwa nini kuwatekeleza kama wamebadilika? Kwani kina mwamba walioko huku huoni hao ndiyo tungeanza nao kama hawabadiliki?
 
..Ni rahisi kumlaumu Lema kama hujapitia dhuluma aliyofanyiwa na Magufuli, Polepole, Sirro, Kipilimba, na genge lao.

..Polepole labda amemuasi Mama Samia, lakini hajaasi unyama na dhuluma za kipindi cha Magufuli.
100%✓✍️📌
 

..basi inatosha.

..tusije tukapoteza focus kwa adui yetu.

NB:

..Mwamba nilimuona kama amechoka na wakati wa Chadema "kumwaga oil " ulikuwa umefika.
 
Lema kinachomtesa ni Alishang'atwa na nyoka wengi kwa kuwaamini watu kama Polepole na wengine ni zaidi ya Polepole
Polepole ni mwanasisiemu kama alivyosisitiza Gwajima hata baada ya kumpinga mwenyekiti wake wa chama, Polepole anataka CCM iendelee kushika madaraka ila sio Samia kwa sasa, na si chama kingine.

Anachopigania Lema na Chadema ni tofauti kabisa na Polepole, so yuko sahihi kumpinga. Usipokuwa makini na unachotwa hizi saga.
 
..basi inatosha.

..tusije tukapoteza focus kwa adui yetu.

NB:

..Mwamba nilimuona kama amechoka na wakati wa Chadema "kumwaga oil " ulikuwa umefika.

Utakumbuka kukubali hatimaye kukiwa kumekwisha kucha mno. Hata hili kumhusu Polepole unapita njia Ile Ile utakumbuka shuka kukiwa kumekucha.

Kumbuka Nini kiliwasibu akina Nyanda na Zungu kwenye Polepole #2 na wana habari kama moderators..

Kukuibia ninashawishika sasa kumtambua msanifu wa ule uzi "Dark Days ..."

Kinachosemekana mihadhara kuchanganya tunapokwenda ni ma mburura tu wasioweza kuona hata wakiambiwa tazama!

Jiulize Lema hana sababu ya kukaa kwa kutulia?
 
Ok
 
Muhimu reforms zifanyike kwa maslahi ya Nchi bila kujali vyama gani vitashika madaraka.
 
Tanzania kuna wapinzani wa makundi mawili ,Optimists na persimists

Wewe Jamaa huwa upo postivie sana.
 
Kweli
 
Tanzania kuna wapinzani wa makundi mawili ,Optimists na persmists

Wewe Jamaa huwa upo postivie sana.

Lissu ana kazi sana kazungukwa na wasioweza kuelewa. Kuwaelewesha ni shughuli pevu.
 
Huyo kenge Polepole Kisha pagawa. Hana jipya. Njama zao za kuleta fitina na mfarakano zimezimwa na wajumbe walio mchagua mgombea pekee kama ilivyo kua desturi kwa Marais wote waliopita kuanzia awamu ya kwanza.
Nioneshe rais alie tumikua muhula mmoja tu
 

Bila shaka wahuni wote akiwamo bi Kizimkazi na chawa wao wanasema kama wewe hivi hivi. Kwani wewe ni mmoja wao?
 
Utamuweza huyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…