Lema amegeuka kuwa mchungaji au nabii ndani ya CHADEMA?

Lema amegeuka kuwa mchungaji au nabii ndani ya CHADEMA?

Kwa nini asijiombe yeye mwenyewe kwa maana anatumziwa familia?
Kama kuna viongozi wanaoharibu hii SACCOS ni huyu jamaaa aisee
Kwa maana situnziwi familia kama Lema ,tatizo ni la kwako usitaka kujua ukweli.
Lema alijazwa upepo kwenye mitandao kuwa yeye ni nabii na kwa maana hana uwezo wa kufikiri kisawasawa(no elimu dunia) ndio kila mara anajifanya mtu wa mungu wengine sisi sio 🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
Lema ni mpuuzi hawezi badilika ,embu fikiria familia yake inatunzwa na yeye bado anazo nguvu za kufanya kazi hata ya kuendesha mkokoteni ila hataki ,kutwa nzima anashinda kwenye mitandao baba mtu mzima 🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
Hapo bado haujapewa bodaboda,kapelo na kitenge unahorojoka kama mchuzi wa dagaa.Vipi ukikabidhiwa hivyo vitu si utatukana dunia nzima?
 
Lema anatumzi
Lemma anaitunza familia yake kama vile wewe mumeo anavyokutunza na wanao ambao wengine si wa kwake.
Lema anatunziwa familia na kama unabisha leta uthibitisho wa hela alituma kwa wazungu kuwa ni kwa ajili ya kutunza familia
 
Nirushie tusi moja tu nililoporomosha ukishindwa thibitisha na ya kwamba utakuwa kwenye lile kundi wa waliofeli kidato cha nne kama Lema
Kutueleza kwamba Lema anatunziwa familia maana yake ni nini?Anatunziwa familia na nani wapi huko?Weka uthibitisho.
 
Kutueleza kwamba Lema anatunziwa familia maana yake ni nini?Anatunziwa familia na nani wapi huko?Weka uthibitisho.
wewe unaishi Tanzania kweli ?hivi huoni Lema anavyopost picha za famila yake toka CANADA? tuletee tu kauthibitisha kanakoonyesha Lema kamlipia mtoto wake ADA yq shule kule CANADA,tofauti na hapo ni kwamba Lema familia yake anatunziwa
 
Weka uthibitisho anavyotunziwa familia.Sasa picha za familia wewe ukiziona tu unahitimisha majibu unayoyapenda?
 
Weka uthibitisho anavyotunziwa familia.Sasa picha za familia wewe ukiziona tu unahitimisha majibu unayoyapenda?
Bosi nimekuomba leta uthibitisho kuwa hatunziwi familia kule canada kwa maana sina shaka ya kuwa anatunziwa familia ,wewe ndio ulete uthibitisho kuwa Lema anatunza familia yake.
 
Lema huwa anapenda sana kuleta mambo ya kidini katika siasa kana kwamba dini inaweza kutatua jambo lolote katika siasa, hivi huko CHADEMA kumegeuka kuwa nyumba ya ibada?! Lema aache kuwa delusional, apambane bila kutafuta huruma ya kidini.
View attachment 3136473
Kweli usimkatie mtu tamaa,Lema huyu ambaye kwenye miaka ya 2000 alitisha sana
 
Yeye mwenyewe ana historia ya ujambazi atatuambia nn watoto wa Ngulelo
Possibly lakini si kigezo. Wewe umezaliwa wakati mama yako anaolewa hakuwa bikra. Watu wangesema sasa anashauri nini ashawahi kuwa kahaba au malaya.kwa kigezo cha kuwa hakuolewa na bikra. But kwa sasa naamini watu wanamheshimu hawaangalii hayo ya nyuma.
 
Mama yangu alikua bikra,tafuta lingine

Jambazi hana guts ya kuongea lolote juu ya wengine
 
Waisrael na waarabu ambao dini tunazoshupalia zilitoka kwao basi wasingekuwa wanauana kama wanavyofanya.
 
Back
Top Bottom