gigabyte
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 5,717
- 6,465
Sasa nyie chawa mmemzidi nini lema?.labda mnamzidi ujinga na kujipendekeza kwa wanaume wenzenu na wanawake.ukianza kumwelewa lema anasema nini ujue unakaribia kuwa kichaa kama yeye
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa nyie chawa mmemzidi nini lema?.labda mnamzidi ujinga na kujipendekeza kwa wanaume wenzenu na wanawake.ukianza kumwelewa lema anasema nini ujue unakaribia kuwa kichaa kama yeye
Acha kupangia watu chakuamini.hizo ni hoja binafsi za lema kwa Mungu wake anayemuamini.Haina uhusiano wowote na chama chake chakisiasa.Nasio lazima anayoyaomba yatimie.Kila mtu na imani yake.Amejuaje kwamba wakiomba kwa siku 7 ndio Mungu ataipigania nchi??
Halafu mimi hata sijasema ni kosa, naona ni kupoteza muda tu kwa sababu hata CCM nao huwa wanamuomba mungu huyo huyo sasa kwa nini awasikilize CHADEMA asiwasikilize CCM wakati inasemwa hana ubaguzi wote ni wake??
Lema ndio mwakilishi halisi wa hiki chama kwa rangi zote(Ukanda na Udini)Acha kupangia watu chakuamini.hizo ni hoja binafsi za lema kwa Mungu wake anayemuamini.Haina uhusiano wowote na chama chake chakisiasa.Nasio lazima anayoyaomba yatimie.Kila mtu na imani yake.
Lema huwa anapenda sana kuleta mambo ya kidini katika siasa kana kwamba dini inaweza kutatua jambo lolote katika siasa, hivi huko CHADEMA kumegeuka kuwa nyumba ya ibada?! Lema aache kuwa delusional, apambane bila kutafuta huruma ya kidini.
View attachment 3136473