Chumchang Changchum
JF-Expert Member
- Nov 1, 2013
- 5,988
- 6,226
Hasizingue na huko..Mungu mkuu apendi dhihaka....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni aibu kubwa sana kwa mwanaume timilifu kuwa omba omba,auna ya lema...ni mpuuzi mmoja na nusu.Lema ni mpuuzi hawezi badilika ,embu fikiria familia yake inatunzwa na yeye bado anazo nguvu za kufanya kazi hata ya kuendesha mkokoteni ila hataki ,kutwa nzima anashinda kwenye mitandao baba mtu mzima 🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Si kweli.Mama yangu alikua bikra,tafuta lingine
Jambazi hana guts ya kuongea lolote juu ya wengine
Mungu ni wetu wote hataweza ruhusu chama cha kikanda na chenye imani kali ya kidini kutawala hapa Tanzania.Lema ni alama ya udini mkali ndani ya CHADEMA!
Jaribu imagine CHADEMA ndio iingie madarakani na mawazo haya ya wakina Lema!
Ukoo wenu wote hakuna aliyewahi kufika Canada Lema yeye anaenda kama anavyoenda MachameKwa hiyo huyu lema aliefeli kidato cha nne ndio anayo akili ?
Haaaa ,kingekuwa ni kuzuri sidhania kama angerudi aje atafute posho za vikao kwenye SACCOS.Ukoo wenu wote hakuna aliyewahi kufika Canada Lema yeye anaenda kama anavyoenda Machame
Familia yenu imeshindwa hata kwenda Nairobi tu hapo, achana na CCM tafuta pesa utakufa masikini wewe mjingaHaaaa ,kingekuwa ni kuzuri sidhania kama angerudi aje atafute posho za vikao kwenye SACCOS.
Mangi unapenda sana utajiri ehe? nadhani kwa mawazo yako haya sina shaka utakuwa kwenye lile kundi la wajinga(huna elimu dunia) ;Lema ,Mdude,Mzee Mbowe na Sugu.Familia yenu imeshindwa hata kwenda Nairobi tu hapo, achana na CCM tafuta pesa utakufa masikini wewe mjinga
Acha ujinga wewe, watoto wako watarithi hayo makaratasi yako? mimi napenda pesaMangi unapenda sana utajiri ehe? nadhani kwa mawazo yako haya sina shaka utakuwa kwenye lile kundi la wajinga(huna elimu dunia) ;Lema ,Mdude,Mzee Mbowe na Sugu.
Mimi sina Elimu wala Pesa ila naweza fikiria ndio maana nimegoma kuwa msukule wa mzee MboweAcha ujinga wewe, watoto wako watarithi hayo makaratasi yako? mimi napenda pesa
Huwezi kuwa maana huna akili timamuMimi sina Elimu wala Pesa ila naweza fikiria ndio maana nimegoma kuwa msukule wa mzee Mbowe
Ninayo afdhali sio kama wewe MkuuHuwezi kuwa maana huna akili timamu
Huna hata kidogo wewe ni chizi kabisaNinayo afdhali sio kama wewe Mkuu
Sijakuzidi Mangi na nitaendelea kuomba Mungu nisiwe kwenye level yako kwa maana ni zaidi ya laanaHuna hata kidogo wewe ni chizi kabisa
ukianza kumwelewa lema anasema nini ujue unakaribia kuwa kichaa kama yeyeLema huwa anapenda sana kuleta mambo ya kidini katika siasa kana kwamba dini inaweza kutatua jambo lolote katika siasa, hivi huko CHADEMA kumegeuka kuwa nyumba ya ibada?! Lema aache kuwa delusional, apambane bila kutafuta huruma ya kidini.
View attachment 3136473
Nyumbu mna shida hakikaLemma anaitunza familia yake kama vile wewe mumeo anavyokutunza na wanao ambao wengine si wa kwake.
Asante sana 🙏🙏🙏ukianza kumwelewa lema anasema nini ujue unakaribia kuwa kichaa kama yeye
Acha wivu wakike.Kwahiyo wakiwa canada ni dhambi.pambana na maisha yako na lema apambane na yake.hakuna anayemuomba mwenzake chumvi.dume zima unaleta hoja za kijinga.wewe unaishi Tanzania kweli ?hivi huoni Lema anavyopost picha za famila yake toka CANADA? tuletee tu kauthibitisha kanakoonyesha Lema kamlipia mtoto wake ADA yq shule kule CANADA,tofauti na hapo ni kwamba Lema familia yake anatunziwa
amekosa content tu baada ya kuacha unyang"anyi na kuokoaka sasa aitamani nafasi ya kua yesu mnazareti 🐒Lema huwa anapenda sana kuleta mambo ya kidini katika siasa kana kwamba dini inaweza kutatua jambo lolote katika siasa, hivi huko CHADEMA kumegeuka kuwa nyumba ya ibada?! Lema aache kuwa delusional, apambane bila kutafuta huruma ya kidini.
View attachment 3136473