Lema amegeuka kuwa mchungaji au nabii ndani ya CHADEMA?

Ni aibu kubwa sana kwa mwanaume timilifu kuwa omba omba,auna ya lema...ni mpuuzi mmoja na nusu.
 
Reactions: Tui
Lema ni alama ya udini mkali ndani ya CHADEMA!

Jaribu imagine CHADEMA ndio iingie madarakani na mawazo haya ya wakina Lema!
 
Lema ni alama ya udini mkali ndani ya CHADEMA!

Jaribu imagine CHADEMA ndio iingie madarakani na mawazo haya ya wakina Lema!
Mungu ni wetu wote hataweza ruhusu chama cha kikanda na chenye imani kali ya kidini kutawala hapa Tanzania.
 
Familia yenu imeshindwa hata kwenda Nairobi tu hapo, achana na CCM tafuta pesa utakufa masikini wewe mjinga
Mangi unapenda sana utajiri ehe? nadhani kwa mawazo yako haya sina shaka utakuwa kwenye lile kundi la wajinga(huna elimu dunia) ;Lema ,Mdude,Mzee Mbowe na Sugu.
 
Mangi unapenda sana utajiri ehe? nadhani kwa mawazo yako haya sina shaka utakuwa kwenye lile kundi la wajinga(huna elimu dunia) ;Lema ,Mdude,Mzee Mbowe na Sugu.
Acha ujinga wewe, watoto wako watarithi hayo makaratasi yako? mimi napenda pesa
 
ukianza kumwelewa lema anasema nini ujue unakaribia kuwa kichaa kama yeye
 
wewe unaishi Tanzania kweli ?hivi huoni Lema anavyopost picha za famila yake toka CANADA? tuletee tu kauthibitisha kanakoonyesha Lema kamlipia mtoto wake ADA yq shule kule CANADA,tofauti na hapo ni kwamba Lema familia yake anatunziwa
Acha wivu wakike.Kwahiyo wakiwa canada ni dhambi.pambana na maisha yako na lema apambane na yake.hakuna anayemuomba mwenzake chumvi.dume zima unaleta hoja za kijinga.
 
amekosa content tu baada ya kuacha unyang"anyi na kuokoaka sasa aitamani nafasi ya kua yesu mnazareti πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…