Lema amegeuka kuwa mchungaji au nabii ndani ya CHADEMA?

ukianza kumwelewa lema anasema nini ujue unakaribia kuwa kichaa kama yeye
Sasa nyie chawa mmemzidi nini lema?.labda mnamzidi ujinga na kujipendekeza kwa wanaume wenzenu na wanawake.
 
Acha kupangia watu chakuamini.hizo ni hoja binafsi za lema kwa Mungu wake anayemuamini.Haina uhusiano wowote na chama chake chakisiasa.Nasio lazima anayoyaomba yatimie.Kila mtu na imani yake.
 
Acha kupangia watu chakuamini.hizo ni hoja binafsi za lema kwa Mungu wake anayemuamini.Haina uhusiano wowote na chama chake chakisiasa.Nasio lazima anayoyaomba yatimie.Kila mtu na imani yake.
Lema ndio mwakilishi halisi wa hiki chama kwa rangi zote(Ukanda na Udini)
 
Shetani anapojifanya anahubiri jua njia zote za kufanikiwa zimefungwa.
 

Kama anasema vitu kwa imani yake kuna shida gani. Ulitaka awe mnafiki. Anasema "Kwa imani yangu" maana yake ni yeye binafsi sasa hapo kuna shida gani. Mbona huko nyuma alishasemaga na kuonya kuhusu Magufuli mkapuuza na yakatokea. Yeye kwa imani yake ni kuombea mabaya yasitokee akikuonya ukapuuza ni wewe

Leo kama kwa imani yangu Mungu kaniambia niwaambie kitu nitasema hata kama ukipuuza. Puuzeni tu lakini yakitokea yanakula kwenu. Kama unatenda mema kweli unaogopa nini yeye anaongelea wezi wa kura tu kama hakuna wizi unashida gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…