Lema anatakiwa aelezwe Simba na Yanga ni zaidi ya CHADEMA

Miaka yote waliingia kwa tume hii hii endeleeni kumsikiliza kiongozi mkuu mariah sarungi mtafanikiwa..
 
Mnamuonea Lema…. Hana akili hizo
 
Simba na yanga ni zaidi ya CCM Kwa chadema bado
 
Baba fulani! Nakuita hivyo nahisi utakuwa kweli baba fulani hivyo huwezi kuletea ushabiki matendo ya vurugu na visasi katika siasa.
Hebu nisaidie, jee tukio kama hili likienea nchi nzima mtaanza kuwasifu wachomaji kuwa wako imara kuwakomesha CCM au mtalaani?


View: https://youtu.be/IHRDLtC84O4?si=ThdBJK9v2kFNEAt5
 
Vitu hivi siku zote wabongo tunapenda kuwa mapolisi ..mahakimu bila kupokea ripoti ya uchunguzi mnajua maisha yake binafsi bila kuhusisha siasa ujinga mwingi ni wa mashabiki viongozi wakikutana wala hawana visasi..huyo kuna madeni..kuna wake za watu..mipaka ya mashamba...ulevi na mengineyo kwanini ukimbilie kuwa ni siasa nakuamini mkuu Chakaza mufa mwingine unaniangusha...
 
Mke wa mfalme hapaswi kutuhumiwa hata kidogo kwa lolote kama ukahaba au ulevi!
Vivyo hivyo kiongozi kama Katibu mwenezi wa chama tawala CCM kama huyo hapaswi kutuhumiwa kwa hayo uliyotaja maana inamaanisha kisiasa kuwa ana timiza zile 4R za mwenyekiti wake wa "mitano tena" ha ha ha!
 
Wanachama wa chadema ni mashujaa nyuma ya keyboard mtandaoni unaweza kusema wako tayari kufa ila waite kwenye maandamano uone siku hiyo hata kazini hawaendi wanajifungia ndani
 
Wanachama wa chadema ni mashujaa nyuma ya keyboard mtandaoni unaweza kusema wako tayari kufa ila waite kwenye maandamano uone siku hiyo hata kazini hawaendi wanajifungia ndani
Hivi hata kuwa keyboard warriors kwa nchi hii hudhani nayo ni ushujaa? Hasa katika nchi isiyo uhuru wa kujieleza?
Hao wa ccm ambao huku wakijua kuwa chama cha ni walking dead lakini kwa woga wa kusema ukweli hata wakiwa maliwatoni wako tayari kusifu kuwa "tumepata haja kubwa kwa ulaini kwa juhudi za 'mama' kutujali'.
Kuwa CCM ni kukubali kuwa Zombie katika jamii
 
Duuh...
 
Ubaya hata wakiingia chadema na wao wataunda kundi lao na kula mali ya umma duniani kote siasa na wana siasa wapo hivyo hakuna malaika wa kuja kukubadilishia maisha yako, hichilema wa zambia huyo hapo nini alichobadilisha? Kwacha inazidi kuporomoka na maisha yamezidi kuwa magumu, watu wanamkumbuka lungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…