Agustin kun Aguero
JF-Expert Member
- Mar 22, 2023
- 532
- 641
Kama ni mtu mzima anayejitegemea hiyo ni juu yake.UTAKUBALI KUONA MTOTO WAKO WA KIUME AMEVAA GAUNI NA AMELEGEA KAMA MTOTO WA KIKE TENA ANASHIKWA MAKALIO NA MWANAUME MWENZAKE?
Wewe kuwa mzazi sio guarantee ya wewe kuendesha maisha ya mwanao kama ni mtu mzima.
Inshu ni wazazi kuwalea watoto katika malezi ambayo wanaona yanafaa.
Ukizembea,wakisha kuwa wakubwa matokeo yake ndio kama haya na hutakuwa na mamlaka ya kuingilia maamuzi yake, endelea na maisha yako tu.
Samaki mkunje angali mbichi.