Lema asema hakubali mtu kuuawa kwa kuwa ni shoga

Lema asema hakubali mtu kuuawa kwa kuwa ni shoga

Mungu ni mkali sana juu ya DHAMBI.

Majanga yanayoipata Dunia ni sababu ya dhambi' zote unazozijua.

Mungu anataka utakatifu, watu aliowaumba waache dhambi.

Zipo Nchi hata kumkemea shoga hadharani huruhusiwi hata kama ni mtumishi wa Mungu.

Mungu anakuja Kwa HUKUMU, na muda huo ni sasa, mataifa mbalimbali yanapigwa mfululizo na usidhani patakuwa na ahueni.

Njaa inakuja Tanzania kubwa sana, sababu ni uongozi na watu kukataa kuacha DHAMBI.

Tulopewa Nchi tuitawale Kwa kufuata SHERIA ya Mungu ndomana SHERIA Karibia zote zimetokana na BIBLIA na zinatumika Kwa wote hata wasioamini Mungu.

Kipigo linakuja juu ya wote wakaao Duniani, watakufa watu wengi, wengi sana tusipokubali kukataa na kuacha DHAMBI.

USHOGA, UCHAWI, UFIRAJI Si common sin kama dhambi zingine, hizo ni ABOMINATION. Ni machukizo.

Uongozi msiposimamia kile Mungu amekataza anakuja mwenyewe kuwaadhibu.

Simuhukumu mtu Mimi binafsi, Bali Mungu ndani yangu ndiye anayehukumu dhambi na kunitaka nikemee sababu Mimi ni MDOMO, mkono na Mfano wa Mungu.

Amen

Amen.
Baba Askofu umemvisha Mungu sura ya ukali ambayo hana.

Mungu ni pendo, hana hasira wala hahukumu.

Kama Mungu angekuwa anawachukia mashoga basi asingewaleta duniani.

Kama amewaleta mwenyewe basi aache mcharuko wa kuwaangamiza watu kwa mafuriko.

Naamini Mungu ni upendo, lakini nyie ndio mnamvisha mavazi ya kuonekana mbaya na mwenye hasira.
 
Kaongea vizuri tu leo, sijaona tatizo hapo, labda mtoa mada ulitaka mashoga wauawe, hivi humu ndani vichwa nazi bado wengi mno, hakuna mtu katika nchi yetu anataka ushoga, ila huwezi sema wauawe, hilo liko wazi, sasa mtoa mada alitaka kuona Lema aseme mashoga wauawe.. Nosense
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
With God everything is POSSIBLE.

Mungu akiingia ndani ya mtu anambadilisha na kuwa kiumbe kipya.

Ataacha USHOGA na kuwa Mwana wa Mungu.
Kwanini basi Mungu asiingie ndani ya hao mashoga awabadilishe?
 
Awali Lema nikimchukulia kama mtu ambaye hana uwezo kulingana na hoja anazozitoa majukwaani.

Baada ya haya mahojiano kuhusu Ushoga, sasa nimeelewa huyu jamaa kusimamia anayoyasema.

Amenitia kichefuchefu kuliko wakati wowote. Nimemchukia na nimeichukia CHADEMA.

Matumbo yanauza UTU wa mtu. Shetani kabisa huyu CHOKO
Acha uongo. Haujawahi kumpenda Lema wala Chadema.

Amandla...
 
inaozaje?
Inaozaje? Are you damn Serious?

Kwenye jamii kuna watoto, watoto ambao hawajui wao wanatakiwa kuwa nani na kufanya nini njia pekee ya kugundua hayo ni kupitia kuangalia na kujifunza kwa kuiga kutoka kwa watu wazima, watu wazima hao wakiwemo mafala wanaoachwa huru mitaani bila kufanywa chochote kukomesha tabia mbovu.

Tumia SIMPLE LOGIC.
 
Baba Askofu umemvisha Mungu sura ya ukali ambayo hana.

Mungu ni pendo, hana hasira wala hahukumu.

Kama Mungu angekuwa anawachukia mashoga basi asingewaleta duniani.

Kama amewaleta mwenyewe basi aache mcharuko wa kuwaangamiza watu kwa mafuriko.

Naamini Mungu ni upendo, lakini nyie ndio mnamvisha mavazi ya kuonekana mbaya na mwenye hasira.
Zamani kabla hazijaja hospitali, watoto walizozaliwa jogoo haliwiki walikuwa wanazimwa kimya kimya wakiwa wachanga.

Nikueleweshe USHOGA ulipoanzia.

Mchawi na shoga hawana tofauti. Mchawi yeyote Hana ADABU Wala mipaka, ktk uchawi mama na mtoto hufanya USHOGA na UZINZI na ni sawa kwao.

Pepo ana uwezo wa kujamiiana na mwanadamu na Kuzaliwa mtu, so usidhani wote wameumbwa na Mungu, shetani pia anaumba watu feki.

TABIA za USHOGA, ufiraji, UKAHABA zinatoka kuzimu, ktk ufalme wa Giza. Wanalazimisha Tamaduni hizo zihalalishwe pia ktk uso wa Dunia.

Kizazi Cha chetani kinalazimisha kiongezeke Ili kuifunika Dunia nzima Ili IBADA za kipepo zifanyike pia duniani.

Hii Dunia Tumepewa sisi WANA ES MUNGU tuitawale na kuitiisha ktk HAKI ya Mungu.

KAZI yetu ni kuwarudisha kuzimu Wana wa ghasia. Hakuna mtu mwenye AKILI timamu anaeamua kujihusisha na USHOGA bila Pepo Hilo kumuingia kwanza.

Hakuna mtu anaweza kujiua bila Pepo kumuingia.

Tunapiga Dunia Kwa Kila aina ya mapigo Ili watu wageuke na kumrudia Mungu.

Kipigo unachokishuhudia ktk mataifa mbalimbali ni VITA inaendelea ya kupambana na miungu iliyo nyuma ya Kila aina ya UOVU unaoujua.

Nakushauri ukubali kubadilika na kumrudia Mungu Ili uwe mwana wa Mungu,

Usipotubu utakufa HAKIKA, hizi ni nyakati za kutisha.

Zimeamriwa na Mungu Ili kuwarudisha watu ktk Utaratibu uliokuwepo Bustani ya EDEN.

Amen
 
Mimi ni mmoja wa WATAKATIFU wengi wanaoishi duniani.

Jifunze kulisikia sauti ya Mungu, usipingane na usiowajua na ukajichumia ADHABU Bure.
Kweli yawezekana wewe ni mtakatifu uliye duniani. Lakini unahitaji kudakaswa kila siku Kwa sababu bado uko ktk dunia hii

Pia, ni kweli sikujui kabisa wewe na sipendi na nisingetaka nikujue ...

Lakini nasikia au nasoma uanachokiandika na kupitia hayo maandishi yako naelewa wee ni mtu wa aina gani..

Na Mimi bahati njema nina neema ya kulijua Neno la Mungu yaani Biblia na nachunguza na kupima Kila unachokisema kwa kipimo hicho yaani NENO...

Biblia inasema:

1 Yoh. 1: 8 - 10

"....8 Tukisema kwamba hatuna dhambi, twajidanganya wenyewe, wala kweli haimo mwetu.

9 Tukiziungama dhambi zetu, Yeye ni mwaminifu na wa haki hata atuondolee dhambi zetu, na kutusafisha na udhalimu wote.


10 Tukisema kwamba hatukutenda dhambi, twamfanya Yeye kuwa mwongo wala neno lake halimo mwetu..."

Na wewe endelea kuungama dhambi zako kila siku. Acha na wengine wafanye hivyo pia wakiwemo mashoga na wasagaji maana ahukumiye ni mmoja tu..

Na Biblia inasema wazi kuhusu wewe kuwa

1 Kor. 10 : 12

"....12 Kwa hiyo anayejidhania kuwa amesimama na aangalie asianguke..."
 
Inaozaje? Are you damn Serious?

Kwenye jamii kuna watoto, watoto ambao hawajui wao wanatakiwa kuwa nani na kufanya nini njia pekee ya kugundua hayo ni kupitia kuangalia na kujifunza kwa kuiga kutoka kwa watu wazima, watu wazima hao wakiwemo mafala wanaoachwa huru mitaani bila kufanywa chochote kukomesha tabia mbovu.

Tumia SIMPLE LOGIC.
Suluhusho ni watu kufirana vyumbani ili watoto wasione.
 
"Kukamilisha au kutimiliza" maana yake sheria ilikuwa na mapungufu, Kwahiyo Yesu alikuja kurekebisha hayo mapungufu kwa kuongeza na kupunguza baadhi ya vitu.(Mathayo 5 : 17-41).

Mfano:

1. Adhabu ya kuuawa kwa watenda dhambi ni moja ya vitu vilivyo punguzwa au kuondolewa (Yohana 8 : 1 - 11)
2. Kulipa kisasi kama ilivyo amriwa katika sheria(Kutoka 21 : 23-25 na Mambo ya walawi 24 : 17-21), hili nalo Kristo Yesu alirekebisha kwa kusema "Soma mathayo 5 : 38-42 na Luka 6 : 27-36"

Na mwisho kabisa Yesu alisema hivi torati imetimia katika neno moja nalo ni upendo (Mathayo 7 : 12) na upendo hauna mipaka wala classes ni kwa kila mtu hata kama ni shoga.
✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️

Asante sana...

Hebu mtakatifu Rabbon aisome...
 
Mnapambana kuzidi kuzaa na kuongezeka zaidi katika nchi ili iweje? Yani hiyo ndio sababu mojawapo ya kutokwa na povu kuhusu ushoga??
Hao watu waliopo wenyewe sasa hivi wengi wao wanaishi kama wako jehanamu ndogo.
Wamekaa kwenye slums, watu wanakaa chini bila madawati shuleni, vijana wamejazana wanaendesha bodaboda na wengine wanazungusha tu bahasha mitaani.
Ndio muwe mashoga?
 
Kwanini basi Mungu asiingie ndani ya hao mashoga awabadilishe?
Swali zuri..

Mungu amewapa WANADAMU will ya kuamua wawe wema au wabaya.

Bt IPO muda wa neema Kwa WANADAMU, bt muda huo ni limited. Una mwisho.

Tunawajibika kuwaombea wenye dhambi, Wana wa Mungu waliofungwa ktk vifungo vya dhambi kama mateka.

Bt Watu Walio nusu mtu nusu Pepo Kutoka chini kuzimu hao hatuwaombei, Tunawapa kipigo na kuwarudisha kuzimu ktk asili Yao.

Amen
 
Suluhusho ni watu kufirana vyumbani ili watoto wasione.
Wewe mpumbavu kweli. Wewe umeoana hao mafala ambao ni wanaume kwenye hiyo clip walivyovaa? Umeona walivyokuwa na haiba ya kike? Umeona walivyolegea?
Wewe unadhani unaweza kuficha huo uchafu ili watoto wasione?

Utajisikiaje ukiona kijana wako wa kiume anatembea na amelegea kama mwanamke anashikwa makalio na mwanaume mwenzake?

JIBU HILO SWALI.
 
Bwanaee Firweni!! Mmepata Nabii wa kuwatetea. ***** baba
Kumbuka Lisu pia alisema hatawaingilia wanachadema kwenye faragha zao za vyumbani, hapo ni baada ya kuhojiwa na bbc juu ya ana msimamo gani na ushoga
 
Back
Top Bottom