Lema asema hakubali mtu kuuawa kwa kuwa ni shoga

Lema asema hakubali mtu kuuawa kwa kuwa ni shoga

Bt Watu Walio nusu mtu nusu Pepo Kutoka chini kuzimu hao hatuwaombei, Tunawapa kipigo na kuwarudisha kuzimu ktk asili Yao.

Amen

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mashoga wakiwa miongoni mwao?
 
Acha kuwa referee wa maisha ya watu, wewe chakata mbususu, wanaofukuliwa acha wafukuliwe cha muhimu wafukuliwe kwa ridhaa yao.
UTAKUBALI KUONA MTOTO WAKO WA KIUME AMEVAA GAUNI NA AMELEGEA KAMA MTOTO WA KIKE TENA ANASHIKWA MAKALIO NA MWANAUME MWENZAKE?
 
Wewe mpumbavu kweli. Wewe umeoana hao mafala ambao ni wanaume kwenye hiyo clip walivyovaa? Umeona walivyokuwa na haiba ya kike? Umeona walivyolegea?
Wewe unadhani unaweza kuficha huo uchafu ili watoto wasione?

Utajisikiaje ukiona kijana wako wa kiume anatembea na amelegea kama mwanamke anashikwa makalio na mwanaume mwenzake?

JIBU HILO SWALI.
So wewe ni mtakatifu?

Shoga. Ana haki zote za kuishi kwani mtoto wako wa kike akifirwa haupati Hasira ?

Mashoga wote wanabidi kuishi as the same Malaya na majambazi wanaoibia nchi wanaishi Affica hamnaga akili Vita ya mashoga sio ya kutumia nguvu za mitutu ya bunduki Bali ni Vita ya rohoni
 
Ndo maana nimesema, suluhisho ni kufirana chumbani ili watoto wasione.

La pili ni kwamba, serikali haiwezi kutunga sheria ya kuwapangia watu mavazi ya kuvaa.

Ukiona dume limevaa sketi fumba macho jifiche ili usione.

Hakikisha pia watoto wako wa kiume hawavai sketi au magauni.
 
UTAKUBALI KUONA MTOTO WAKO WA KIUME AMEVAA GAUNI

Unataka serikali itunge sheria ya kuwakataza madume kuvaa sketi?

[emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851]
 
So wewe ni mtakatifu?

Shoga. Ana haki zote za kuishi kwani mtoto wako wa kike akifirwa haupati Hasira ?

Mashoga wote wanabidi kuishi as the same Malaya na majambazi wanaoibia nchi wanaishi Affica hamnaga akili Vita ya mashoga sio ya kutumia nguvu za mitutu ya bunduki Bali ni Vita ya rohoni
MWANAUME NI MWANAUME NA MWANAMKE NI MWANAMKE.
Kama mtoto wa kike hawezi kukubali huo uchafu ni ajabu na uchafu mara 2000 kwa mwanaume.

UTAKUBALI KUONA MTOTO WAKO WA KIUME AMEVAA GAUNI NA AMELEGEA KAMA MWANAMKE AKISHIKWA MAKALIO NA MWANAUME MWENZAKE?
 
Ndo maana nimesema, suluhisho ni kufirana chumbani ili watoto wasione.

La pili ni kwamba, serikali haiwezi kutunga sheria ya kuwapangia watu mavazi ya kuvaa.

Ukiona dume limevaa sketi fumba macho jifiche ili usione.

Hakikisha pia watoto wako wa kiume hawavai sketi au magauni.
Wewe nimekwambia ujibu hilo swali unabaki kurukaruka.

Utajisikiaje ukiona kijana wako wa kiume anatembea kama mwanamke na amelegea kama mwanamke akishikwa makalio na mwanaume mwenzake?

JIBU HILO SWALI.
 
MWANAUME NI MWANUAME NA MWANAMKE NI MWANAMKE.
Kama mtoto wa kike hawezi kukubali huo uchafu ni ajabu na uchafu mara 2000 kwa mwanaume.

UTAKUBALI KUONA MTOTO WAKO WA KIUME AMEVAA GAUNI NA AMELEGEA KAMA MWANAMKE AKISHIKWA MAKALIO NA MWANAUME MWENZAKE?
Mimi naona kawaida unajua wewe huna unachoweza badilisha katika Maisha ya Mtu hata siku moja

Mimi watoto wangu nawalea kiroho zaidi na hata wakifirwa siwezi kuwaua au kuwakataa wataendelea kuwa wanangu tu .

Hivi kwanza wewe Ni Nani Hadi ujihesabie haki.?
 
Now you are coming to your senses
Swali zuri..

Mungu amewapa WANADAMU will ya kuamua wawe wema au wabaya.
Toka mwanzo nilikuambia kuwa Mungu ni pendo. Yeye hahukumu mtu. Ameweka utashi wa kuchagua ndani ya kila mtu. Kama shoga kachagua kuwa shoga au msagaji kuwa msagaji, wewe utafanya nini?
Bt IPO muda wa neema Kwa WANADAMU, bt muda huo ni limited. Una mwisho.
Lakini bado upo. Hata mashoga na wasagaji wanajua hilo.
Tunawajibika kuwaombea wenye dhambi, Wana wa Mungu waliofungwa ktk vifungo vya dhambi kama mateka.

Yes, tuwaombee. Lakini anza na kujiombea wewe kwanza
Bt Watu Walio nusu mtu nusu Pepo Kutoka chini kuzimu hao hatuwaombei, Tunawapa kipigo na kuwarudisha kuzimu ktk asili Yao.

Amen
Utakuwa hujui utendalo wala uombalo. Piga kilicho nyuma ya hao watu kinachowafanya wawe hivyo usivyotaka wewe wawe..
 
Zamani kabla hazijaja hospitali, watoto walizozaliwa jogoo haliwiki walikuwa wanazimwa kimya kimya wakiwa wachanga

[emoji851][emoji851][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kwahiyo unaona ni sawa?
 
Mimi naona kawaida unajua wewe huna unachoweza badilisha katika Maisha ya Mtu hata siku moja

Mimi watoto wangu nawalea kiroho zaidi na hata wakifirwa siwezi kuwaua au kuwakataa wataendelea kuwa wanangu tu .

Hivi kwanza wewe Ni Nani Hadi ujihesabie haki.?
HAKUNA MWANAUME RIJALI MWENYE UWEZO WA KUTUNGISHA MIMBA MWANAMKE, KULEA MTOTO NA KUJUA UCHUNGU WA MTOTO. AONE KAWAIDA MTOTO WAKE WA KIUME KUWA FALA NA LAANA.

MPAKA HAPA NIMESHAJUA HUWEZI KUWA NA WATOTO WEWE. NA MPAKA HAPA NAHITIMISHA WEWE SIO RIZIKI.

MIMI NI MWANANCHI MPENDA NCHI YAKE NA MWENYE NIA NJEMA YA KIZAZI KIJACHO CHA NCHI YANGU NA NASEMA MAFALA WOTE WAONDOLEWE WAONDOLEWE NCHINI AU WAUWAWE.
 
Kuna umuhimu kutenganisha misimamo ya dini zetu na sheria za serikali. Misimamo ya dini zetu inawahusu waumini wa dini hizo tu wakati sheria za serikali/nchi zinawahusu wote wanaoishi ndani ya nchi husika. Kuna dini zinaamini wazinifu ( kutembea na mtu ambae hamko nae katika ndoa hata kama wote wawili hamko katika ndoa) wanatakiwa wauawe. Yohana 8 3-7 inazungumzia mzinifu aliyeletwa kwa Yesu ili atoe mawazo yake kwa sababu sheria ilikuwa inasema apigwe mawe ( mpaka kufa). Wakristu wote tunajua jibu la Yesu.

Sasa itakuwaje tutake kutumia matamko yaliyomo katika misahafu kuwahukumu wale ambao hawajatudhuru kwa njia yeyote? Inakuwaje tunakumbatia yaliyomo katika Agano la Kale lakini tunapuuza maneno na mifano ya maisha ya Yesu mwenyewe?

Tumsikilize Pope Francis aliyesema kuwa hakubaliani na homosexuality lakini ana amini homosexuals kama watoto wa Mungu wanastahili kupendwa. Akasema pia sio haki kufanya homosexuality kuwa kosa la jinai. Kama kuna adhabu kuhusu vitendo hivyo itatolewa na Mungu wake, serikali isihusike. Ni kama mtu akiwa na uhusiano na mtu ambae hayumo katika ndoa ( tukumbuke watu wengi wanaishi pamoja bila kuooana) nae basi ataadhibiwa na Mungu wake, serikali haipaswi kuhusika. Hivyo hivyo kwa mashoga. Kama kuna adhabu tumuachie Mungu wao, serikali haipaswi kumuadhibu.

Amandla...
 
Wewe mpumbavu kweli. Wewe umeoana hao mafala ambao ni wanaume kwenye hiyo clip walivyovaa? Umeona walivyokuwa na haiba ya kike? Umeona walivyolegea?
Wewe unadhani unaweza kuficha huo uchafu ili watoto wasione?
Wewe unadhani ni nini kifanyike?

Nao ndiyo hivyo tena, duniani ni mahali pao pa kuishi..

Unataka uwatengenezee dunia yao peke yao?
Utajisikiaje ukiona kijana wako wa kiume anatembea na amelegea kama mwanamke anashikwa makalio na mwanaume mwenzake?
Wewe utajisikiaje? Utafanyaje?

Toa mawazo yako kwanza, and from there ndipo utasaidiwa...
 
Back
Top Bottom