Lema asema hakubali mtu kuuawa kwa kuwa ni shoga

Lema asema hakubali mtu kuuawa kwa kuwa ni shoga

Nisiongee mengi video ya interview yake pale star tv hio apo chini.

===
Lema aliulizwa na Aloyce Nyanda kuhusu ushoga katika kipindi cha StarTV amesema yeye anaamini katika biblia na kama dunia nzima itaamini katika biblia basi suala la ushoga halitakuwa tatizo.

Hata hivyo amesema haukubaliani na sheria au mtu yeyote anayetaka kumuua mtu kwa kuwa ni shoga. Amesema kitu mtu anachokifanya katika maisha yake ni kitu chake.
Awali Lema nikimchukulia kama mtu ambaye hana uwezo kulingana na hoja anazozitoa majukwaani.

Baada ya haya mahojiano kuhusu Ushoga, sasa nimeelewa huyu jamaa kusimamia anayoyasema.

Amenitia kichefuchefu kuliko wakati wowote. Nimemchukia na nimeichukia CHADEMA.

Matumbo yanauza UTU wa mtu. Shetani kabisa huyu CHOKO
 
Iko wapi hiyo clip?

Make it practical tuone na sisi hicho kigugumizi. Acha hisia na theories za kubumba..
Mimi nimemsikia, amesema hawezi kujihusisha na kosa la kumsema au kumshambukia mtu Kwa Sababu Eti Yeye ni shoga au mfiraji.

DEMOCRACY=DEMON CRASIE.

Uhuru wa kipepo na DEMOKRASIA ya kipepo ni kuamini USHOGA na usagaji ni uhuru wa watu kuamua,

Uhuru unaopingana na maumbile ya binafamu walivyoumbwa na kufanya UOVU haikubaliki kwetu na mbele za Mungu.

Lema akumbuke, Nchi Iko mikononi mwa Mungu, wakishindwa kusimamia msimamo na mapenzi ya Mungu, Makuhani tutaingia kuongoza Nchi maana Nchi Tumepewa, Iko mikononi mwetu.

Tusubiri.
 
Unamshangaa Lema lakini hauishangai serikali kutotunga Sheria ya adhabu Kwa wanaojihusisha na ushoga, bila kutunga Sheria maana yake yameruhusiwa yafanyike tu
Sheria ipo juzi tu mtawala kahukumiwa shoga miaka 30
 
Mnapambana kuzidi kuzaa na kuongezeka zaidi katika nchi ili iweje? Yani hiyo ndio sababu mojawapo ya kutokwa na povu kuhusu ushoga??
Hao watu waliopo wenyewe sasa hivi wengi wao wanaishi kama wako jehanamu ndogo.
Wamekaa kwenye slums, watu wanakaa chini bila madawati shuleni, vijana wamejazana wanaendesha bodaboda na wengine wanazungusha tu bahasha mitaani.
Naungana nawe kumchukia Lema ktk kujituma kwenye msimamo juu ya USHOGA.

USHOGA na Ufiraji tunatakiwa tuutreat kama crime sababu LENGO ni kuondoka uwezo wetu wa kuzaa kuongezeka kama Nchi.

Hawa wapumbavu wametoka huko Kwa mabeberu na agenda za Siri.

Nchi yetu isikubali mashinikizo ya kishetani kulazimisha USHOGA Kwa kigezo Cha DEMOKRASIA au kupata MISAADA.

Ufiraji na USHOGA na usagaji unapaswa uchukuliwe kama crime ya Uchunaji ngozi ya binafamu.

Ktk hili, CCM Ina Afadhali kuliko CDM .

Vyama vya siasa visipopinga na kukemea USHOGA na ufiraji Kwa nguvu,

Tutaanzisha vyama vyetu ktk mfumo wa IMANI yetu ktk MUNGU wetu anayekataa UOVU huo.

Amen
 
Yuko sahihi, umuadhibu mtu kwa kufanya maamuzi ya maisha yake mwenyewe ambayo hayana athari yeyote kwenye maisha yako kama sio uonevu ni nini?
Acha ujinga, jamii sio mtu mmoja mmoja bali kundi kubwa la watu, maana yake ukimuacha mmoja basi generation nzima itakuwa imeoza.
 
Lema atakuwa si mkristo au haijui biblia yake kwani imeandikwa ndani ya biblia

Kill Homosexuals
“If a man lies with a male as with a women, both of them shall be put to death for their abominable deed; they have forfeited their lives.” (Leviticus 20:13 NAB)

FF6PP3jXEAMbXbp.jpg

Bwana Yesu kasema hakuja kuondoa sheria

17-22
"Kukamilisha au kutimiliza" maana yake sheria ilikuwa na mapungufu, Kwahiyo Yesu alikuja kurekebisha hayo mapungufu kwa kuongeza na kupunguza baadhi ya vitu.(Mathayo 5 : 17-41).

Mfano:

1. Adhabu ya kuuawa kwa watenda dhambi ni moja ya vitu vilivyo punguzwa au kuondolewa (Yohana 8 : 1 - 11)
2. Kulipa kisasi kama ilivyo amriwa katika sheria(Kutoka 21 : 23-25 na Mambo ya walawi 24 : 17-21), hili nalo Kristo Yesu alirekebisha kwa kusema "Soma mathayo 5 : 38-42 na Luka 6 : 27-36"

Na mwisho kabisa Yesu alisema hivi torati imetimia katika neno moja nalo ni upendo (Mathayo 7 : 12) na upendo hauna mipaka wala classes ni kwa kila mtu hata kama ni shoga.
 
Mimi nimemsikia, amesema hawezi kujihusisha na kosa la kumsema au kumshambukia mtu Kwa Sababu Eti Yeye ni shoga au mfiraji.
Kwahiyo? Hujaelewa nini...

Wewe una haki ya kushambulia mashoga na wasagaji? Unaipata wapi hiyo haki? Wewe dhambi zako na akushambulie nazo? Au wee mtakatifu huna dhambi?
DEMOCRACY=DEMON CRASIE.

Uhuru wa kipepo na DEMOKRASIA ya kipepo ni kuamini USHOGA na usagaji ni uhuru wa watu kuamua,
ILa kuzini, wizi, wizi wa kura, uasherati na usengenyaji na yafananayo na hayo "ni uhuru wa kitakatifu toka mbinguni" siyo..?

Hivi unajua unaongea Nini kweli wewe??
Uhuru unaopingana na maumbile ya binafamu walivyoumbwa na kufanya UOVU haikubaliki kwetu na mbele za Mungu.
Dhambi zote hazikubaliki kotekote. Wewe labda sio shoga au msagaji lakini una uchafu wako mwingine. Hayo yote hayakubaliki popote..!!
Lema akumbuke, Nchi Iko mikononi mwa Mungu, wakishindwa kusimamia msimamo na mapenzi ya Mungu, Makuhani tutaingia kuongoza Nchi maana Nchi Tumepewa, Iko mikononi mwetu.

Tusubiri.
Exactly, nchi iko mikononi mwa Mungu...

Mungu ni mwana demokrasia namba one . Mungu ameyaachilia yote mikononi mwa wanadamu. Ameweka HAKI na UZIMA upande huu. Akaweka na DHAMBI na MAUTI upande ule. Na akaweka choice ndani ya kila mtu kuchagua..

Na Mungu huyuhuyu huwaangazia waovu na wenye haki jua lake. Na wote huwanyeshea mvua sawasawa. Unadhani ni kwanini?
 
Kaongea vizuri tu leo, sijaona tatizo hapo, labda mtoa mada ulitaka mashoga wauawe, hivi humu ndani vichwa nazi bado wengi mno, hakuna mtu katika nchi yetu anataka ushoga, ila huwezi sema wauawe, hilo liko wazi, sasa mtoa mada alitaka kuona Lema aseme mashoga wauawe.. Nosense
 
Nani kichwa nazi?
 
Mungu ni mkali sana juu ya DHAMBI.
Ni kweli. Hakuna apingaye ukweli huu

Lakini wewe unajiweka wapi?

Hata Kwa dhambi zako wewe Rabbon, Mungu ni MKALI KWELIKWELI..

Rabbon, dhambi ni chochote kisicho haki. Mungu anahukumu kila tendo lisilo haki kwa kila mtu. Ushoga au usagaji zote ni dhambi. Hata hayo yako ni dhambi. Acha kwanza wewe. Usinyooshee watu wengine vidole.

Hakuna dhambi ndogo wala kubwa..
 
Unaongea na Mungu ndani yangu.

Mimi ni MDOMO wa Mungu ktk Nchi yangu.

Ninayo mamlaka ya kukemea DHAMBI.
 
Wew mpuuzi unataka tupate laana na Majanga kama Sodoma na Gomora Acha Bangi wew mtu
We kweli pimbi kwahiyo laana zinaletwa na ushoga tu kwa akili yako fupi huwezi kutafakari huenda yakawepo mengi yanayoleta hiyo laana
 
Unaongea na Mungu ndani yangu.

Mimi ni MDOMO wa Mungu ktk Nchi yangu.

Ninayo mamlaka ya kukemea DHAMBI.
Exactly, unayo mamlaka hayo..

Anza kuikemea yako kwanza ndiyo ukemee za wengine..

Imeandikwa;

Luka 6:41 - 42

"......Basi, mbona wakitazama kibanzi kilicho ndani ya jicho la ndugu yako, na boriti iliyo ndani ya jicho lako mwenyewe huiangalii?

.......
Au, utawezaje kumwambia ndugu yako, Ndugu yangu, niache nikitoe kibanzi kilicho ndani ya jicho lako, nawe huiangalii boriti iliyo ndani ya jicho lako mwenyewe?

.....Mnafiki wewe, itoe kwanza ile boriti katika jicho lako mwenyewe, ndipo utakapoona vema kukitoa kile kibanzi kilichomo katika jicho la ndugu yako..
..."
 
Naungana nawe kumchukia Lema ktk kujituma kwenye msimamo juu ya USHOGA.

USHOGA na Ufiraji tunatakiwa tuutreat kama crime sababu LENGO ni kuondoka uwezo wetu wa kuzaa kuongezeka kama Nchi.

Hawa wapumbavu wametoka huko Kwa mabeberu na agenda za Siri.

Nchi yetu isikubali mashinikizo ya kishetani kulazimisha USHOGA Kwa kigezo Cha DEMOKRASIA au kupata MISAADA.

Ufiraji na USHOGA na usagaji unapaswa uchukuliwe kama crime ya Uchunaji ngozi ya binafamu.

Ktk hili, CCM Ina Afadhali kuliko CDM .

Vyama vya siasa visipopinga na kukemea USHOGA na ufiraji Kwa nguvu,

Tutaanzisha vyama vyetu ktk mfumo wa IMANI yetu ktk MUNGU wetu anayekataa UOVU huo.

Amen
Baba Askofu kumbuka kuna mashoga nchini ambao wameshindwa kuacha ushoga.

Unawashaurije?
 
Exactly, unayo mamlaka hayo..

Anza kuikemea yako kwanza ndiyo ukemee za wengine..

Imeandikwa;

Luka 6:41 - 42

"......Basi, mbona wakitazama kibanzi kilicho ndani ya jicho la ndugu yako, na boriti iliyo ndani ya jicho lako mwenyewe huiangalii?

.......
Au, utawezaje kumwambia ndugu yako, Ndugu yangu, niache nikitoe kibanzi kilicho ndani ya jicho lako, nawe huiangalii boriti iliyo ndani ya jicho lako mwenyewe? Mnafiki wewe, itoe kwanza ile boriti katika jicho lako mwenyewe, ndipo utakapoona vema kukitoa kile kibanzi kilichomo katika jicho la ndugu yako....."
Mimi ni mmoja wa WATAKATIFU wengi wanaoishi duniani.

Jifunze kulisikia sauti ya Mungu, usipingane na usiowajua na ukajichumia ADHABU Bure.
 
Back
Top Bottom