much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 11,461
- 17,183
Sheria ipo na Kuna Moja lini kala miaka 30 Sasa wewe chief endelea kuzagamuliwa masabuli ukifikili Sheria ya kukufunga haipoUnamshangaa Lema lakini hauishangai serikali kutotunga Sheria ya adhabu Kwa wanaojihusisha na ushoga, bila kutunga Sheria maana yake yameruhusiwa yafanyike tu
Sent using Jamii Forums mobile app