Lema asema hakubali mtu kuuawa kwa kuwa ni shoga

Rabbon umeeleza maelezo ambayo yamebase kiimani zaidi.

Mkuu, inabidi ujue kuwa si kila mtu anaamini kwenye imani yako na dhana ya Mungu kiujumla.

Kikubwa zaidi inatakiwa ujue kuwa kama kuna wakati ambao mzazi anatakiwa kum-shape mwanae na kuinfluence future yake basi ni wakati akiwa bado mdogo.

Ukizembea kwenye utoto wake, basi tusidanganyane kwamba utam-shape akishakua mtu mzima anayeweza kujisimamia yeye mwenyewe.

KUMBUKA, samaki mkunje angali mbichi.
 
U are right.

Bt wapo wazazi ambao wamemjua Mungu ukubwani na Wana familia tayari.

USHAURI huo unawapa hope kuwa kumbe mtoto anaweza kubadilishwa tabia akiwa mkubwa amekomaa.

With GOD everything is POSSIBLE.

Samaki aliyekauka Kwa Mungu anakunjika, Kahaba aliyekubuhu anarudishwa kuwa mke mzuri Kwa mumewe, majambazi na wauwaji wanahubiri INJILI.

Kuna namna wengi wanasaika Kwa comment zangu.

Amen
 
Hoja yako inakuwa valid kwa watu ambao wanaamini Mungu, kwa wasio amini Mungu, hoja yako inakosa mashiko.

Kikubwa ni kwamba, hayatakiwi matumizi ya nguvu kuingilia maamuzi ya faragha ya mtu ambayo kimsingi hayana athari kwa watu baki.

Kuhusu maombezi wala hakuna shida, cha muhimu tu ni kwamba isitumike nguvu kuingilia na kusumbua maamuzi ya faragha za watu.

Sijui kama umenipata point yangu sasa mkuu.
 
Hizi , Biblia mbili zimeweka vizuri

New Century Version for Matthew 5:17

17 "Don't think that I have come to destroy the law of Moses or the teaching of the prophets. I have not come to destroy them but to bring about what they said.

New International Reader's Version for Matthew 5:17

17 "Do not think I have come to get rid of what is written in the Law or in the Prophets. I have not come to do that. Instead, I have come to give full meaning to what is written.
Kwa kutumia hiyo aya mathayo 5 : 17 kwamba alikuja kutimiliza(to fulfil, to make complete), Yesu akatimiza Yote kwa kusema kuwa torati na manabii zimetimia katika neno moja nalo ni upendo

Mathayo 7:12
Basi yo yote myatakayo mtendewe na watu, nanyi watendeeni vivyo hivyo; maana hiyo ndiyo torati na manabii.

Hebu jiulize ungekuwa wewe au mwanao mpendwa ndio mzinzi au shoga, Je ungetaka watu wakuue au wakufunge gerezani? Bila shaka usingetaka mwanao au wewe kufa bali ungetaka kuishi.

Basi lolote ambalo ungetaka wewe kutendewa basi na wengine watendee vivyo hivyo.

Kwahiyo baada ya Yesu torati na manabii imekuwa siyo tena hizo sheria zilizopo katika: Kumbukumbu la torati, mambo ya Walawi na Kutoka ambazo zilikuwa hazijatimia. Bali sheria zote zimetimia katika upendo yaani "yo yote myatakayo mtendewe na watu, nanyi watendeeni vivyo hivyo"

====================
NYONGEZA:

  Pia imezungumzwa katika mathayo 22 : 36 - 40 kuwa torati na manabii ambazo hazikutenguliwa zimetimilizwa katika amri mbili.

Mathayo 22:36
Mwalimu, katika torati ni amri ipi iliyo kuu?

Mathayo 22:37
Akamwambia, Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa akili zako zote.

Mathayo 22:38
Hii ndiyo amri iliyo kuu, tena ni ya kwanza.

Mathayo 22:39
Na ya pili yafanana nayo, nayo ni hii, Mpende jirani yako kama nafsi yako.

Mathayo 22:40
Katika amri hizi mbili hutegemea torati yote na manabii.

Katika kuonyesha kuwa Kristo Yesu alikuwa siriazi kuhusu kutimiliza sheria na mafundisho yote ya manabii ili yawe upendo (Mathayo 7 : 12).

Wana wa islaeli na watu wote walistahili adhabu kwa dhambi na uasi wao kwa Mungu nyakati hizo, lakini Kristo alijitolea afe yeye kwa ajili ya dhambi zote.
Kufa kwake ilikuwa ni ishara ya Upendo wa ajabu sana.(Upendo wake haukuishia kwenye maneno tu bali aliudhihirisha kwa kifo chake).
 
Hawezi kutamka hayo maneno kwasababu yeye na familia yake wamepewa hifadhi mataifa yanayokubaliana na ushoga so hata kama anaupinga hatoweza kusema wazi wazi kwasababu akifanya hivyo watu watarekodi maneno yake na kuyatuma Kwenye media na matokeo yake ni yatawafikia raia wa mataifa ya magharibi na yeye atashutumiwa kwa kuwachukia mashoga.

So hawa jamaa muwaelewe tu kuwa hii vita hawawezi kuwa mstari wa mbele [emoji23][emoji23][emoji23]
Yes asylum
 
Kwa kutumia hiyo aya mathayo 5 : 17 kwamba alikuja kutimiliza(to fulfil, to make complete), Yesu akatimiza Yote kwa kusema kuwa torati na manabii zimetimia katika neno moja nalo ni upendo

Mathayo 7:12
Basi yo yote myatakayo mtendewe na watu, nanyi watendeeni vivyo hivyo; maana hiyo ndiyo torati na manabii.

Hebu jiulize ungekuwa wewe au mwanao mpendwa ndio mzinzi au shoga, Je ungetaka watu wakuue au wakufunge gerezani? Bila shaka usingetaka mwanao au wewe kufa bali ungetaka kuishi.

Basi lolote ambalo ungetaka wewe kutendewa basi na wengine watendee vivyo hivyo.

Kwahiyo baada ya Yesu torati na manabii imekuwa siyo tena hizo sheria zilizopo katika: Kumbukumbu la torati, mambo ya Walawi na Kutoka ambazo zilikuwa hazijatimia. Bali sheria zote zimetimia katika upendo yaani "yo yote myatakayo mtendewe na watu, nanyi watendeeni vivyo hivyo"

====================
NYONGEZA:

  Pia imezungumzwa katika mathayo 22 : 36 - 40 kuwa torati na manabii ambazo hazikutenguliwa zimetimilizwa katika amri mbili.

Mathayo 22:36
Mwalimu, katika torati ni amri ipi iliyo kuu?

Mathayo 22:37
Akamwambia, Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa akili zako zote.

Mathayo 22:38
Hii ndiyo amri iliyo kuu, tena ni ya kwanza.

Mathayo 22:39
Na ya pili yafanana nayo, nayo ni hii, Mpende jirani yako kama nafsi yako.

Mathayo 22:40
Katika amri hizi mbili hutegemea torati yote na manabii.

Katika kuonyesha kuwa Kristo Yesu alikuwa siriazi kuhusu kutimiliza sheria na mafundisho yote ya manabii ili yawe upendo (Mathayo 7 : 12).

Wana wa islaeli na watu wote walistahili adhabu kwa dhambi na uasi wao kwa Mungu nyakati hizo, lakini Kristo alijitolea afe yeye kwa ajili ya dhambi zote.
Kufa kwake ilikuwa ni ishara ya Upendo wa ajabu sana.(Upendo wake haukuishia kwenye maneno tu bali aliudhihirisha kwa kifo chake).

Hebu yazingatie Mahubiri ya Yesu aliyotoa juu ya Mlima wa Zaituni:

Msidhani ya kuwa nalikuja kuitangua torati au manabii; la, sikuja kutangua, bali kutimiliza. Kwa maana, amin, nawaambia, Mpaka mbingu na nchi zitakapoondoka, yodi moja wala nukta moja ya torati haitaondoka, hata yote yatimie. Basi mtu ye yote atakayevunja amri moja katika hizi zilizo ndogo, na kuwafundisha watu hivyo, ataitwa mdogo kabisa katika ufalme wa mbinguni; bali mtu atakayezitenda na kuzifundisha, huyo ataitwa mkubwa katika ufalme wa mbinguni. Maana nawaambia ya kwamba, Haki yenu isipozidi hiyo haki ya waandishi na Mafarisayo, hamtaingia kamwe katika ufalme wa mbinguni.
Mathayo 5.17-20

Ndani ya mahubiri ya Mlima wa Zaituni ndio yanapatikana mafunzo makubwa ya Yesu Kristo.
Tunaweza kusema kuwa humu, hasa, ndio umo Ukristo; yaani ikiwa tunaamini ya kuwa Yesu ndiye Katika kifungu cha maneno hayo tuliyoyanukulu ya Yesu tunaona ya kuwa ni muhali mtu kuingia katika ufalme wa mbinguni, yaani Peponi, mpaka haki ya mtu izidi ile ya waandishi na Mafarisayo.

Yaani wema uutendao uzidi ule wa wanazuoni wa Kiyahudi.

Ni nini hiyo haki ya waandishi na Mafarisayo?

Ni kuifuata sharia ya Taurati neno kwa neno, na pia waliofunza manabii wengineo.

Ndio maana Yesu akasema: "Msidhani ya kuwa nalikuja kutangua torati au manabii, sikuja kutangua, bali kutimiliza."

Kazi yake haikuwa kutengua sharia ya Taurati na kuleta kitu kingine cha kutengua au kugonganisha na mafunzo ya sharia ya Mwenyezi Mungu na Mitume wake, bali kaja yeye kutimiliza kwa kuwafunza Mayahudi umuhimu wa mambo ya kiroho katika sharia.

Kutii madhaahiri ya sharia tu na kuwacha undani wake, uchamngu, hakutoshi.

Mwenyezi Mungu atiiwe kwa dhaahiri na kwa siri.

Yesu alishikilia sana kufundisha na kutenda, aliposema:

"Basi mtu ye yote atakayevunja amri moja katika hizi zilizo ndogo, na kuwafundisha watu hivyo, ataitwa mdogo kabisa katika ufalme wa mbinguni; bali atakayezitenda na kuzifundisha, huyo ataitwa mkubwa katika ufalme wa mbinguni."
 
Kwa kutumia hiyo aya mathayo 5 : 17 kwamba alikuja kutimiliza(to fulfil, to make complete), Yesu akatimiza Yote kwa kusema kuwa torati na manabii zimetimia katika neno moja nalo ni upendo

Mathayo 7:12
Basi yo yote myatakayo mtendewe na watu, nanyi watendeeni vivyo hivyo; maana hiyo ndiyo torati na manabii.

Hebu jiulize ungekuwa wewe au mwanao mpendwa ndio mzinzi au shoga, Je ungetaka watu wakuue au wakufunge gerezani? Bila shaka usingetaka mwanao au wewe kufa bali ungetaka kuishi.

Basi lolote ambalo ungetaka wewe kutendewa basi na wengine watendee vivyo hivyo.

Kwahiyo baada ya Yesu torati na manabii imekuwa siyo tena hizo sheria zilizopo katika: Kumbukumbu la torati, mambo ya Walawi na Kutoka ambazo zilikuwa hazijatimia. Bali sheria zote zimetimia katika upendo yaani "yo yote myatakayo mtendewe na watu, nanyi watendeeni vivyo hivyo"

====================
NYONGEZA:

  Pia imezungumzwa katika mathayo 22 : 36 - 40 kuwa torati na manabii ambazo hazikutenguliwa zimetimilizwa katika amri mbili.

Mathayo 22:36
Mwalimu, katika torati ni amri ipi iliyo kuu?

Mathayo 22:37
Akamwambia, Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa akili zako zote.

Mathayo 22:38
Hii ndiyo amri iliyo kuu, tena ni ya kwanza.

Mathayo 22:39
Na ya pili yafanana nayo, nayo ni hii, Mpende jirani yako kama nafsi yako.

Mathayo 22:40
Katika amri hizi mbili hutegemea torati yote na manabii.

Katika kuonyesha kuwa Kristo Yesu alikuwa siriazi kuhusu kutimiliza sheria na mafundisho yote ya manabii ili yawe upendo (Mathayo 7 : 12).

Wana wa islaeli na watu wote walistahili adhabu kwa dhambi na uasi wao kwa Mungu nyakati hizo, lakini Kristo alijitolea afe yeye kwa ajili ya dhambi zote.
Kufa kwake ilikuwa ni ishara ya Upendo wa ajabu sana.(Upendo wake haukuishia kwenye maneno tu bali aliudhihirisha kwa kifo chake).

Katika amri za Taurati ni kama hii iliyomo katika Biblia:

Na nguruwe, kwa sababu yeye anazo kwato ni mwenye miguu iliyopasuka kati, lakini hacheui, yeye ni najisi kwenu. Msile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao; hao ni najisi kwenu.

Mambo ya Walawi 11.7-8

Kwa hiyo naliwaambia wana wa Israeli, Msile damu ya mnyama wa aina yo yote; kwa kuwa uhai wa wanyama wote ni katika hiyo damu yake; atakayeila awaye yote atakatiliwa mbali. Tena kila mtu atakeykula nyamafu, au nyama aliyeraruliwa na wanyama, kama ni mzalia, kama ni mgeni, atafua nguo zake, na kuoga majini, naye atakuwa najisi hata jioni; ndipo atakapokuwa safi.

Walawi 17.14-15

Hizo ni amri ziliomo katika Taurati, sharia ya Mungu, ambayo Yesu amesema kama ilivyo katika Injili ya Mathayo kuwa mwenye kuivunja ndogo yao na akawafundisha watu hivyo basi ataitwa mdogo kabisa katika ufalme wa mbinguni. Na kuvunja hayo khasa ndio Paulo kafundisha. Msikieni:
Kila kitu kiuzwacho sokoni kuleni, bila kuuliza-uliza, kwa ajili ya dhamiri; maana Dunia ni mali ya Bwana na vyote viijazavyo.

1 Wakorintho 10.25-26

Mnamwona Paulo anavyobomoa sharia ya Taurati waliyoifwata Manabii wote, hata Yesu na wanafunzi wake thenashara, ya kuwa kuna vyakula vilivyo halali na kuna vingine ni najisi, haramu kuliwa, kama nguruwe, vya kunyongwa na damu? Yesu kafunza nini, na Paulo anafunza nini!

Katika waraka wake aliowapelekea Wagalatia Paulo anasema:

Mmetengwa na Kristo, ninyi mtakao kuhesabiwa haki kwa sheria; mmeanguka na kutoka katika hali ya neema, Maana sisi kwa Roho tunalitazamia tumaini la haki kwa njia ya imani. Maana katika Kristo Yesu kutahiriwa hakufai neno, wala kutokutahiriwa, bali imani itendayo kazi kwa upendo.

Wagalatia 5.4-6

Kwa kauli moja Paulo ameitengua sharia yote. Yesu kasema nini juu ya Mlima wa Zaituni na Paulo anasema nini katika barua yake kwa Wagalatia? Yesu alifuata sharia ya Mwenyezi Mungu na aliihishimu na akaahidi kuwa yeye hatoitengua kabisa, ila ataitimiza. Paulo anaibeza sharia na kuiona kuwa ni laana. Yesu akila kilicho halalishwa na Mungu, na alikiepuka kilicho harimishwa na Mungu. Paulo anatwambia tule kila kiuzwacho sokoni bila ya kujali dhamiri yetu. Yesu na Manabii wote tangu Nabii Ibrahim walitahiriwa kwa kufuata amri ya Mungu kama isemavyo Biblia:

Mungu akamwambia Ibrahimu, Nawe ulishike agano langu, wewe na uzao wako kwa vizazi vyao baada yako. Hili ndilo agano langu utakalolishika, kati ya mimi na wewe, na uzao wako baada yako, Kila mwanamume wa kwenu atatahiriwa.

Mwanzo 17.9-10

Paulo mjuaji, anasema kumpinga Mungu:

Kwa sababu kutahiriwa si kitu, wala kutokutahiriwa, bali kiumbe kipya.

Wagalatia 6.15

Katika barua yake aliyowapelekea Warumi ndio kabisa Paulo anaiangamiza sharia ya Mungu na kufanya vitendo kuwa havina maana yo yote.Chenye maana peke yake ni imani tu.

Basi, twaona ya kuwa wanadamu huhesabiwa haki kwa imani pasipo matendo ya sheria.

Warumi 3.28

Kwa Paulo kuamini kuwa Yesu kafa msalabani na damu yake kuwa ni fidia kwa dhambi zetu ndio kwenye maana, sio kufuata sharia wala vitendo. Kwake yeye ile Taurati, ambayo Yesu mwenyewe hakuja kuitengua bali kaja makusudi kuitimiza, ni kifungo na pingamizi. Anawaambia Warumi:

Bali sasa tumefunguliwa katika torati, tumeifia hali ile iliyotupinga, ili sisi tupate kutumika katika hali mpya ya roho, si katika hali ya zamani, ya andiko.

Warumi 7.6

Paulo anaiona Taurati ni kifungo, pingamizi, bali ni laana. Hayo sio maoni ya Yesu ambaye amesema: "Mpaka mbingu na nchi zitakapoondoka, yodi moja wala nukta moja ya torati haitaondoka." Je, kwa kuingia Paulo katika umoja wa Kikristo ndio tusema mbingu na nchi zimeondoka?

Au kwa kutundikwa Yesu msalabani (ikiwa kweli katundikwa) ndio tuseme mbingu na nchi zimeondoka? Mbona watu wameyasahau upesi maneno ya Yesu mwenyewe, na kuyasikiliza ya Paulo?

Kwa sababu yanakubaliana na matamanio yao?

Mafunzo ya Paulo yalileta mzozano na ubishi mkubwa tangu pale mwanzo katika historia ya Kanisa baina ya kikundi chake cha Wakristo waliomfuata kutoka upagani, na wale Wakristo wa asli ya Kiyahudi.

Wao walipinga moja kwa moja ile shauri ya kwenda kupelekewa mafunzo ya Ukristo mataifa waliokuwa hawakutahiriwa, wala hawaikubali sharia ya Taurati.

Baadhi ya wanafunzi wa Yesu walikuwa hawakubali hata kula nao wale "wasiotahiriwa". Wao walikuwa wanajua vyema kuwa Yesu aliwakataza wasend kuwahubiria mataifa mengine isipokuwa Mayahudi tu, kwani ni wao ndio walikuwa wanaamini Mungu Mmoja na wao ndio wakiifuata sharia ya Mungu.
 
Unatakiwa kwanza umkiri Yesu kristo kama BWANA na mwokozi wa maisha Yako ndipo uombe kumpokea Roho MTAKATIFU.

Unaquote bible verses kimwili na humjui YESU ni nani, so kusema habari za Yesu na humwamini au mumjua Yeye ni nani unakua ANTI CHRIST kama wayahudi ndomana walimwua. Usidiriki kusambaza habari za Yesu usiyemjua utapata ADHABU kubwa sana.

Umeniuliza Roho MTAKATIFU wa KANISA lipi yupo sahihi?

Nami ntakuuliza Kanisa ni nini?

KANISA.

KANISA ni mtu, Roho mtakatifu Hakai kwenye majengo unayoyaita makanisa. ROHO MTAKATIFU anakaa ndani ya mtu mmoja mmoja amwaminiye Yesu kama Mungu na njia pekee ya Mbinguni.

USHAURI.

Funga Kwa siku Saba, omba Yesu ajifunue kwako Kwa UPYA!!

Muulize akufunulie kwann Anaitwa mwana wa Mungu, hapo hapo anajiita mwana wa daudi, tena anajiita mwana wa Adamu,

Muulize why anasema tena kabla Daudi hajazaliwa Yeye Yesu alikuwapo, Muulize tena kwann alisema ana mamlaka ya kusamehe dhambi na wakati mamlaka hayo ni ya Mungu pekee?

Muulize why, Nabii Isaya alisema tazama bikra atachukua mimba na kuzaa mwana, ataitwa Immanuel yaani Mungu pamoja na WANADAMU, Immanuel Yuko wapi na ni nani?

Muulize kwann Yohana alisema Yesu ndiye Neno aliyekuwa Kwa Mungu na alikuwapo Kwa Mungu na alikuwa Mungu,

Muulize kwann aliwaambia makutano kuwa ukiniona Mimi Yesu, umemwona Mungu, na akamwambia Mungu Yu ndani yangu, na Mimi Yesu ni ndani ya Mungu,

Muulize pia kwann aliwaambia wayahudi kuwa hayupo mwenye Uwezo wa kuniua, au kuutoa uhai wangu, Bali Mimi Yesu Nina mamlaka ya kuutoa uhai wangu Kisha nikaurudisha tena KTK MWILI!!!!!!!

Muulize kwann Yesu ulipopaa Mbinguni uliwaaambia wanafunzi kuwa utamtuma Roho wako MTAKATIFU na Roho huyo atamshuhudia Yesu na akisema tofauti na aliyofundisha Yesu huyo ni ROHO wa UWONGO?

Muulize Yesu kwann Mary alipata ujauzito Kwa uwezo wa ROHO MTAKATIFU na hapohapo aseme BAADAYE atamtuma Roho wake, yaani awe tena sawa na Roho aliyesaidia kuingia ndani ya tumbo la Mariam?

Muulize pia why amkane Mary na ndugu zake ambao wayahudi walijua kuwa ndo mama yake Kwa kusema " Mama yangu na ndugu zangu ni akina nani, ??Mama yangu na ndugu zangu ni Hawa wanaolisikiza neno la Mungu".

Muulize kwann Mungu hashuki mwenyewe kuuhukumu Ulimwengu ktk ufunuo juu ya siku ya mwisho? Anakuja Yesu Badala ya Mungu na Kila goti Mbinguni na duniani anapigiwa YESU hujiulizi Yesu ni nani?

Hujiulizi why mapepo hayatoki Kwa Jina la Mungu, yanatolewa Kwa Jina la YESU? Yesu angekuwa Si Mungu Pepo wangetii vp wanapofukuzwa Kwa Jina lake Yesu?

Mungu zamani amejifunua Kwa majina ya KAZI zake, by Jina lake lilikuwa limefichika, bt limefunuliwa ktk agano jipya.

Muulize aliyeandikwa ameketi mkono wa kiume wa Mungu ni nani? Nini maana ya kuketi mkono wa kuume wa Mungu? Je Pana mtu anaweza kuketi ktk mkono wa kuume wa Mungu?
In spirit ukibahatika Kumuona aliyeketi ktk KITI Cha enzi utakuta ndiye huyo huyo YESU aliyekuja kama mtu akasulubiwa, akautoa uhai wake, na kujifufua na kurudi tena ktk uhalisia na uungu enzi yake.

Niliwahi kuwa na maswali kama Yako na nilitaka kuchanganyikiwa, bt nilipomruhusu Roho mtakatifu anifundishe, nilielewa.

Mungu ni MMOJA na YESU ndilo JINA lake.

Amen.

Hayo yote ni maneno yako , hukuweka ushahidi wowote kutoka ndani ya Biblia kuthibitisha maneno yako.

Hebu tuiache Biblia itueleze:

Yesu akaondoka huko, akaenda kando pande za Tiro na Sidoni. Na tazama, mwanamke Mkananayo wa mipaka ile akatokea, akampazia sauti akisema, Unirehemu, Bwana, Mwana wa Daudi; binti yangu amepagawa sana na pepo. Wala yeye hakumjibu neno. Nao wanafunzi wake wakamwendea, wakamwomba, wakisema, Mwache aende zake; kwa maana anapiga kelele nyuma yetu. Akajibu, akisema, Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli. Naye akaja akamsujudia, akisema, Bwana, unisaidie. akajibu, akasema, Si vema kukitwaa chakula cha watoto na kuwatupia mbwa. Akasema, Ndiyo, Bwana, lakini hata mbwa hula makombo yaangukayo mezani za bwana zao. Ndipo Yesu akajibu, akamwambia, Mama, imani yako ni kubwa; na iwe kwako kama utakavyo. Akapona binti yake tangu saa ile.

Mathayo 15.21-28
Kwa maneno yasiotatanisha Yesu Kristo anasema kuwa yeye hakutumwa ila kwa "kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli."

Hakuwajia Waarabu, wala Wazungu, wala Wahindi, wala Waafrika, wala Machina.

Bwana yesu aliendelea kusema;

Msiwape mbwa kilicho kitakatifu, wala msitupe lulu zenu mbele ya nguruwe, wasije wakazikanyaga chini ya miguu yao, wakageuka na kuwararua.

Mathayo 7.6

Mbwa na nguruwe ni watu wa mataifa yasiyokuwa wana wa Israili.

Ukristo haufai kufundishwa watu wo wote isipokuwa Mayahudi.

Hayo ndiyo mawazo ya Yesu, au ya hao walioandika Injili na wakatia maneno hayo kinywani mwa Yesu.

Suala liliopo ni nani hao mbwa na nguruwe wnaokusudiwa katika mstari huu?

Yaweza kuwa maana ya mstari huu ni kuwa haifai kufunza ukweli wa dini kwa wale wasiotubu katika kejeli zao, au wale waliozama katika madhambi, lakini hayo hayaelekei kabisa.

Basi mtu amfundishe nani?
Wale waliokwisha amini?

Yesu mwenyewe anakanya hayo, kwani aliposhutumiwa kuwa anachanganyika na wenye dhambi ananukuliwa kusema:

Wenye afya hawahitaji tabibu, bali walio hawawezi.

Mathayo 9.12
"Upande mwengine, huku kutaja mbwa na nguruwe huweza kuwa ni maneno aliyoyachagua Mathayo kulipa nguvu wazo lake kuwa isifanywe juhudi kubwa kueneza mafunzo ya Yesu miongoni mwa Mataifa mengine.

Labda ni nadhari ya Mathayo kuwa ipo khatari kubwa ya hayo Mataifa kuudhika na juhudi za kutaka kuwafanya wakristo na kwa hivyo wakawatesa Wakristo; itakuwa ndio 'watageuka na kuwararua'.

Na hayo kwa hakika waliwahi kuyafanya. Yaweza kuwa aliona kuwa yale Mataifa yaliyoukubali Ukristo bila ya kuijua Sharia ya Musa yangeweza kuyavuruga mafunzo ya Yesu: 'na kuyakanyaga chini ya miguu yao.'"

Na juu ya kauli ya Yesu : "Si vema kukitwaa chakula cha watoto na kuwatupia mbwa,"

"Hapa Mathayo kwa uwazi anatuletea Yesu ambaye kazi yake ni ndani ya mipaka ya uwananchi wa Kiyahudi tu."

Tukiendelea na isemavyo Biblia juu ya ujumbe wa Yesu tunapata ushahidi zaidi kutokana na Injili ya Mathayo:

Hao Thenashara Yesu aliwatuma, akawaagiza, akisema, Katika njia ya Mataifa msiende, wala katika mji wo wote wa Wasamaria msiingie. Afadhali shikeni njia kuwaendea kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli.

Mathayo 10.5-6

Hao Thenashara ni wanafunzi wake kumi na mbili aliowateua mwenyewe Yesu kutangaza mafunzo yake.

Hapo anawapa amri zilizo wazi kuwa wasiwaendee watu wa Mataifa, yaani wasiokuwa Waisraili.

Hao wanafunzi kumi na mbili ndio wanaoitwa katika Biblia "mitume" kwa kuwa walitumwa na Yesu.

Na wao kama yeye mwenyewe hawakutumwa ila kwa "kondoo waliopotea wa Israel" kwani "si vema kukitwaa chakula cha watoto na kuwatupia mbwa.
 
Katika amri za Taurati ni kama hii iliyomo katika Biblia:

Na nguruwe, kwa sababu yeye anazo kwato ni mwenye miguu iliyopasuka kati, lakini hacheui, yeye ni najisi kwenu. Msile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao; hao ni najisi kwenu.

Mambo ya Walawi 11.7-8

Kwa hiyo naliwaambia wana wa Israeli, Msile damu ya mnyama wa aina yo yote; kwa kuwa uhai wa wanyama wote ni katika hiyo damu yake; atakayeila awaye yote atakatiliwa mbali. Tena kila mtu atakeykula nyamafu, au nyama aliyeraruliwa na wanyama, kama ni mzalia, kama ni mgeni, atafua nguo zake, na kuoga majini, naye atakuwa najisi hata jioni; ndipo atakapokuwa safi.

Walawi 17.14-15

Hizo ni amri ziliomo katika Taurati, sharia ya Mungu, ambayo Yesu amesema kama ilivyo katika Injili ya Mathayo kuwa mwenye kuivunja ndogo yao na akawafundisha watu hivyo basi ataitwa mdogo kabisa katika ufalme wa mbinguni. Na kuvunja hayo khasa ndio Paulo kafundisha. Msikieni:
Kila kitu kiuzwacho sokoni kuleni, bila kuuliza-uliza, kwa ajili ya dhamiri; maana Dunia ni mali ya Bwana na vyote viijazavyo.

1 Wakorintho 10.25-26

Mnamwona Paulo anavyobomoa sharia ya Taurati waliyoifwata Manabii wote, hata Yesu na wanafunzi wake thenashara, ya kuwa kuna vyakula vilivyo halali na kuna vingine ni najisi, haramu kuliwa, kama nguruwe, vya kunyongwa na damu? Yesu kafunza nini, na Paulo anafunza nini!

Katika waraka wake aliowapelekea Wagalatia Paulo anasema:

Mmetengwa na Kristo, ninyi mtakao kuhesabiwa haki kwa sheria; mmeanguka na kutoka katika hali ya neema, Maana sisi kwa Roho tunalitazamia tumaini la haki kwa njia ya imani. Maana katika Kristo Yesu kutahiriwa hakufai neno, wala kutokutahiriwa, bali imani itendayo kazi kwa upendo.

Wagalatia 5.4-6

Kwa kauli moja Paulo ameitengua sharia yote. Yesu kasema nini juu ya Mlima wa Zaituni na Paulo anasema nini katika barua yake kwa Wagalatia? Yesu alifuata sharia ya Mwenyezi Mungu na aliihishimu na akaahidi kuwa yeye hatoitengua kabisa, ila ataitimiza. Paulo anaibeza sharia na kuiona kuwa ni laana. Yesu akila kilicho halalishwa na Mungu, na alikiepuka kilicho harimishwa na Mungu. Paulo anatwambia tule kila kiuzwacho sokoni bila ya kujali dhamiri yetu. Yesu na Manabii wote tangu Nabii Ibrahim walitahiriwa kwa kufuata amri ya Mungu kama isemavyo Biblia:

Mungu akamwambia Ibrahimu, Nawe ulishike agano langu, wewe na uzao wako kwa vizazi vyao baada yako. Hili ndilo agano langu utakalolishika, kati ya mimi na wewe, na uzao wako baada yako, Kila mwanamume wa kwenu atatahiriwa.

Mwanzo 17.9-10

Paulo mjuaji, anasema kumpinga Mungu:

Kwa sababu kutahiriwa si kitu, wala kutokutahiriwa, bali kiumbe kipya.

Wagalatia 6.15

Katika barua yake aliyowapelekea Warumi ndio kabisa Paulo anaiangamiza sharia ya Mungu na kufanya vitendo kuwa havina maana yo yote.Chenye maana peke yake ni imani tu.

Basi, twaona ya kuwa wanadamu huhesabiwa haki kwa imani pasipo matendo ya sheria.

Warumi 3.28

Kwa Paulo kuamini kuwa Yesu kafa msalabani na damu yake kuwa ni fidia kwa dhambi zetu ndio kwenye maana, sio kufuata sharia wala vitendo. Kwake yeye ile Taurati, ambayo Yesu mwenyewe hakuja kuitengua bali kaja makusudi kuitimiza, ni kifungo na pingamizi. Anawaambia Warumi:

Bali sasa tumefunguliwa katika torati, tumeifia hali ile iliyotupinga, ili sisi tupate kutumika katika hali mpya ya roho, si katika hali ya zamani, ya andiko.

Warumi 7.6

Paulo anaiona Taurati ni kifungo, pingamizi, bali ni laana. Hayo sio maoni ya Yesu ambaye amesema: "Mpaka mbingu na nchi zitakapoondoka, yodi moja wala nukta moja ya torati haitaondoka." Je, kwa kuingia Paulo katika umoja wa Kikristo ndio tusema mbingu na nchi zimeondoka?

Au kwa kutundikwa Yesu msalabani (ikiwa kweli katundikwa) ndio tuseme mbingu na nchi zimeondoka? Mbona watu wameyasahau upesi maneno ya Yesu mwenyewe, na kuyasikiliza ya Paulo?

Kwa sababu yanakubaliana na matamanio yao?

Mafunzo ya Paulo yalileta mzozano na ubishi mkubwa tangu pale mwanzo katika historia ya Kanisa baina ya kikundi chake cha Wakristo waliomfuata kutoka upagani, na wale Wakristo wa asli ya Kiyahudi.

Wao walipinga moja kwa moja ile shauri ya kwenda kupelekewa mafunzo ya Ukristo mataifa waliokuwa hawakutahiriwa, wala hawaikubali sharia ya Taurati.

Baadhi ya wanafunzi wa Yesu walikuwa hawakubali hata kula nao wale "wasiotahiriwa". Wao walikuwa wanajua vyema kuwa Yesu aliwakataza wasend kuwahubiria mataifa mengine isipokuwa Mayahudi tu, kwani ni wao ndio walikuwa wanaamini Mungu Mmoja na wao ndio wakiifuata sharia ya Mungu.
Kwa ufafanuzi ulioandika hapa.

Je barua za paulo hauziamini? Tafadhali nijibu ili nisizitumie katika hoja yetu.
 
Nisiongee mengi video ya interview yake pale star tv hio apo chini.

===
Lema aliulizwa na Aloyce Nyanda kuhusu ushoga katika kipindi cha StarTV amesema yeye anaamini katika biblia na kama dunia nzima itaamini katika biblia basi suala la ushoga halitakuwa tatizo.

Hata hivyo amesema haukubaliani na sheria au mtu yeyote anayetaka kumuua mtu kwa kuwa ni shoga. Amesema kitu mtu anachokifanya katika maisha yake ni kitu chake.
Kwanza huyu mwandishi akajitafakari,kabla hujakomenti chochote kuhusu Biblia make sure umeisoma sana na kuielewa,huyu mtangazaji ameonyesha hajui chochote kuhusu Bbible na Mr Lema angeendelee kufafanua kidogo tu wangebishana.

Nilishawahi kuongea hata humu msimamo wangu kuhusu ushoga watu wakapanic lakini lazima tuseme ukweli kwa sisi tunaoamini kutoka katika Biblia,i mean true christians tunakataa ushoga kwa sababu ni dhambi lakini pia tunakataa wizi,uzinzi,usengenyaji,ubadhilifu na kila aina ya chukizo.

Kuufanya ushoga uonekane ndiyo dhambi kubwa sana ni kujitia tu ukuu ambao hatuna,Mungu angetaka kuitambulisha hiyo dhambi kuwa ni kubwa sana kuliko nyingine basi angeeleza kuwa hawa jamaa waueni,but He didnt say.

Dhambi almost zote mwanadamu anazotenda anakuwa anamuumiza mtu mwingine kwa namna moja au nyingine. Ushoga on the other hand ni dhambi ambayo mtu akiifanya anaifanya juu ya mwili wake mwenyewe. Unafki ni kujifanya tumeumizwa na dhambi ambayo mtu ameifanya juu ya mwili wake mwenyewe, lakini zilizofanywa juu ya wengine mkazichukulia za kawaida.
 
Usikubali kuhusika dhambi ya kuuwa anaye hukumu ni kristo peke yake.waulizeni watu waimani zote kama watakua tayari kuuwa mashoga
 
Kwa ufafanuzi ulioandika hapa.

Je barua za paulo hauziamini? Tafadhali nijibu ili nisizitumie katika hoja yetu.

Siziamini vipi ? Kwamba hakuziandika zimekuwa forged au vipi ?
 
Nilimaanisha kuwa mafundisho(nyaraka) ya paulo ni uongo? Hayaendani na mafundisho ya Kristo?

Kwa nini Paulo hapaswi kuaminiwa

Paulo hakuwahi kukutana na Yesu maishani mwake.

Hii ni moja ya sababu kuu ya kutomwamini na kumwamini Paulo.

Kabla ya kujidai kuwa mtume, jina lake lilikuwa Sauli na aliwahi kuwa muuaji wa waumini wa kweli.

Akiwa njiani kuelekea Damasko, akiwa kwenye kuwasumbua waamini wa kweli, anadai kuwa ameona maono ya Kristo, na baada ya hayo, alidai kwamba Yesu alimpa mamlaka ya kufundisha kwa jina lake.

Kuna matatizo mengi hapa.

Kwa vile hakuwahi kukutana na Yesu, akili ya kawaida inasema kwamba yeye hana uhusiano wowote na dini na tunaposoma anachosema tunakuta kwamba hakika yeye hana uhusiano wowote na dini ya kweli ya Bwana Yesu(amani iwe juu yake). .

Hebu tuangalie ono la Paulo anapolielezea kwa watu mbalimbali tofauti wa rangi tofauti.

Kwanza tunasoma katika Sura ya 9 mstari wa 3 mpaka wa 7:

Hata (Paulo) alipokuwa akisafiri, ikawa anakaribia Dameski; ghafula ikamwangaza kote kote nuru kutoka mbinguni. Akaanguka chini, akasikia sauti ikimwambia, Sauli, Sauli, (yaani Paulo) mbona waniudhi? Akasema, U nani wewe, Bwana? Naye akasema, Mimi ndimi Yesu unayeniudhi wewe. Lakini simama, uingie mjini, nawe utaambiwa yakupasayo kutenda. Na wale waliosafiri pamoja naye wakasimama kimya, wakiisikia sauti, wasione mtu.

Matendo 9.3-7

Katika maelezo hayo hapo ni mwandikaji anasimulia. Yapo mambo mane lazima tuyazingatie vizuri katika maelezo hayo:
  1. Mwangaza ambao Paulo ulimwangaza. Haikusemwa kuwa wengine waliuona mwangaza ule au la, lakini waliisikia sauti.
  2. Ni Paulo ambaye "akaanguka chini."
  3. Yeye na wale watu waliokuwa pamoja naye waliisikia sauti, lakini hawakumwona mtu.
  4. Sauti ya Yesu ilimuamuru "aingie mjini, naye ataambiwa yampasayo kutenda." Hapo hakuambiwa nini la kutenda.

Katika Biblia hiyo hiyo, katika kitabu hicho hicho cha Matendo ya Mitume, sura 22, mstari wa 6 mpaka wa 10 ipo ncha ya pili ya hadithi kusimulia tukio lile lile.

Msimulizi hapa ni Paulo mwenyewe:

Ikawa nilipokuwa nikisafiri, nikikaribia Dameski, wakati wa adhuhuri, ghafula nuru kuu ilitoka mbinguni, ikanimulikia pande zote. Nikaanguka nchi (yaani chini), nikasikia sauti ikiniambia, Sauli, Sauli, mbona unaniudhi? Nikajibu, Wewe u nani, Bwana? Akaniambia, Mimi ni Yesu Mnazareti, ambaye wewe unaniudhi. Na wale waliokuwa pamoja nami waliiona ile nuru, lakini hawakuisikia ile sauti ya yule aliyesema nami. Nikasema, Nifanye nini, Bwana? Bwana akaniambia, Simama, uingie Dameski, na huko utaambiwa habari za mambo yote yaliyoamriwa uyafanye.

Matendo 22.6-10

Ncha hii yakubaliana na ile ya mwanzo katika mambo haya:
  1. Aliyeanguka chini ni Paulo na sio wale waliokuwa pamoja naye.
  2. Aliloambiwa Paulo ni kuingia mjini na huko ndiko atakoambiwa nini la kulifanya.

Ncha hii lakini inakosana na ile ya kwanza kuwa ya kwanza yasema ya kuwa wale waliokuwa naye "wakasimama kimya, wakisikia sauti, lakini haikusema kuwa waliona nuru.

Katika ncha hii ya pili twaambiwa: waliiona ile nuru, lakini hawakuisikia ile sauti.

Ncha ya tatu ya tukio hilo hilo muhimu kabisa katika historia ya Ukristo inaelezwa katika maneno yake mwenyewe
Paulo vile vile kama inavyosimuliwa katika kitabu kile kile cha Matendo ya Mitume sura ya 26 mstari wa 12 mpaka wa 18:

Basi katika kazi hiyo nilipokuwa nikienda Dameski, mwenye mamlaka na maagizo ya wakuu wa makuhani; Ee Mfalme, ndipo wakati wa adhuhuri njiani naliona nuru inatoka mbinguni ipitayo mwangaza wa jua, ikinimulikia mimi, na wale waliofuatana nami pande zote. Tukaanguka nchi (chini) sote, nikasikia sauti ikisema nami kwa lugha ya kiebrania, Sauli! Sauli! mbona waniudhi? ni vigumu kwako kuupiga mateke mchokoo (ujiti wenye ncha wa kuchokolea). Nami nikasema,Wewe u nani, Bwana? Bwana akaniambia, Mimi ni Yesu, ambaye wewe unaniudhi. Lakini inuka, usimame kwa miguu yako, maana nimekutokea kwa sababu hii, nikuweke wewe uwe mtumishi na shahidi wa mambo haya uliyoyaona, na wa mambo ambayo katika hayo nitajidhihirisha kwako; nikikuokoa na watu wako, na watu wa Mataifa, ambao nakutuma kwao; uwafumbue macho yao, na kuwageuza waiache giza na kuielekea nuru, waziache na nguvu za Shetani na kumwelekea Mungu; kisha wapate msamaha wa dhambi zao, na urithi miongoni mwao waliotakaswa kwa imani iliyo kwangu mimi
.
Matendo 26.12-18

Sasa hapa tunaona khitilafu kubwa na zile ncha za hadithi ziliomo katika sura ya 9 na sura ya 22 katika hicho hicho kitabu kimoja cha Matendo ya Mitume. Hebu tuchungue:
  1. Kwa mujibu wa ncha hii si Paulo pekee aliyeona nuru - kama ilivyoelezwa pale mara ya kwanza - lakini wote waliokuwa naye waliona nuru, kama ilivyoelezwa mara ya pili.
  2. Hapa Paulo anasema: Tukaanguka nchi sote. Haya yanapinga ncha ya kwanza na ya pili zilizosema kuwa ni Paulo tu peke yake ndiye aliyeanguka chini.
  3. Katika masimulizi ya kwanza na ya pili ilisemwa wazi kuwa Paulo aliambiwa aingie mjini Demeski na huko ataambiwa habari za mambo yote yaliyoamriwa ayafanye. Hii mara ya tatu mambo yote ameamuriwa hapo hapo kabla ya kuingia mjini, kinyume na ilivyosimuliwa mara ya kwanza na ilivyosimuliwa mara ya pili. Tena hapo Paulo alimsikia Yesu anamuamrisha amri kinyume na alivyokuwa akiwafunza na kuwaamrisha wanafunzi wake siku zote katika uhai wake - anamuamrisha Paulo apeleke utume wa Yesu kwa mataifa mengine yasiyokuwa Mayahudi. Kadhaalika kinyume na mafunzo ya Yesu katika uhai wake anamuamrisha afunze kuhesabiwa haki kwa imani na kufutiwa dhambi.

Ni wazi kuwa Paulo alikwisha jitayarisha namna gani atavyougeuza Ukristo wa Yesu, waliokuwa wakiujua wote wanafunzi wake kumi na mbili, uwe Ukristo wake yeye Paulo.

Na kwa nini Paulo aliongeza mengi aliposimulia mara hii ya tatu kuliko ilivyosimuliwa zile mara mbili za mwanzo?

Ni kwa sababu hapa anasema na Mfalme Agripa.

Lakini yafaa tusite na tujiulize: Nini thamani ya shahidi anayetoa ushahidi wake kwa polisi, akaubadilisha kidogo akifika kwa hakimu, na akatoa hadithi nyengine kabisa anapofika mahkama kuu kwa jaji?

Hapana awezae kumueleza Paulo alivyo kama alivyojieleza mwenyewe katika barua yake aliyowapelekea Wakorintho. Amesema:

Maana, ingawa nimekuwa huru kwa watu wote, nalijifanya mtumwa wa wote, ili nipate watu wengi zaidi. Nalikuwa kama Myahudi kwa Wayahudi, ili niwapate Wayahudi; kwa wale walio chini ya sheria, nalikuwa kama chini ya sheria, (ingawa mimi mwenyewe si chini ya sheria,) ili niwapate walio chini ya sheria. Kwa wale wasio na sheria nalikuwa kama sina sheria, (si kwamba sina sheria mbele za Mungu, bali mwenye sheria mbele za Kristo), ili niwapate hao wasio na sheria. Kwa wanyonge nalikuwa mnyonge, ili niwapate wanyonge. Nimekuwa hali zote kwa watu wote, ili kwa njia zote nipate kuwaokoa watu.

1 Wakorintho 9.19-22
 
Unaendeshwa na Roho ya Mpinga Kristo.

Huwezi kumkataa mtume Paul na ukasema unaamini BIBLIA.

Ungekuwa una Roho mtakatifu ndani Yako, ungemuuliza na angekufafanulia usichokielewa kuhusu waraka wa Paulo.
 
Yesu mwenyewe anawambia wanafunzi wake.

(Mathew 28:19.)

Basi enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza Kwa Jina la Baba, na la Mwana na la Roho mtakatifu.

(Mark 16:15).

Akawaambia enendeni ULIMWENGUNI mwote mkaihubiri INJILI Kwa Kila kiumbe.

Aaminiye na kubatizwa ataokoka, asiyeamini atahukumiwa.

Ndugu GAVANA, unaendeshwa na Roho ya Mpinga kristo.

TUBU, usipotubu utahukumiwa.

Amen
 
Back
Top Bottom