Lema asema hakubali mtu kuuawa kwa kuwa ni shoga

Ungeweka hicho kifungu kinachosema shoga auwawe ungesaidia wengi.
 
Mambo ya Walawi 20:13 SRUV

Tena mwanamume akilala pamoja na mwanamume, kama alalavyo na mwanamke, wote wawili wamefanya machukizo; hakika watauawa; damu yao itakuwa juu yao.

AMRI YA NANE YA MUNGU: USIUE.

MUNGU WENU WA KIKRISTO ANA MKANGANYIKO (A CONTRADICTORY GOD).

HAPO UMEAMBIWA UMUUE SHOGA KWA PANGA, HALAFU HAPO HAPO UMEKATAZWA KUUA.

NA UKIUA MTU, SISI WALINZI WA JAMUHURI TUTAKUSHUGHULIKIA PIA KWA MAPANA NA MAREFU YA SHERIA ZA NCHI ZILIZOWEKWA.

IN LIGHT OF THE ABOVE, YOUR BIBLE BECOMES REDUNDANT AND OBSOLETE.
 
Ungeweka hicho kifungu kinachosema shoga auwawe ungesaidia wengi.
Walawi 20.13 kinasema Basha na Shoga wote wauawe wote wawili anayefanya na anayefanyiwa

Sisi Wakristo Tunamatatizo sana ninampango mbeleni nisipokuwa Othodox church [emoji547]️ nitakuwa Huko naona huko wanakwenda na Asili ya mafunzo ya Dini
 
Ndio inayokuambia ufanye ushoga hiyo amri ya 8
 
Walawi 20.13 kinasema Basha na Shoga wote wauawe wote wawili anayefanya na anayefanyiwa

Sisi Wakristo Tunamatatizo sana ninampango mbeleni nisipokuwa Othodox church [emoji547]️ nitakuwa Huko naona huko wanakwenda na Asili ya mafunzo ya Dini
Walawi ni agano la kale au jipya?
Agano jipya tunafundishwa zaidi kumwachia Mungu, hatujawahi kupewa mamlaka ya kuua.

Halafu tatizo mabasha hawajulikani kivile, mnawaonea tu mashoga wanaoingiliwa. Mtoto amekuwa abused tangu mdogo na ndugu yake, kiongozi wa dini, mwalimu...akiwa mkubwa umuonee kwa kutaka kumuua huoni kama unakosea? Basi watenda dhambi wote wauwawe kwanini tukomae na washoga peke yao?
 
Halafu pia watu wote sio wakristo.

Kitabu cha biblia hakiwezi kutumika dhidi ya wasio wa imani hiyo.
 
Unamshangaa Lema lakini hauishangai serikali kutotunga Sheria ya adhabu Kwa wanaojihusisha na ushoga, bila kutunga Sheria maana yake yameruhusiwa yafanyike tu
Haijatungwa sheria kivipi wakati juzi hapa mtu kapigwa miaka 30.?
 
Haijatungwa sheria kivipi wakati juzi hapa mtu kapigwa miaka 30.?
Sasa mbona kuna mashoga mitandaoni wapo wazi wazi serikali imeshindwa kuwakamata au tatizo ni nini?

Wana haki zao wale tunapiga tu kelele hapa lakini mambo yatabaki hivi hivi milele na milele amina.
 
Sasa mbona kuna mashoga mitandaoni wapo wazi wazi serikali imeshindwa kuwakamata au tatizo ni nini?

Wana haki zao wale tunapiga tu kelele hapa lakini mambo yatabaki hivi hivi milele na milele amina.
Hata kwenye penal code ipo
Ni kama tu kulivyo na wezi,mafisadi,wakwepa Kodi mtaani wanavyotamba na sheria ipo
 
Hata kwenye penal code ipo
Ni kama tu kulivyo na wezi,mafisadi,wakwepa Kodi mtaani wanavyotamba na sheria ipo
Sijawahi kuona jambazi akijinadi kwamba kavamia sehemu kaiba na kuua. Ila hakika ruben kasema wazi kwamba anafukuliwa na basha wake kamtaja lakini anadunda tu.
Ndo utambue kwamba hawa watu wana kinga ya juu kabisa kupigizana nao kelele ni kupoteza muda.
Kila mtu apambane na malezi ya watoto wake.
 
Amepinga adhabu ya kuua!
Kwani shoga lazima auawe hakuna namna nyingine ya kumshughulikia akome ubishi
Ndio suala ni yeye kushindwa kusema ushoga ni dhambi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…