BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 6,373
- 16,073
Hizo njia za kushughulika na mashoga ziwekwe wazi, ikibidi kisheria.""HAYA NI MAMBO YANAYOITAJI AKILI BEYOND, TANZANIA HAIRUHUSU USHOGA KAMWE, IELEWEKE HIVYO KILA PAHALA, NA PIA HATUTAMKI HIVYO HADHARANI. "" BUT TANZANIA FIGHT WELL TO THIS EVIL DUDE!
Maana wahuni ni wengi katika nchi, wataanza kuwatilia sumu kama kipindi fulani.
Extrajudicial executions of homosexuals based on covert operations are not to be encouraged. NI UHUNI.
Na wengine wanajiita maaskofu wanachochea mauaji ya watu kisa tu wameamua kulala na wa jinsia zao.
Hii biblia inayotumika ni ya aina gani? HILI NALO TUTALITIZAMA.