Lema asema hakubali mtu kuuawa kwa kuwa ni shoga

Kiini cha hoja yako ni kuwa unataka wakristo waendelee kufuata agano la kale kama kupiga kwa mawe mzinzi hadi kufa, kuuwa mchawi, jino kwa jino n.k

Je hoja yako ni hiyo kama nilivyo eleza hapo juu?

Naomba ujibu kwa uungwana ili tuelekezane.

Kule uliniambia kuwa nimefeli sana kwenye hoja yangu

Sijui nimefeli wapi na nimekuwekea aya za biblia.

Bwana yesu anasema

17 Msidhani ya kuwa nalikuja kuitangua torati au manabii; la, sikuja kutangua, bali kutimiliza.

18 Kwa maana, amin, nawaambia ,Mpaka mbingu na nchi zitakapoondoka,yodi moja wala nukta moja ya torati haitaoondoka ,hata yote yatimie.

19 Basi mtu ye yote atakayevunja amri moja katika hizi zilizo ndogo, na kuwafundisha watu hivyo, ataitwa mdogo kabisa katika ufalme wa mbinguni; bali mtu atakayezitenda na kuzifundisha, huyo ataitwa mkubwa katika ufalme wa mbinguni.

Jee mbingu na nchi zimeshaondoka??
 
Yesu aliwazuia wazinzi na wenye dhambi kumhukumu mzinzi Kwa kumpigia mawe.

Yesu alimsamehe na kumwambia "Usitende dhambi tena".

Ingekuwa Leo watu wamemkamata shoga na kutaka kumshambulia angewakataza na kumwambia shoga "Usitende dhambi tena".

Baada ya mwanamke mzinzi kusamehewa tumeona hakuendelea kuzini, aliacha UZINZI na alikuwa Mwanafunzi mtiifu Kwa Yesu na mwanamke huyo alishiriki maziko ya Yesu.

Tunategemea baada ya mashoga kukemewa na kuambiwa dhambi Yao, waache USHOGA, na wafiraji waache.

Wakiendelea na TABIA hizo, tutaiambia Serikali iongeze ADHABU Kali juu Yao Kwa Nia njema Ili waache upumbavu Ili warudi kufanya KAZI za uzalishaji Mali kama KILIMO, ufugaji, biashara halali, uchimbaji madini nk nk.

Mungu ibariki TANZANIA.

Mungu wabariki watu wake, wajae HOFU Yako.

Amen

Ukisoma Yohana 8:6 ule ulikuwa ni mtego tu , wenye mamlaka walikuwa ni warumi

6 Nao wakasema neno hilo wakimjaribu, ili wapate sababu ya kumshitaki. Lakini Yesu akainama, akaandika kwa kidole chake katika nchi.

Mungu anawapenda wenye dhambi,

Bt anachukia sana Dhambi na hataki watu watende dhambi.

Anampenda mlevi bt anachukia Ulevi wa mlevi.

Anampenda kahaba kama person bt anachukia UKAHABA wa kahaba.

Anampenda mtu shoga, bt anachukia USHOGA Ulio ndani ya shoga.

Wakitubu na kumruhusu ataingia na kuifukuza dhambi ndani Yao na watakuwa watu wema.

Wasipotubu wamekwisha kuhukumiwa, watakufa kabla ya wakati wao na wayatupwa jehanum Kwa ADHABU ya milele.
 
Kiini cha hoja yako ni kuwa unataka wakristo waendelee kufuata agano la kale kama kupiga kwa mawe mzinzi hadi kufa, kuuwa mchawi, jino kwa jino n.k

Je hoja yako ni hiyo kama nilivyo eleza hapo juu?

Naomba ujibu kwa uungwana ili tuelekezane.
Mitume kule Yerusalemu walisikia kwamba Paulo amekuwa akihubiri mafundisho tofauti huko Galatia na Korintho.

Paulo alikuwa anawaambia wasifuate sheria tena na kwamba hawapaswi kula tena nyama ya kuchinja ya halali au kutahiriwa (kulingana na Mwanzo 17::14, agano linavunjwa kama hakuna tohara) n.k.

Kwa hiyo Mitume wakaenda Galatia na Korintho na kuwahakikishia watu wote kwamba Paulo alikuwa amekosea,

Paulo aliposikia hayo alirudi moja kwa moja mjini ………

Wagalatia 1:6

6 Nastaajabu kwamba mnamwacha upesi hivi yeye aliyewaita kwa neema ya Kristo na kugeukia Injili nyingine.

Aya inasema Injili tofauti, kwa hiyo ni wazi wanafunzi walikuwa wakiwafundisha mafundisho tofauti na haikuwa tu masuala madogo.

Wagalatia 2:11-21

Paulo Anampinga Petro

11 Petro alipofika Antiokia nilimpinga usoni kwa maana alikuwa amekosea waziwazi.

12 Kabla ya kufika watu fulani waliotoka kwa Yakobo, alikuwa akila pamoja na watu wa mataifa mengine. Lakini walipofika alianza kujitenga na watu wa mataifa mengine kwa kuwaogopa wale waliokuwa wa kundi la tohara. ( kwa nini watu kama vile mtume Yakobo bado waliamini kwamba sheria kuhusu chakula ingepaswa kutumika bado? Ikiwa Yesu alikuja kuchukua nafasi ya sheria, basi kwa nini bado wanaifuata sheria?)

13 Wayahudi wengine walijiunga naye katika unafiki wake. kwa unafiki wao hata Barnaba alipotoshwa. (kwa hiyo, Petro, Yakobo na Barnaba wamekosea?)

14 Nilipoona kwamba watu hawaishi kulingana na ukweli wa Injili, nilimwambia Petro mbele ya watu wote, "Wewe ni Myahudi, lakini unaishi kama Myunani na si kama Myahudi. , kwamba unawalazimisha watu wa mataifa mengine kufuata desturi za Kiyahudi?

15 "Sisi tulio Wayahudi kwa kuzaliwa na wala si 'watenda dhambi Mataifa'

16 tunajua kwamba mtu hahesabiwi haki kwa kuishika sheria, bali kwa imani ya Yesu Kristo. Vivyo hivyo na sisi tumemwamini Kristo Yesu ili tuhesabiwe haki. kwa imani katika Kristo na si kwa kushika sheria, kwa maana kwa kushika sheria hakuna mtu atakayehesabiwa haki (kwa nini wanabishana juu ya kufuata sheria au la? Kwa nini hawapatani na mafundisho?)

17 "Ikiwa tunatafuta kuhesabiwa haki katika Kristo, inaonekana kwamba sisi wenyewe ni wenye dhambi, je! hiyo inamaanisha kwamba Kristo anaendeleza dhambi? Sivyo hivyo!

18 Nikijenga upya kile nilichobomoa, nathibitisha kwamba mimi ni mvunja sheria.

19 Sheria naliifia sheria ili nipate kuishi kwa ajili ya Mungu.

20 Nimesulubiwa pamoja na Kristo, wala siishi tena, bali Kristo yu hai ndani yangu.Uhai ninaoishi katika mwili, ninaishi kwa imani ya Mwana wa Mungu. ambaye alinipenda na kujitoa nafsi yake kwa ajili yangu. 21Siibatili neema ya Mungu, kwa maana ikiwa haki inaweza kupatikana kwa sheria, Kristo alikufa bure.

Paulo anawashutumu Wakristo wote wa Kiyahudi akiwemo Petro na Barnaba. Tuna upande wa Paulo tu wa hadithi lakini ukumbusho wa Petro wa hadithi hii haujatolewa kwetu katika Agano Jipya.

Petro angemjua Yesu vizuri zaidi kuliko Paulo. Kuna mabishano iwapo 1 Petro ni barua iliyoandikwa na Petro na karibu wasomi wote, wa kale na wa kisasa wanakubali kwamba 2 Petro si barua iliyoandikwa na Petro.

Matendo 4:31

31 Baada ya kusali, mahali walipokuwapo pakitikiswa. Na wote wakajazwa Roho Mtakatifu, wakanena neno la Mungu kwa ujasiri.

Ikiwa Petro alijazwa Roho Mtakatifu kwanini Paulo anamwita Petro mnafiki kwa kula na watu wa mataifa halafu watu walipotoka kwa Yakobo aliinuka. Yakobo ni ndugu wa kambo wa Yesu, aliishi na kukaa pamoja na Yesu. Kwa nini bado alifikiri kwamba watu wanapaswa kula nyama ya halali? Hatuna maelezo yoyote ya hadithi ya Peter kuhusu tukio hili. Barnaba pia anaitwa mnafiki katika mstari wa 13. Angalia jinsi katika mstari wa 15 alifikiri 17 Paulo anabishana nao kuhusu sheria. Hiyo ina maana kwamba wanafunzi walitaka kufuata sheria na kupendekeza kuifuata. Vinginevyo Paulo hangeitaja. Angewezaje kusema mambo hayo kwa Petro na kuangalia kile ambacho Yesu alisema kuhusu Petro.???

Mathayo 16:18

8 Nami nakuambia, wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu, wala milango ya kuzimu haitalishinda.

Paulo alisema katika Warumi kwamba vyakula vyote ni safi.

Warumi 14:20

20 Usiharibu kazi ya Mungu kwa ajili ya chakula. Vyakula vyote ni safi, lakini ni kosa kwa mtu kula kitu chochote ambacho kinaweza kusababisha mtu mwingine kukwaza.

Katika kitabu cha Matendo Mitume waliwaandikia barua watu wa mataifa mengine wajiepushe na vyakula fulani na kwamba sio vyakula vyote vilivyotangazwa kuwa safi.

Matendo 15:29

29 Mnapaswa kujiepusha na vyakula vilivyotambikiwa sanamu, damu, nyama ya mnyama aliyenyongwa na uasherati. Utafanya vyema kuepuka mambo haya. Kwaheri.

Wagalatia 3:1-3

1 Enyi Wagalatia msio na akili! Nani amekuroga? Mbele ya macho yenu Yesu Kristo alionyeshwa waziwazi kuwa amesulubiwa.

2 Napenda kujifunza jambo moja tu kutoka kwenu: Je, mlipokea Roho kwa kushika sheria au kwa kuamini yale mliyoyasikia?

3 Je, ninyi ni wajinga sana?

Ni wazi tuna watu ambao hawakubaliani naye. Ikiwa Yesu alifundisha kwamba sheria imeisha kwa uwazi, basi watu hawangekuwa wakibishana juu ya hili.

2 Wakorintho 11:4-5

4 Kwa maana mtu akija kwenu na kuhubiri Yesu mwingine isipokuwa Yesu tuliyemhubiri, au mkipokea roho tofauti na ile mliyoipokea, au injili tofauti na ile mliyoikubali, mnavumilia kwa urahisi vya kutosha.

5 Lakini sidhani kwamba mimi ni mdogo kuliko hao "mitume wakuu."

Haya yote ni mafundisho na tena anawakosoa wanafunzi.

2 Wakorintho 11:22-24

Jambo ambalo mtu mwingine huthubutu kujivunia, nasema kama mjinga, mimi huthubutu pia kujisifu.

22 Je, wao ni Waebrania? Mimi pia. Je, wao ni Waisraeli? Mimi pia. Je! wao ni wazao wa Abrahamu? Vivyo hivyo na mimi.

23 Je, wao ni watumishi wa Kristo? (Nimerukwa na akili kuzungumza hivi.) Mimi ni zaidi. Nimefanya kazi ngumu zaidi, nimekuwa gerezani mara nyingi zaidi, nimechapwa viboko vikali zaidi, na kukabiliwa na kifo tena na tena.

24 Mara tano nilichapwa viboko arobaini kasoro moja na Wayahudi.

Tena anajilinganisha na wanafunzi. Ikiwa mtu huyu kwa kweli angekuwa anafanya kazi hii yote kwa ajili ya Mungu, hangekuwa akilalamika kuhusu uchungu na mateso na mateso yake. Ikiwa kweli ni mkweli asingetaja mambo hayo. Manabii na mitume hawakuwahi kulalamika na kujisifu juu ya mateso yao.

Kwa hiyo ni wazi kutoka katika Biblia yenyewe kwamba si kila mtu alimwamini Yesu ambaye alikuja kusulubiwa kwa ajili ya dhambi za ulimwengu na kuchukua nafasi ya sheria.

Kwamba kulikuwa na tofauti kati ya Mitume na Paulo.

Mitume walishikamana na mafundisho ya kweli ya Yesu, ambayo yalikuwa yanashikilia sheria na kwamba Mitume walioishi pamoja na Yesu wanamfahamu zaidi ya Paulo ambaye hata hakuwahi kumwona Yesu isipokuwa kwa “maono”.

Mdanganyifu pekee hapa alikuwa Paulo na sio Mwenyezi Mungu.
 
Msimamo wako ni upi juu ya mashoga kutaka watambuliwe na waruhusiwe kufunga NDOA kiserikali?

Maana hueleweki.
 
Mungu anawapenda wenye dhambi,

Bt anachukia sana Dhambi na hataki watu watende dhambi.

Anampenda mlevi bt anachukia Ulevi wa mlevi.

Anampenda kahaba kama person bt anachukia UKAHABA wa kahaba.

Anampenda mtu shoga, bt anachukia USHOGA Ulio ndani ya shoga.

Wakitubu na kumruhusu ataingia na kuifukuza dhambi ndani Yao na watakuwa watu wema.

Wasipotubu wamekwisha kuhukumiwa, watakufa kabla ya wakati wao na wayatupwa jehanum Kwa ADHABU ya milele.

Tuangalie biblia inasema nini kuhusu ulichoandika ??

Zaburi 5:4-6

4 Wewe si Mungu anayependezwa na uovu; waovu hawawezi kukaa nawe.

5 Wenye kiburi hawawezi kusimama mbele yako; unawachukia wote watendao maovu.

6 Unawaangamiza wasemao uongo; watu wenye kiu ya damu na wadanganyifu

BWANA anachukia.

Zaburi 11:5

5 Yehova huwachunguza wenye haki, bali waovu na wapenda udhalimu nafsi yake inachukia.

Mhubiri 3:8

8 Wakati wa kupenda na wakati wa kuchukia, wakati wa vita na wakati wa amani.

Mambo ya Walawi 20:23

23 Hamupaswi kuishi kulingana na desturi za mataifa nitakayofukuza mbele yenu. Kwa sababu walifanya mambo haya yote, niliwachukia.

Kumbukumbu la Torati 18:12

12 Yeyote anayefanya mambo haya ni chukizo kwa Yehova, na kwa sababu ya machukizo hayo Yehova Mungu wako atayafukuza mataifa hayo mbele yako.

Mambo ya Walawi 26:30

30 Nitaharibu mahali penu pa juu, nitazikata madhabahu zenu za uvumba, na kuziweka maiti zenu juu ya sanamu zenu zisizo na uhai, nami nitawachukia ninyi.

Warumi 9:13

Kama ilivyoandikwa: "Yakobo nilimpenda, lakini Esau nilimchukia."
 
Msimamo wako ni upi juu ya mashoga kutaka watambuliwe na waruhusiwe kufunga NDOA kiserikali?

Maana hueleweki.

Mimi sio sieleweki isipokuwa sitoi msimamu wangu kwani sikuwaumba mimi,

Aliyewaumba ameshatoa hukumu juu yao , mimi niseme kitu gani ? yaani nishindane na aliyewaumba ??
 
Tuangalie biblia inasema nini kuhusu ulichoandika ??

Zaburi 5:4-6

4 Wewe si Mungu anayependezwa na uovu; waovu hawawezi kukaa nawe.

5 Wenye kiburi hawawezi kusimama mbele yako; unawachukia wote watendao maovu.

6 Unawaangamiza wasemao uongo; watu wenye kiu ya damu na wadanganyifu

BWANA anachukia.

Zaburi 11:5

5 Yehova huwachunguza wenye haki, bali waovu na wapenda udhalimu nafsi yake inachukia.

Mhubiri 3:8

8 Wakati wa kupenda na wakati wa kuchukia, wakati wa vita na wakati wa amani.

Mambo ya Walawi 20:23

23 Hamupaswi kuishi kulingana na desturi za mataifa nitakayofukuza mbele yenu. Kwa sababu walifanya mambo haya yote, niliwachukia.

Kumbukumbu la Torati 18:12

12 Yeyote anayefanya mambo haya ni chukizo kwa Yehova, na kwa sababu ya machukizo hayo Yehova Mungu wako atayafukuza mataifa hayo mbele yako.

Mambo ya Walawi 26:30

30 Nitaharibu mahali penu pa juu, nitazikata madhabahu zenu za uvumba, na kuziweka maiti zenu juu ya sanamu zenu zisizo na uhai, nami nitawachukia ninyi.

Warumi 9:13

Kama ilivyoandikwa: "Yakobo nilimpenda, lakini Esau nilimchukia."
Umeandika Kweli ya Mungu.

Nachotaka ni njia unazopendekeza zichukuliwe na JAMII, viongozi wa Dini, familia, Au SHERIA za Serikali zitumike vp kutokomeza TABIA hizi.

BIBLIA ni Pana sana, Ielewe au Mungu akusaidie kunielewa ndipo upate njia sahihi ya kutumia kutatua changamoto mbalimbali.

Pendekeza solutions za changamoto hii tujadili.
 
Mimi sio sieleweki isipokuwa sitoi msimamu wangu kwani sikuwaumba mimi,

Aliyewaumba ameshatoa hukumu juu yao , mimi niseme kitu gani ? yaani nishindane na aliyewaumba ??
Aliyewaumba ndo huyo huyo aliruhusu wapigiwe mawe Hadi kufa agano la kale, na ndo huyo huyo AGANO kipya amewaita akawaonya, walipotubu akawasamehe na tumeona wakaacha UZINZI na na USHOGA na kuwa watu wema.

Umeelewaje maandiko, Unadhani yanapingana?

Sema tena tukusikie.
 
Umeandika Kweli ya Mungu.

Nachotaka ni njia unazopendekeza zichukuliwe na JAMII, viongozi wa Dini, familia, Au SHERIA za Serikali zitumike vp kutokomeza TABIA hizi.

BIBLIA ni Pana sana, Ielewe au Mungu akusaidie kunielewa ndipo upate njia sahihi ya kutumia kutatua changamoto mbalimbali.

Pendekeza solutions za changamoto hii tujadili.

Mimi kwa vile tuko kwenye utawala wa huu wa Kiroma inabidi kwanza hawa , wafanyaji na wafanywaji na watu wengine waambiwe kuwa sasa tunafuata sheria ya Mungu , wajitokeze wenyewe wapate matibabu . Watibiwe , wataorudia huu mchezo , ifuatwe sheria ya Mungu.
 
Sheria ya Mungu na BIBLIA ni UPENDO.

Si kupigwa mawe Hadi kufa.

Sheria ya Serikali ndo inatoa kifungo Hadi Cha maisha.

So wasipokubali SHERIA ya Mungu inayowataka waridhie kusaidiwa na kuacha Machukizo hayo.

Tunaipa baraka zote Serikali iwashughulikie, mtaani wasitambe na nguo za kike, wasiruhusiwe kukaa ktk saluni za kike, wakionekana wakamatwe na wapewe case na kufungwa ikiwa hawatokubali kuacha Kwa ridhaa Yao.
 
Kiini cha hoja yako ni kuwa unataka wakristo waendelee kufuata agano la kale kama kupiga kwa mawe mzinzi hadi kufa, kuuwa mchawi, jino kwa jino n.k

Je hoja yako ni hiyo kama nilivyo eleza hapo juu?

Naomba ujibu kwa uungwana ili tuelekezane.

Wanafunzi wakibishana juu ya Sabato na Sheria zingine:

Kwa nini wabishane hata kidogo kuhusu Sabato na Sheria zingine wakati Yesu aliwaahidi kwamba Roho Mtakatifu atachukua vinywa vyao na kwamba hakutakuwa na mabishano, fujo au mafumbo:

Marko 13:11

Wakati wowote mnapokamatwa na kufikishwa mahakamani, msiwe na wasiwasi mapema kuhusu la kusema. Semeni tu lolote mtakalopewa wakati huo, kwa maana si ninyi msemao, bali ni Roho Mtakatifu.

Mathayo 10:20

kwa maana si ninyi msemao, bali ni Roho wa Baba yenu asemaye kupitia kwenu.

Migogoro ya kitheolojia kati ya Paulo na Petro:

Kumbuka kwamba maandishi ya Paulo yanafanya nusu ya Agano Jipya lote. Kwa hivyo hata ukimfukuza kama mwongo, ahadi ya Yesu hapo juu kwenye Marko 13:11 na Mathayo 10:20 bado inashindwa vibaya, kwa sababu alishindwa kuhifadhi Agano Jipya lake mwenyewe na dini ya uwongo!

Petro na timu yake ya wanafunzi walikuwa wakimwita Paulo na timu yake ya wanafunzi wa uongo na kufundisha injili tofauti na Yesu tofauti, na kwamba Paulo ni duni na mlaghai anayedai kuwa mtume wakati yeye ni mlaghai.

Paulo na timu yake ya wanafunzi pia walikuwa wakiita timu ya Petro anathema ἀνάθεμα (iliyolaaniwa na MUNGU), uongo, kulogwa, mbwa, na mambo mengine mengi.

Aya na vifungu vifuatavyo vinatoa mifano ya mgogoro huu:

Wagalatia 4:10

Bado unafuata mafundisho kuhusu [kushika/kushika] siku maalum, miezi, majira na miaka [ pengine Sabato na sikukuu za Kiyahudi, ambazo wapinzani wa Paulo walidai lazima zitunzwe ili kuokolewa].

2 Wakorintho 11:4-5

4 Kwa maana mtu akija kwenu na kuhubiri Yesu mwingine isipokuwa Yesu tuliyemhubiri, au mkipokea roho tofauti na ile mliyoipokea, au injili tofauti na ile mliyoikubali, mnavumilia kwa urahisi vya kutosha.

5 Lakini sidhani kwamba mimi ni mdogo kuliko hao "mitume wakuu."

Wagalatia 1:6: Injili ya Paulo ni tofauti na injili ya Petro na timu.

Wagalatia 2:15-16: Kwa nini wanabishana juu ya kufuata sheria au la? Kwa nini hawapatani na mafundisho?

Wagalatia 2:17-21: Paulo anawashutumu Wakristo wote wa Kiyahudi akiwemo Petro na Barnaba. Hata hivyo, Petro na wengine walidaiwa kujazwa na Roho Mtakatifu.

Warumi 14:20, Matendo 15:29: Wanafunzi wakibishana kuhusu ni chakula kipi kinaruhusiwa na kipi kimekatazwa.

Wagalatia 2:11

11 Zaidi ya hayo, Petro alipofika Antiokia, nilimpinga hadharani kwa sababu alikuwa amekosea.

Wagalatia 3:1-2

Imani au Matendo ya Sheria

1 Enyi Wagalatia msio na akili! Nani amekuroga? Mbele ya macho yenu Yesu Kristo alionyeshwa waziwazi kuwa amesulubiwa.

2 Napenda kujifunza neno moja tu kutoka kwenu: Je, mlipokea Roho kwa matendo ya sheria, au kwa kuamini yale mliyoyasikia?

2 Wakorintho 11:13

13 Kwa maana watu kama hao ni mitume wa uongo, watenda kazi kwa hila, wakijigeuza wawe mfano wa mitume wa Kristo (Petro na timu).

2 Wakorintho 11:4

4 Tuliwaambieni habari za Yesu, nanyi mkapokea Roho Mtakatifu na mkakubali ujumbe wetu. Lakini unaruhusu watu wengine wakuambie kuhusu Yesu mwingine. Sasa uko tayari kupokea roho nyingine na kukubali ujumbe tofauti.

Wagalatia 1:9
Kama tulivyokwisha sema, na sasa nasema tena: Ikiwa mtu ye yote (mtu wa kundi la Petro) anawahubiri ninyi injili tofauti na ile mliyoikubali, na awe chini ya laana ya Mungu ἀνάθεμα !

alaaniwe! ἀνάθεμα
(anathema)

331 anáthema (kutoka 303 /aná, "juu" kuhitimisha mchakato, ambao unazidisha 5087 /títhēmi, "kuweka") - vizuri, weka juu, ukirejelea kitu kilichowekwa dhamana (kilichotolewa) kwa uharibifu; laana/marufuku ya kimungu ("iliyolaaniwa"); "kiapo-laana."

Paulo aliteswa na shetani na malaika zake:

2 Wakorintho 12:7-11

7 Bila shaka, sasa ninarejelea mambo ya ajabu niliyoona. Malaika mmoja wa Shetani alitumwa kunitesa sana, ili nisiwe na kiburi sana.

8 Mara tatu nilimsihi Bwana aondoe mateso haya.

9 Lakini yeye akajibu, “Fadhili yangu ndiyo yote unayohitaji. Nguvu yangu ina nguvu zaidi unapokuwa dhaifu.” Kwa hiyo ikiwa Kristo anaendelea kunipa uwezo wake, nitajisifu kwa furaha jinsi nilivyo dhaifu.

10 Naam, nafurahi kuwa dhaifu au kutukanwa au kuteswa au kuwa na taabu na taabu, ikiwa ni kwa ajili ya Kristo. Kwa sababu ninapokuwa dhaifu, nina nguvu.

11 Nimekuwa nikijifanya mjinga. Lakini ulinilazimisha kufanya hivyo, wakati ulipaswa kuwa unanitetea. Ninaweza kuwa si kitu kabisa, lakini mimi ni mzuri kama wale mitume wakuu (timu ya Petro).

Wafilipi 3:2: Petro na Timu ni Mbwa wanaokata nyama (kufanya tohara)

Ndugu GAVANA, u msabato wewe?

Tuanzie hapo.

Wasabato wengi wanasoma na kukariri vifungu vya BIBLIA bt hawamwulizi aliyeiandika alimaanisha nn ktk vifungu hivyo.

Wanajaribu kufungua codes za BIBLIA Kwa AKILI zao. Wanafail hapo.
 
17 Msidhani ya kuwa nalikuja kuitangua torati au manabii; la, sikuja kutangua, bali kutimiliza.
Tuanze: Alisema hakuja kutangua bali kutimiliza, umeelewa nini kuhusu kutimiliza?

Je unakubaliana na lipi kati ya haya? Au haukabali chochote?
1. Torati ilikuwa pungufu (haitoshi kumkamilisha mtu)

2. Alikuja kutimiliza yani kukamilisha yote hivyo hatupo chini ya torati tena bali chini ya kristo mwenyewe.
 
Nisiongee mengi video ya interview yake pale star tv hio apo chini.

===
Lema aliulizwa na Aloyce Nyanda kuhusu ushoga katika kipindi cha StarTV amesema yeye anaamini katika biblia na kama dunia nzima itaamini katika biblia basi suala la ushoga halitakuwa tatizo.

Hata hivyo amesema haukubaliani na sheria au mtu yeyote anayetaka kumuua mtu kwa kuwa ni shoga. Amesema kitu mtu anachokifanya katika maisha yake ni kitu chake.
Itakuwa ameshakuwa mboga baada ya kukaa Canada, unaishije Canada bila kazi? Lazima yakupate
 
1.Mathayo alikuwa Mwizi na mtoza ushuru akiwaibia watu kupitia cheo chake,

Yesu hakusema akatwe mkono, alimwita, akambadilisha, akaacha wizi na akawa Mwanafunzi wa YESU.

2. Zakayo pia alikuwa TAJIRI, alipata utajiri Kwa kuwadhilumu na kuiba watu.

Alipokutana na YESU alibadilishwa nakuacha wizi, na Mali zake aligawia maskini.

3. KAHABA, yule mwanamke kahaba, agano la kale alitakiwa kuhukumiwa kufa Kwa kupigwa mawe, wale viongozi walipomkamata, hawakumpiga mawe sawasawa na SHERIA,Bali walimleta Kwa Yesu Ili kumtega.

So SHERIA zao Serikali ya warumi, wakati Ule ziliruhusu kahaba kupigwa mawe,

Je, SHERIA zetu zinaruhusu kahaba au shoga kupigwa mawe Hadi kufa?

Jibu ni kuwa, haziruhusu, mtu mfiraji Kwa mfano kisheria anaweza kuhukumiwa kifo ikiwa atafanya kitendo hicho Kwa mwingine na kusababisha kifo. Bt asipokufa atahukumiwa kama mbakaji kifungo maisha.

Unaweza ona SHERIA za Serikali ndo zinatoka HUKUMU na Si BIBLIA. So sisi wananchi tunataka Serikali iwabane zaidi Ili kuwazuia kueneza zaidi TABIA ovu ikiwa wayapewa usajili na ikaonekana vitendo vyao ni hiari Ili kukwepa HUKUMU iliyo ktk JINAI ikiwa wamefanya bila ridhaa ya mtu.

Tunataka ridhaa hiyo iminywe zaidi, wasiruhusiwe kuvaa mavazi ya kike, au kupaka make ups, nk nk, wakionwa hadharani wakamatwe.

Tukirudi kiimani, Sheria ya Yesu ni nzuri, ni Upendo, ikiwa mwovu ataambiwa UOVU na dhambi yake akakubali kutubu na kuacha anasamehewa hahukumiwi na anaacha kabisa.

Ungalikuwa unaweka ushahidi wa aya na reference unapojibu

Yohana 18

31 Basi Pilato akawaambia, Haya! Mtwaeni ninyi, mkamhukumu kwa ile torati yenu! Wayahudi wakamwambia, Sisi hatuna ruhusa ya kuua mtu.

Umeona hapo kuwa wayahudi hawakuwa na ruhusa ya kuuwa mtu na kwenye ule mtego wao bwana Yesu alilijuwa hili ndio akawajibu vile kwenye ule mtego wao.
 
Wagalatia 4:10

Bado unafuata mafundisho kuhusu [kushika/kushika] siku maalum, miezi, majira na miaka [ pengine Sabato na sikukuu za Kiyahudi, ambazo wapinzani wa Paulo walidai lazima zitunzwe ili kuokolewa].
Hii biblia unatumia version gani, hayo maneno kwenye mabano ni mawazo yako bila shaka.

Naomba tumia SUV au RSUV ndio twende pamoja.
Umekariri uongo mkuu

Wagalatia 4:10
Mnashika siku, na miezi, na nyakati, na miaka.
 
Back
Top Bottom