Lema atua Tanga Mjini, ashangaa na kulia baada ya kukuta Watu bado wanaishi kwenye Magofu zama hizi!

waafrika hali ya umasikini tumeshaizoea, na ni ngumu kuacha kitu kilichoiathiri psychologia yako.

Maneno hayo kawaambie akina Mwigulu Nchemba anayetembelea gari ya Mamilioni
 
Hakuna mahali nimesema wamachame wote ni matajiri.
Lakini ni miongoni mwa Watanzania wenye makazi bora ya kuishi.
Masikini wapo wengi lkn sio sawa na makabila mengine
Kwa utafiti gani uliofanya? Unakiri wote ni masikini lakini unasema wamachame sio kama wengine!???
 
waafrika hali ya umasikini tumeshaizoea, na ni ngumu kuacha kitu kilichoiathiri psychologia yako.

Hiyo ni laana kwa watu wa Pwani , walitumiwa na Nyerere kwenda kuivamia Zanzibar na kuuwa watu kwa maelfu , matokeo yake miji yote waliyotoka wavamizi hali ni mbaya , Tanga, Lindi ,Mtwara , miji ya Pwani yote imepigwa na Laana
 
Lema ingekuwa amezaliwa huko alikotoka halafu iwe ndo mara yake ya kwanza kufika Tanzania angetuua kwa presha kwa haya Mambo aliyoyakuta, yaani Lema wakutuona sisi tunaishi kama wadudu kweli.........!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣aseee
 
Kama inawezekana wajitoe kwenye ukanda huo, Tanga wenye culture yao nzuri tofauti kabisa na wanamoshi, arusha na manyara, desturi zao pia haziendani haswaa, hivi wanawezaje kuwa ukanda mmoja na hiyo miji!! Tanga alipaswa awe ukanda wa pwani.
 
We mshamba wa wapi magofu mengi ni uirth na sehemu za kihistoria mjini unakuwa kange , unataka watu wajazane pale mjini nenda kaangalie masiwani .

Pale Moshi hamna magofu na manyumba ya zamani.

Jitu lenyewe linaongea ivyo limekunywa mapombe yaani uchafu mtu ..jaribu hata kuwa msafi wa mwili basi sio jilevi linaropoka
Watu wengi wanaishi kwenye Hayo majengo by Choice, yule Mshkaji aliefariki juzi juzi South mama yake aliuza kiwanja Masiwani kama 600M hivi, na alikua akiishi nyumba ya kawaida tu barabara za no.

Watu wengi wa pwani si watu wa Kujikweza, unakuta mtu kawaida na suruali ya mtumba, Shati kubwa kubwa na baragashia ila ana semi zaidi ya 10 zipo barabarani, mtu kakaa anacheza draft ila ana shamba la minazi ama boti ya uvuvi milioni 50 ama 100 haimpigi chenga.
 
Hiyo ni laana kwa watu wa Pwani , walitumiwa na Nyerere kwenda kuivamia Zanzibar na kuuwa watu kwa maelfu , matokeo yake miji yote waliyotoka wavamizi hali ni mbaya , Tanga, Lindi ,Mtwara , miji ya Pwani yote imepigwa na Laana

Halafu leo hii anakuja mtu kusema waarabu ni wabaya na makatili. Hawa watu tumeshawazoea sheikh na maneno yao, mwanaume mzima anawaza kubaguliwa na kunyanyaswa tu 😄 watu tunafikiria future wao ni ubaguzi na unyanyasaji. Ingelikua mtu anatajirika kupitia chuki na roho mbaya kwa race flani basi wayahudi weusi wa kutoka bongo wangetajirikia kwa waarabu, na kuwa no1 in the world 😁 ila ndio hivyo umasikini utaendelea kuwatafuna mpaka watakapoacha chuki na roho za kwanini
 
..kuna UPOTOSHAJI unaendelea dhidi ya hoja za Lema.

..Lema amesema mkoa wa Tanga una rasilimali, vivutio, na fursa nyingi, ila wananchi wake ni masikini kwasababu ya sera mbaya za Ccm.

..Kuhusu magofu, Lema amesema yanapaswa kutunzwa ili yawe kivutio cha utalii.

..Lema amezungumzia kufa kwa bandari ya Tanga ambayo ingeweza kuchangia pakubwa ktk uchumi wa Tanga na taifa kwa ujumla.

..Vilevile amegusia jinsi ardhi ya Tanga ilivyo na rutuba na kwamba serikali ingekuwa na sera nzuri za kilimo vijana wengi wangeweza kuajiriwa / kujiajiri ktk sekta ya kilimo.

..Pia amegusia kwamba Tanga ilikuwa jiji la viwanda lakini sera mbaya za Ccm zimepelekea viwanda vingi kufa.

..Kuna kampeni ya UPOTOSHAJI inaendelea dhidi ya Chadema. Ukitaka kujua ukweli wa kilichozungumzwa ni vizuri ukaangalia YouTube video zilizorekodi mikutano hiyo.
 
Watu wengi wanaishi kwenye Hayo majengo by Choice, yule Mshkaji aliefariki juzi juzi South mama yake aliuza kiwanja Masiwani kama 600M hivi, na alikua akiishi nyumba ya kawaida tu barabara za no.

Watu wengi wa pwani si watu wa Kujikweza, unakuta mtu kawaida na suruali ya mtumba, Shati kubwa kubwa na baragashia ila ana semi zaidi ya 10 zipo barabarani, mtu kakaa anacheza draft ila ana shamba la minazi ama boti ya uvuvi milioni 50 ama 100 haimpigi chenga.

..hao unaowazungumzia ni wachache ktk jamii yetu.

..wananchi wengi wana vipato vya chini na umasikini mkubwa.

..Tanzania ni nchi masikini, na kuna sababu zilizozingatiwa kabla hatujawekwa ktk kundi hilo.
 
Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema, Godbless Lema ambaye wengine hupendelea kumwita Nabii ametua jijini Tanga na kushikwa na mshangao mkuu.

Lema amesema haamini macho yake kushuhudia Watu wanaishi kwenye Magofu yaliyojengwa na waarabu nyakati za utumwa.

Lema amewataka wakazi wa Tanga kuukimbia umasikini kwa kujikomboa Kifikra kwanza kisha wakumbatie Kilimo cha kisasa.

Lema yuko kwenye ziara ya Mikutano ya nchi nzima akiwa na Viongozi mbalimbali wa Chadema.

Mungu ni Mwema wakati Wote!

FrypEqxX0AQnlpg
Lema endelea kutufungua macho. Hongera kamanda wa mapambano dhidi ya umaskini.
 
..hao unaowazungumzia ni wachache ktk jamii yetu.

..wananchi wengi wana vipato vya chini na umasikini mkubwa.

..Tanzania ni nchi masikini, na kuna sababu zilizozingatiwa kabla hatujawekwa ktk kundi hilo.
Tanga ina umasikini ndio ila mostly ni maeneo kama Handeni, Mkinga, Kilindi etc. Ila pale Mjini watu wengi wapo vyema. Na hayo magofu si hoja ya vipato vyao.

Angalia Data za NBS ukitoa Dar, Mwanza na Shinyanga ambazo pato lake ni kubwa, Tanga utaikuta Top 10, inarange nafasi ya 4 mpaka 6 karibia kila mwaka, pamoja na Serikali kuitelekeza Tanga kwa muda mrefu raia wake wame adapt kwa vyanzo vyengine vya mapato ambavyo ni tofauti na vilivyozoeleka. Kuanzia kilimo, utalii, biashara na mambo mengine ni Unique compare na maeneo mengine Tanzania.
 
..pia Lema amesifia kwamba Tanga ndio mji uliopangiliwa kuliko miji yote Tanzania.

..kwa kifupi tulitakiwa kuwa vizuri kiuchumi kuliko hapa tulipo sasa hivi.

..tatizo ni uongozi mbaya na sera za Ccm.

..kuna kampeni ya kupotosha kinachosemwa ktk mikutano ya Chadema.
 
Sijasikiliza Hotuba, Nimejibu tu kwa comment za watu,
 
Lema ingekuwa amezaliwa huko alikotoka halafu iwe ndo mara yake ya kwanza kufika Tanzania angetuua kwa presha kwa haya Mambo aliyoyakuta, yaani Lema wakutuona sisi tunaishi kama wadudu kweli.........!
..Lema hana tofauti na kipofu aliyefunguliwa macho aone Kwa mara ya kwanza akamuona punda baada ya kurudishiwa upofu wake kila kitu ukimsimulia anajibu kama punda 😀😀,..mfano ukimuambia nimeona nyumba nzuuuri kipofu anajibu kama punda😂😂...
 
Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema, Godbless Lema ambaye wengine hupendelea kumwita Nabii ametua jijini Tanga na kushikwa na mshangao mkuu.

Lema amesema haamini macho yake kushuhudia Watu wanaishi kwenye Magofu yaliyojengwa na waarabu nyakati za utumwa.

Lema amewataka wakazi wa Tanga kuukimbia umasikini kwa kujikomboa Kifikra kwanza kisha wakumbatie Kilimo cha kisasa.

Lema yuko kwenye ziara ya Mikutano ya nchi nzima akiwa na Viongozi mbalimbali wa Chadema.

Mungu ni Mwema wakati Wote!

FrypEqxX0AQnlpg
Huko kwao alikotoka wapo wanaolala mitaani.
 
Lema ingekuwa amezaliwa huko alikotoka halafu iwe ndo mara yake ya kwanza kufika Tanzania angetuua kwa presha kwa haya Mambo aliyoyakuta, yaani Lema wakutuona sisi tunaishi kama wadudu kweli.........!
Ulimbukeni tu unamsumbua. Halafu hajui wenzake wamemtosa ajimalize mwenyewe kwa ulimbukeni wake.
 
Back
Top Bottom