Lema atua Tanga Mjini, ashangaa na kulia baada ya kukuta Watu bado wanaishi kwenye Magofu zama hizi!

Lema atua Tanga Mjini, ashangaa na kulia baada ya kukuta Watu bado wanaishi kwenye Magofu zama hizi!

Asweke ndani kwa kuongea ukweli?

Hiyo ni enzi za Pilato bwashee!
Hawa watu Ni wajinga Sana Kama sio wapumbavu!
Tunasema learning is acquire through experience!
Sawa ameenda Canada akakuta most of people wanaoishi kwenye Nyumba na sio magofu he asiseme amkeni kwenye umaskini muishi kwemye Nyumba na sio magofu au nyumba za Tembe Kama kule kwa Ndugai?
Wengi wa hao wanaomshangaa lema walikua vijijini miaka hiyo walipokuja mjini waliona umeme wakaona vyoo vya kuflash na watu wakilalia magodoro na kuoga kila siku!

Hao hao walirudi vijijini na kubadilisha maisha ya watu huko vijijini na hatankiwaona washamba na wachafu wabadilike waishi kwenye Nyumba na sio mapango magofu nk!

Lema anaongelea at national level sio family level!

Mbona Jiwe aliposimamia hela za ufadhili kujenga daraja la ubungo na pale tazara walitoka mashimoni na kusema "Sasa hivi Tanzania Ni Kama ulaya?"
Mbona hawakumshamgaa Jiwe aliposema Tanzania Ni Dona kantre?
 
Huyu kaamua Kuwa mkweli tumpuuze tubaki na ujinga wetu!
Ni vichaa pekee ndio wanaweza kuamini Kuna lolote la maana analolisema huyu bwana.

Na ni kweli kabisa tafiti zinazosema Kuna wagonjwa wengi wa akili ila hawajifahamu.

Unaweza komaa kumuelewesha mtu jambo ukafikiri anafanya makusudi ila kumbe ni mgonjwa.
 
Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema, Godbless Lema ambaye wengine hupendelea kumwita Nabii ametua jijini Tanga na kushikwa na mshangao mkuu.

Lema amesema haamini macho yake kushuhudia Watu wanaishi kwenye Magofu yaliyojengwa na waarabu nyakati za utumwa.

Lema amewataka wakazi wa Tanga kuukimbia umasikini kwa kujikomboa Kifikra kwanza kisha wakumbatie Kilimo cha kisasa.

Lema yuko kwenye ziara ya Mikutano ya nchi nzima akiwa na Viongozi mbalimbali wa Chadema.

Mungu ni Mwema wakati Wote!

FrypEqxX0AQnlpg
I am in looove with politics😇
 
Ni vichaa pekee ndio wanaweza kuamini Kuna lolote la maana analolisema huyu bwana.

Na ni kweli kabisa tafiti zinazosema Kuna wagonjwa wengi wa akili ila hawajifahamu.

Unaweza komaa kumuelewesha mtu jambo ukafikiri anafanya makusudi ila kumbe ni mgonjwa.
Ni vichaa pekee ndio hawataweza kuona kwamba Kuna lolote la maana analolisema huyu bwana. Mahitaji muhimu ya binadamunyeyote kwenye Karne hii Ni Chakula bora (kwa ajili ya afya ya mwili na akili), Makazi Bora pamoja na mavazi bora! Hiyo ndiyo jamii ikiyostaarabika na kipimo Cha maendeleo pia.

Ni kweli kabisa tafiti zinasema Kuna wagonjwa wengi wa akili Ila hawajifahamu. Na kundi hili lipo miongoni mwa watanzania waliowengi. Wanapoambiwa kwamba hii nchi ina rasilimali za nyingi ambazo zilipaswa kutumika effectively ili kumkwamua mtanzania na umaskini badala ya kuchukua hatua ya kuwawajibisha waliwapa dhamana ya kusimamia rasilimali hizo wanamshambulia aliyewaambia ukweli! Ni tatizo la akili na sio vinginevyo hivyo naungana na wewe.

Lema anakazana na anatumia nguvu kubwa kuwaelemisha na kuwaambia watu ukweli waamke hata yeye anashangaa kwanini hawaamki kumbe Ni wagonjwa Tena wagonjwa haswaa! Ugonjwa ukishambulia akili ukichanganya na njaa Ni matokeo tunayoyaona! Hivi Mgonjwa wa kwashiorkor anaweza Kuwa na afya ya akili?
Adios..
Only Great Minds will understand Lema.
 
Wewe unaona umasikini uliopo ni vichekesho? It is real
Yeah wanona Ni vichekesho sababu ndio stepping stone to power!
Wataaminisha watu umaskini Ni sifa nzuri kama alivyowapachika jina la wanyonge! "Heri maskini maana watauona ufalme wa Mungu" wakati wanaosema hivyo wanaishi maisha ya kifalme hapa duniani!
 
Kweli kama unaongelea moyoni basi unge-"appreciate" mambo positive aliyokuwa afafanya JPM, mie naona hapo unaleta unafiki, huku unasema haya baadaye unasema mtu aliyekuwa anajitahidi kujenga uchumi mzuri hafai
Tatizo lako ukiambiwa ukweli hutaki kuukubali, itembelee Tanzania Uone!
Usiitazame Tanzania kwa kuangalia hali ilivyo Dar es Salaam au katika majiji na miji mingine! Yule hakua anamjenga sustainable economy eroo!
 
Lema ingekuwa amezaliwa huko alikotoka halafu iwe ndo mara yake ya kwanza kufika Tanzania angetuua kwa presha kwa haya Mambo aliyoyakuta, yaani Lema wakutuona sisi tunaishi kama wadudu kweli.........!
Msanii tu huyu
 
Msanii tu huyu
Kweli Ni msanii na siasa Ni sayansi na Sanaa pia
Na Lema Ni mwanasiasa, sayansi Ni mpangilio Bora wa shughuli za kisiasa na Sanaa Ni namna mwanasiasa anayopanga uwasilishaji wake wa mawazo ya kisiasa kwa hadhira yani wananchi au wafuasi wake maudhui pamoja fani (uwasilishaji) yaweza Kuwa kwa kuimba kuongea au tunasema oratory skills ili kuivuta na kuishawishi hadhira iweze kumfuata na kukubaliana na maudhui yake!

Kwa hiyo HAKUNA namna unaweza kuitenga siasa na Sanaa ! Naungana na wewe Kuwa Lema ni Msanii! Na anaitumia Sanaa yake katika shuguli za kisiasa! Na Sanaa hiyo yaweza kuwakera baadhi ya watu na kuwafurahisha wengine ama katika maudhui au fani!
Umeelewa?
 
Ni vichaa pekee ndio wanaweza kuamini Kuna lolote la maana analolisema huyu bwana.

Na ni kweli kabisa tafiti zinazosema Kuna wagonjwa wengi wa akili ila hawajifahamu.

Unaweza komaa kumuelewesha mtu jambo ukafikiri anafanya makusudi ila kumbe ni mgonjwa.
Tanga Watu hawaishi kwenye Magofu?
 
Hivi kuishi kwenye magofu ya waarabu hadi leo sio umasikini? Mlitaka awakejeli na kuwaambia magofu hayo ni fahari kwa Tanga?
Mnatia kinyaa kwa ujinga wa aina hii
Kwani huyo mlimbikeni kayaona Leo mpaka ajifanye kushaangaa, kama sio kejeli na ulimbukeni usio na maana? Anawasanifu wenzake wanakaa kwenyemagofu, bila hata kuwachangia ata mfuko Mumoja wa simenti hizo so kejerii?? Haya yeye tukifuatilia ndugu zake wote WA damu wanaishi kwenye magorofa?
 
Umesema vyema sana.

Watanzania sisi tunahitaji kuamshwa toka kwenye usingizi mzito tuliolala.

Watu wetu wamepigwa na umaskini kiasi kwamba hawafahamu tena namna yakutoka.

Imefika sehemy kuishi kwenye nyumba duni na kukosa hata chakula wananchi wanaona ni sawa tu, Mungu ndiyo kawapangia hivyo. Inasikitisha sana.

Acha Lema awaamshe.
Kweli we kichaa nani kalala zaidi yenu nyie wafuasi wa mboowe
 
Kweli we kichaa nani kalala zaidi yenu nyie wafuasi wa mboowe
Angalia uhalisia utafahamu nilichoandika.

Zaidi ya 35% hapa Tanzania wanaishi kwenye extreme poverty.

Unafahamu au kuelewa maana yake?

Watu hawa aidha wanalala njaa, wanasumbuliwa na magonjwa, au pia hawamalizi hata elimu ya msingi.

Hiyo si sawa.

Tukiwaacha nduguzetu hawa bila kuwaamsha basi sisi ni wabinafsi na wanafiki.

Umesikia wewe kenge?
 
Back
Top Bottom