DolphinT
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 2,014
- 2,979
Hawa watu Ni wajinga Sana Kama sio wapumbavu!Asweke ndani kwa kuongea ukweli?
Hiyo ni enzi za Pilato bwashee!
Tunasema learning is acquire through experience!
Sawa ameenda Canada akakuta most of people wanaoishi kwenye Nyumba na sio magofu he asiseme amkeni kwenye umaskini muishi kwemye Nyumba na sio magofu au nyumba za Tembe Kama kule kwa Ndugai?
Wengi wa hao wanaomshangaa lema walikua vijijini miaka hiyo walipokuja mjini waliona umeme wakaona vyoo vya kuflash na watu wakilalia magodoro na kuoga kila siku!
Hao hao walirudi vijijini na kubadilisha maisha ya watu huko vijijini na hatankiwaona washamba na wachafu wabadilike waishi kwenye Nyumba na sio mapango magofu nk!
Lema anaongelea at national level sio family level!
Mbona Jiwe aliposimamia hela za ufadhili kujenga daraja la ubungo na pale tazara walitoka mashimoni na kusema "Sasa hivi Tanzania Ni Kama ulaya?"
Mbona hawakumshamgaa Jiwe aliposema Tanzania Ni Dona kantre?