Lema awataja Mawaziri wanaomtukana Rais Samia

Nape yumo, Saashisha mbunge yumo, Mbunge wa Nzega vijijini yumo, DC Nzega yumo, RC Lindi yumo, orodha ni kubwa
 
Arusha kichaa amekutana na chizi ni kuruka majoka tuu kila mmoja na jalala lake
 
Makonda ni mropokaji, lakini kuna mambo anayoyaongea yana ukweli. Rais amerithi mawaziri wengi ikiwamo Waziri Mkuu kutoka kws JPM, kama akijiridhisha na ikithibitika kuwa wasaidizi wake wa karibu wanamnanga namna hiyo, atawajibika kulivunja baraza la mawaziri mara moja.
 
Paul katishia kuwataja ila Lema yeye hana Mbambamba.
 
"Battle in Chuga" ni bonge la movie stelingi jasusi bashite vs kubwa la madui Chalii leema. Wacha tuone hii tifu itavyokuwa!! Hizi ni trela tuu movie ndoinaanza popcorn muhimu jameni...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…