Lema: January Makamba, Wewe ni waziri siyo first born wa Rais Samia

Nabii Lema🤣
 
Afadhali useme, maana tumechoka [emoji3062]
Jamani Watanzania tumwendee Mwenye Enzi Mungu atusaidie kuhusu hawa watu wanao fuja pesa za Watanzania!
Tumlilie Mola wetu!
Kweli nawaambia Mwenye Enzi Mungu ana tenda.
Tuiombee nchi yetu jamani[emoji24][emoji24][emoji24] sio kila siku unaombea family yako tu na nchi una I sahau!
Tufunge na kuomba kwani Mwenye Enzi Mungu ni mwaminifu sana sana![emoji24][emoji24]
 
Uwe na subira!

Maonyo ya Siku hizi ni hatari na nusu Bwashee!
Unabii wa
Mimi sio team January, ila ninakemea kitendo cha Lema kwenda msibani na kufanya jitihada zote ili apigwe picha akiwa na January ili baadae aje amseme vibaya kwenye mitanda
Your not serious yanii Lema kupiga picha na January na kwenyewe kunaitaji jitihada??
 
Wewe Ni Nani Kila habari uko nayo sio utawala sio upinzani,hawa wamiliki wa hii forum hatakama wanapata pesa Ni wapumbavu,kuruhusu ujinga unaofanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…