Lema: January Makamba, Wewe ni waziri siyo first born wa Rais Samia

Mbona umekwazika sana, Kunani?
Linapokuja issue yoyote ya chadema, huwa anakuwa irritated to the very sensitive nerve very negatively! Chuki ambayo ni rooted! Wewe ni CCM lakini upinzani wako kwa chadema ni wa siasa na si vinginevyo. Pascal Mayalla ana inborn chuki. Hii siyo sawa, akipata madaraka atafanya ya magufuli.
 
Lema ni mmoja kati ya watu wanaotumia jicho la tatu kwa hiyo inawezekana
 
Yaani mnavyozidi kumchukia ndivyo atazidi kuwa Juu..
Kwani Lema yeye ni nani hasa Hadi ajitwalie mamlaka ya kuhukumu? Atashushwa yeye,anajikutaga special sana huyo.

Yes, kama Magufuli tulivyomchukia alikwenda juu kabisa mawinguni
 
Kanyimwa asali?
 
Yaani mnavyozidi kumchukia ndivyo atazidi kuwa Juu..
Kwani Lema yeye ni nani hasa Hadi ajitwalie mamlaka ya kuhukumu? Atashushwa yeye,anajikutaga special sana huyo.
Ni kweli tulimchukia Membe,tena sana, kwa sababu alimfanyia hila Magufuli,lakini pamoja na hila zake, yuko wapi leo?Ogopa sana maneno na machozi ya watu wanyonge wanaolia kwa haki,Mungu anayajibu kwa wakati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…