Lema: January Makamba, Wewe ni waziri siyo first born wa Rais Samia

Yaani hapo unaongea kana kwamba wewe hutokufa na unapendwa sana 🤣🤣🤣🤣🤣
Sijasema napendwa,ila ndio ukweli.Siku zote lazima tukumbuke kwamba Duniani tunapita tu.Mkuu Membe alijisahau sana,akadhani Duniani kafika,kumbe ni mpita njia.
 
Ukiona hivyo ujue tayar amesha jaa. Yaweza kuwa inatafutwa tu namna ya uhalalishaji.

“Men at work”.
 
Chadema na genge lao wanatafuta mileage kwenye social networks.

Kwa ufupi upinzani hawana sera mpya baada ya ile ya kumnanga jiwe
 
Cheka na mamba ukiwa nje ila onyo ukiwa ndani ya maji....

LEMA sio mbaya ukitunisha msuri lakini huyo unaye mtunishia unamjua?
 
Yaani mnavyozidi kumchukia ndivyo atazidi kuwa Juu..
Kwani Lema yeye ni nani hasa Hadi ajitwalie mamlaka ya kuhukumu? Atashushwa yeye,anajikutaga special sana huyo.
Povu......umechomwa sehemu gani ya mwili kiasi cha kuruka juu namna hii?
 
Hiyo posture yake inaonekana kapoteza confidence.. . Hapo ukute anaelekezwa na kupewa maagizo na maonyo.. 🤣 🤣
Inaonesha januari alitoa maneno makali ambayo hata Nape yalimshitua kidogo akawa anajaribu kutuliza munkar uliokuwepo pale ! Hivyo ndivyo inavyojieleza hiyo picha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…